MAALIM SEIF : TUNDU LISSU HAJAPOTEZA MUELEKEO,AKILI YAKE IPO TIMAMU

Katibu  Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, ameeleza maendeleo ya afya ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), baada ya kumtembelea hospitalini Nairobi, Kenya.
Akihojiwa na Redio ya Idhaa ya Kiswahili Deutsche Welle (DW) ya Ujerumani jana, Maalim Seif alisema Lissu anaendelea vizuri na hajapoteza mwelekeo.
“Jana (juzi) nilimtembelea Lissu na nilipata moyo sana, kwa kweli anaendelea vizuri ukizingatia mtu ambaye alipigwa risasi zaidi ya 30, anapata nafuu...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Maalim Seif Sharif atinga kwa Tundu Lissu

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, maalim Seif Sharif Hamad amewasili jijini Nairobi Kenya kwenda kumjulia hali Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu ambaye alishambuliwa kwa risasi akiwa dodoma na kupata majeraha mazito.

Mwenyekiti wa kamati ya muda ya uongozi CUF, Julius Mtatiro amethibitisha hilo na kusema kuwa kiongozi huyo na baadhi ya viongozi wa CUF wamewasili nchini Kenya kwa ajili ya kwenda kumuona Tundu...

 

1 year ago

Malunde

MAALIM SEIF ATUA NAIROBI KUMJULIA HALI TUNDU LISSU

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Mhe. Seif Sharif Hamad leo Septemba 26, 2017 ameingia jijini Nairobi Kenya kwenda kumjulia hali Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu ambaye alipigwa risasi.
Mwenyekiti wa kamati ya muda ya uongozi CUF, Julius Mtatiro amethibitisha hilo na kusema kuwa kiongozi huyo na baadhi ya viongozi wa CUF wamewasili nchini Kenya kwa ajili ya kwenda kumuona Tundu Lissu. 
"Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Mhe....

 

1 year ago

Zanzibar 24

Maalim Seif aelezea hali aliyomkuta nayo Tundu Lissu hospitalini

Katibu  Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, ametoa taarifa juu ya maendeleo ya afya ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ambaye alishambuliwa kwa risasi na kupelekwa hospitali ya Nairobi nchini Kenya. Maalim Seif alitoa maelezo hayo baada ya kumtembelea Mh. Lissu huko hospitalini alipo wakati akihojiwa na Redio ya Idhaa ya Kiswahili Deutsche Welle (DW) ya Ujerumani jana, alisema Lissu anaendelea vizuri na hajapoteza mwelekeo. “Jana (juzi) nilimtembelea Lissu...

 

2 years ago

MwanaHALISI

Lissu: Anayebisha Rais Magufuli siyo dikteta hana akili timamu

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amezidi kusisitiza kuwa Rais John Magufuli ni dikteta na anayebisha hana akili timamu, anaandika Irene Emmanuel. Hii ni mara ya pili kwa Lissu kumwita Rais Magufuli kuwa ni dikteta, awali alisema ‘Rais Magufuli ni dikteta uchwara na anastahili kupingwa’, kauli hiyo ilisababisha kufunguliwa kesi ...

 

1 year ago

Malunde

MBOWE : WEWE MBUNGE NA DIWANI MWENYE AKILI TIMAMU UNAIPONGEZA SERIKALI WAKATI LISSU ANA MAJERAHA YA RISASI 16?

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amewashangaa viongozi na wanachama wa chama hicho wanaohama na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa madai kwamba wanamuunga mkono Rais, na kusema haona sababu ya viongozi hao kuipongeza serikali.

Mbowe ameyasema hayo leo Disemba 31, 2017 wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu matukio mbalimbali yanayoendelea nchini na kusema kuwa watu wanakufa hovyo, vyuma vimekaza, hivyo anawashangaa...

 

1 year ago

Michuzi

NEWZ ALERT: SERIKALI IPO TAYARI KUGHARAMIA MATIBABU ZAIDI YA MBUNGE TUNDU LISSU

"Serikali yasema ipo tayari kugharamia matibabu zaidi ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Tundu Antiphas Lissu popote Duniani, pindi itakapopata maombi kutoka kwa familia pamoja na taarifa kutoka kwa madaktari kuhusu mahitaji ya matibabu zaidi ya mgonjwa",Waziri Ummy Mwalimu.

 

1 year ago

Channelten

Serikali imesema ipo tayari kugharamia matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu

3

Serikli imesema ipo tayari kugharamia matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu endapo itapkea maombi rasmi kutoka kwa ndugu na jamaa ambao wanashughulikia matibabu yake Nairobi nchini Kenya.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto Ummy Mwalimu katika mkutano na waandishi wa habari jijini Tanga.

Waziri Ummy amesema si vyema suala la matibabu ya Lissu likaendelea kuchukuliwa kisiasa ikiwemo kusambaza taarifa za upotoshaji kwa jamii wakati...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani