Maalim Seif ‘amchana’ Profesa Lipumba

Katibu Mkuu wa CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad amesema ameshangazwa na sababu zilizotolewa na Profesa Ibrahim Lipumba aliyejivua uenyekiti wa chama hicho, kuwa amechukizwa na kitendo cha kukaribishwa kwa makada wa CCM ndani ya Ukawa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

Profesa Lipumba atafuta suluhu na Maalim Seif

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema anawasiliana na wazee na waasisi wa chama hicho Zanzibar ili kutafuta suluhu ya mgogoro uliopo baina ya viongozi wakuu wa chama hicho.

 

3 years ago

Mwananchi

Maalim Seif afunguka kuhusu Profesa Lipumba

Zanzibar/Mtwara. Katibu mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, ambaye amekuwa kimya kuzungumzia sakata linaloendelea ndani ya chama hicho likimuhusisha Profesa Ibrahim Lipumba, jana aliondoa ukimya na kueleza kuwa kinachoendelea ni mpango ulioandaliwa wa kuvuruga jitihada za chama hicho za kudai haki, lakini hautafanikiwa.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Maalim Seif amtolea uvivu Profesa Lipumba

Maalim Seif asema kuwa Prof. Lipumba na Jeshi la Polisi wamekuwa wakishirikiana kufanya hujuma dhidi ya chama cha CUF.

Aidha Katibu Mkuu huyo wa CUF amedai kuwa kuanzia August 2016 Msajili wa vyama hajawapa ruzuku kwa maelezo kuwa chama kina mgogoro.

Na kuongeza kuwa mpaka sasa CUF hawana barua wala taarifa ya sababu zilizomfanya Prof. Lipumba ajiuzulu nafasi yake na kutaka kurudi tena.

The post Maalim Seif amtolea uvivu Profesa Lipumba appeared first on Zanzibar24.

 

2 years ago

Mwananchi

Profesa Lipumba asubiri mwaliko wa Maalim Seif

Profesa Ibrahim Lipumba, ambaye yuko kwenye mgogoro na chama chake cha CUF, amesema kama hasimu wake, Maalim Seif Sharif Hamad atamwalika kwenye sikukuu ya Idd el Fitr, atahudhuria kwa kuwa hana tatizo naye.

 

2 years ago

Zanzibar 24

CUF haitouzwa kwa mtu, maalim Seif acha huruma – Profesa Lipumba asema

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema chama hicho hakitauzwa kwa bei poa wala hatoweza kuuziwa mtu yoyote huku akidai chama hicho kimejengwa kwa muda mrefu.

Akiongea na waandishi wa habari katika makao makuu ya chama hicho, Buguruni jijini Dar es Salaam, Lipumba alitaka kuwepo kwa maridhiano kati yake na Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad.

“Haiwezi kubadilika kwamba Mwenyekiti wa chama hiki na Mungu akinijaliwa nikiwa hai mpaka 2019, Maalim waganga...

 

5 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF, PROFESA LIPUMBA WAPETA TENA UCHAGUZAI WA CUF, JUMA HAJI DUNI MAKAMU MWENYEKITI

Na Hassan Hamad (OMKR)  Mkutano Mkuu wa CUF Taifa umemchagua tena Katibu Mkuu wa Chama hicho kuendelea na wadhifa huo kwa kupata kura 675, sawa na asilimia 99.5 ya kura zilizopigwa.  Mkutano huo pia umemchagua Prof. Ibrahim Lipumba kuwa Mwenyekiti wa CUF Taifa kwa kupata kura 659 sawa na asilimia 95.5 na kumshinda mpinzani wake Chifu Lutalosa Yemba aliyepata kura 30 sawa na asilimia 4 nukta 3.  Aidha mkutano huo umemchagua Mhe. Juma Duni Haji kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho kwa kupata...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Lipumba amtishia jela Mtatiro, Maalim Seif atua Z’bar kumalizana na Lipumba

lipumba

AyoTV kila asubuhi itakua inakuletea uchambuzi wa magazeti ya Tanzania kuhakikisha zote kubwa za siku unazipata, za leo September 27 2016 ziko hapa kwenye hii video. ULIKOSA HII ZIARA YA RAIS MAGUFULI KWENYE BANDARI YA DAR ES SALAAM? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

The post VIDEO: Lipumba amtishia jela Mtatiro, Maalim Seif atua Z’bar kumalizana na Lipumba appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Dewji Blog

Team Lipumba yampiga stop Maalim Seif kuingia ofisini hadi amkubali Lipumba

Ikiwa Baraza Kuu la Uongozi Taifa la Chama cha Wananchi (CUF) limesitisha kuwasili makao makuu ya chama hicho yaliyopo Buguruni Jijini Dar es Salaam kwa madai ya kutokuwepo kwa usalama na kwamba kuna vyombo vya ulinzi vilivyowekwa kumlinda Mwenyekiti wa Chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba.

Wanaojiita wafuasi wa Lipumba wamesema hawatamruhusu Katibu Mkuu wa chama hicho Maalim Seif Shariff Hamadi na baraza lake kuingia katika ofisi za chama hicho hadi atakapo kubali kumtambua Lipumba kama...

 

2 years ago

Mwananchi

Profesa Lipumba amlalamikia Maalim kukosa ruzuku

Mwenyekiti wa CUF anayetambulia na Ofisi ya Msajili wa Vyama Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba amemlalamikia Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharrif Hamad kufungia akaunti zote za chama hicho za wilaya.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani