MAALIMU SEIF AMLIPUA LIPUMBA "NITABAKI KUWA KATIBU WA CUF..SIFUKUZIKI"

Mgogoro wa uongozi ndani ya CUF unaendelea kukitikisa chama hicho baada ya jana katibu mkuu wake, Maalim Seif Sharif Hamad kusema Profesa Ibrahim Lipumba hana uwezo wa kumfukuza uanachama huku akimwambia, “Sifukuziki.”

Maalim Seif alitoa kauli hiyo jana katika kongamano la kujadili mwenendo wa CUF lililofanyika Tandale jijini Dar es Salaam, kumjibu Profesa Lipumba ambaye ni mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa.

Kauli ya makamu huyo kwa kwanza wa Rais...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

MwanaHALISI

Mipango ya Jaji Mutungi, Lipumba kumng’oa Maalimu Seif yafichuka

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa Msajili wa vyama siasa nchini Jaji Francis Mutungi na Mwenyekiti anayetambuliwa na Ofisi yake Profesa Ibrahimu Lipumba wamepanga njama ya kukisambatisha chama hiko pamoja na kumfukuza Katibu mkuu huyo. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Maalimu Seif ameyasema hayo leo alipokutana na wanachama ...

 

4 years ago

Vijimambo

MAALIMU SEIF AREJESHA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CUF

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwasili katika Ofisi za CUF jimbo la Bububu kwa ajili y akurudisha fomu ya kugombea Urais kupitia CUFKatibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akirejesha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama hicho. Fomu hiyo aliyoichukua tarehe 28/05/2015, ameirejesha na kumkabidhi Katibu wa CUF Wilaya ya Magharibi "A" Saleh Mohd Saleh, katika ofisi za Chama hicho zilizoko jimbo la Bububu Zanzibar.Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamasd...

 

2 years ago

Malunde

LIPUMBA AMTUMBUA MAALIM SEIF, AMTEUA MAGDALENA SAKAYA KUKAIMU NAFASI YA KATIBU MKUU CUF

Image result for lipumba na maalim seifMgogoro wa Uongozi wa Chama cha Wananchi CUF umeendelea kufukuta ambapo Mwenyekiti wa Chama hicho anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili Vyama vya Siasa nchini Prof. Ibrahim Lipumba amemteua Naibu Katibu Mkuu Bara, Magdalena Sakaya kukaimu nafasi ya Katibu Mkuu Maalim Seif Sharif Hamad baada ya Maalim Seif kukaidi wito wa Mwenyekiti wake kwenda Ofisi kuu Buguruni kwa zaidi ya mara nne
Prof. Lipumba akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam pamoja na wafuasi wa chama hicho, amesema...

 

4 years ago

Vijimambo

Katibu wa CUF Maalim Seif Akanusha kuhama kwa Mwenyekiti wake Mhe Pro. Ibrahim Lipumba.

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia kwenye mkutano Mkuu wa Chadema uliofanyika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amekanusha taarifa za kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Profesa Ibrahim Haruna Lipumba.

Amesema akiwa Katibu Mkuu wa Chama hicho, hajapokea taarifa zozote za kujiuzulu kwa Prof. Lipumba, na kwamba hadi saa nne za usiku wa jana Jumatatu ya tarehe 03/08/2015, alikuwa na...

 

2 years ago

Malunde

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI : TUNAMTAMBUA MAALIM SEIF KUWA NI KATIBU MKUU WA CUF


Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekishauri Chama cha Wananchi (CUF) kumaliza mgogoro unaoendelea ndani ya Chama hicho kwani unaweza kusababisha kupoteza nafasi za Udiwani katika Uchaguzi Mdogo unaotarajiwa kufanyika wakato wowote kuanzia sasa.
Tahadhari hiyo imetolewa leo na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume hiyo Bw. Kailima Ramadhani katika mahojiano maalum Ofisini kwake kuhusu tuhuma  mbalimbali zilizoelekezwa Tume hiyo ikiwemo suala la Uteuzi wa Wabunge wa Viti Maalum kupitia CUF.
Bw. Kailima...

 

2 years ago

Michuzi

CUF ya Maalim Seif kuiburuza CUF ya Prof.Lipumba mahakamani

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.
BODI ya Wadhamini ya Chama cha Wananchi (CUF ), imefungua kesi ya madai dhidi wanachama wake nane akiwemo Naibu Katibu Mkuu, Magdalena Sakaya
Kesi hiyo imefunguliwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikitaka wanachama hao wasijihusishe na harakati  zozote za chama hicho.
Mbali ya Sakaya ambaye pia ni mbunge wa Kaliua mkoani Tabora, wadaiwa wengine ni Thomas Malima, mbunge wa Mtwara Mjini,Mafta Nachumu, Omar Mhina Masoud, Abdul Kambaya, Salama...

 

5 years ago

Mwananchi

Wanachama 34 CUF wawakataa Seif, Lipumba

>Wanachama 34 wa Chama cha Wananchi (CUF), wamepiga kura za kuwakataa Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba na Katibu Mkuu wake, Maalim Seif Sharif Hamad.

 

3 years ago

TheCitizen

The battle for the soul of CUF: Seif vs Lipumba

In Pemba, they have a saying in their strong Kiswahili dialect that: Sefu n’Kafu na n’Kafu n’Sefu. Literally translated, it means ‘Seif is CUF and CUF is Seif’. The subject here is none other Seif Sharif Hamad, the serial Zanzibari presidential candidate and secretary-general of opposition Civic United Front (CUF).

 

2 years ago

MwanaHALISI

Anayeiuza CUF ni Maalim Seif au Lipumba?

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeingia kwenye mgogoro wa uongozi. Wenye nia mbaya wanasingizia eti Maalim Seif Shariff Hamad anataka kukiuza chama kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anaandika Juma Duni Haji. Profesa Ibrahim Lipumba, aliyevuliwa uanachama wa chama hicho baada ya kuwa mwenyekiti kwa miaka 16, anaeleza fitna hiyo. Profesa ni mtaalamu wa uchumi na ...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani