Maambukizi ya malaria yapungua
WAKATI Serikali ikijiandaa kuanza majaribio ya kiwanda cha mradi wa dawa za kuua viluwiluwi cha Kibaha mkoani Pwani, maambukizi ya malaria nchini yamepungua kwa zaidi ya asilimia 47.
habarileo
Habari Zinazoendana
3 years ago
BBCSwahili17 Sep
Maambukizi ya malaria yapungua Afrika
2 years ago
Habarileo05 Sep
Maambukizi ya malaria yapungua Kilimanjaro
MKOA wa Kilimanjaro umefanikiwa kupunguza mambukizi ya malaria kutoka asilimia tatu mwaka 2012 na kufikia asilimia moja mwaka 2015.
3 years ago
StarTV03 Feb
Maambukizi ya Malaria yapungua kufikia 8.5% Kagera
Kaya zaidi ya laki moja na nusu katika wilaya za Bukoba, Missenyi na Ngara, mkoani
Kagera zinatarajia kunufaika na mradi wa unyunyuziaji wa dawa ya kuzuia mbu majumbani wanaoambukiza ugonjwa wa Malaria.
Takwimu zinaonesha kuwa maambukizi ya ugonjwa huo yamepungua kwa asilimia 41 toka mwaka 2007 hadi kufikia asilimia 8.5.
Hayo yamebainika katika uzinduzi wa mradi wa unyunyuziaji dawa majumbani unaofadhiliwa na serikali ya Marekani ambao umezinduliwa kimkoa katika kata ya Kabale...
1 year ago
MichuziRIPOTI: MAAMBUKIZI YA MARADHI MALARIA YAPUNGUA KWA WASTANI WA ASILIMIA 50
Wakati Maambukizi yakionesha kupungua, inakadiriwa asilimia 90 ya Watanzania Wanaishi kwenye maeneo ambayo kuna maambukizi ya Ugonjwa wa Malaria.
Kiongozi wa Uchunguzi na Matibabu kutoka Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria nchini, Dkt Sixbert Mkude akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam amesema pamoja...
2 months ago
RFI
MSF: Maambukizi ya Malaria yapungua katika kambi ya wakimbizi ya Nduta nchini Tanzania
4 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Maambukizi VVU yapungua
MAAMBUKIZI ya virusi vya Ukimwi (VVU), kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua kwa asilimia 90. Imeelezwa. Hayo yalisemwa na Meneja wa shirika la EGPAF Mkoa wa Tabora, Dk. Alphaxard...
4 years ago
Tanzania Daima19 Oct
Maambukizi ya VVU yapungua
TANZANIA imefanikiwa kupunguza viwango vya maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kutoka asilimia 26 mwaka 2009 hadi kufikia asilimia 15 mwaka 2012. Hayo...
5 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Maambukizi ya VVU kwa wajawazito yapungua
MAAMBUKIZI ya virusi vya ukimwi (VVU) kwa wajawazito yamepungua kutoka asilimia 3 hadi 2.3. Hayo yamebainishwa na Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la EGPAF Mkoa wa Tabora, Alphaxard Lwitakubi, alipozungumza...
3 years ago
Habarileo02 Dec
Maambukizi VVU kwa wajawazito Dodoma yapungua
KIWANGO cha maambukizi ya virusi vya Ukimwi kwa wajawazito mkoani hapa kimeshuka kutoka asilimia 1.9 mwaka jana hadi kufikia asilimia 1.3 mwaka huu.