Maambukizi ya malaria yapungua Kilimanjaro

MKOA wa Kilimanjaro umefanikiwa kupunguza mambukizi ya malaria kutoka asilimia tatu mwaka 2012 na kufikia asilimia moja mwaka 2015.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Habarileo

Maambukizi ya malaria yapungua

WAKATI Serikali ikijiandaa kuanza majaribio ya kiwanda cha mradi wa dawa za kuua viluwiluwi cha Kibaha mkoani Pwani, maambukizi ya malaria nchini yamepungua kwa zaidi ya asilimia 47.

 

4 years ago

BBCSwahili

Maambukizi ya malaria yapungua Afrika

Juhudi za pamoja za kukabiliana na malaria zimechangia kuzuiwa kwa visa takriban 700 milioni vya maambukizi ya ugonjwa huo Afrika.

 

3 years ago

StarTV

Maambukizi ya Malaria yapungua kufikia 8.5% Kagera

Kaya zaidi ya laki moja na nusu katika wilaya za Bukoba, Missenyi na Ngara, mkoani

Kagera zinatarajia kunufaika na mradi wa unyunyuziaji wa dawa ya kuzuia mbu majumbani wanaoambukiza ugonjwa wa Malaria.

Takwimu zinaonesha kuwa maambukizi ya ugonjwa huo yamepungua kwa  asilimia 41 toka mwaka 2007 hadi kufikia asilimia 8.5.

Hayo yamebainika katika uzinduzi  wa mradi wa unyunyuziaji dawa majumbani  unaofadhiliwa na serikali ya  Marekani  ambao  umezinduliwa kimkoa  katika kata ya Kabale...

 

2 years ago

Michuzi

RIPOTI: MAAMBUKIZI YA MARADHI MALARIA YAPUNGUA KWA WASTANI WA ASILIMIA 50

Ripoti ya Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ugonjwa wa Malaria hapa Nchini, inaonesha Kupungua kwa Maambukizi ya Maradhi Malaria Kwa Wastani wa asilimia 50 tangu Mwaka 2000.

Wakati Maambukizi yakionesha kupungua, inakadiriwa asilimia 90 ya Watanzania Wanaishi kwenye maeneo ambayo kuna maambukizi ya Ugonjwa wa Malaria.

 Kiongozi wa Uchunguzi na Matibabu kutoka Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria nchini, Dkt Sixbert   Mkude akizungumza na waandishi wa habari leo  Jijini Dar es Salaam amesema pamoja...

 

4 months ago

RFI

MSF: Maambukizi ya Malaria yapungua katika kambi ya wakimbizi ya Nduta nchini Tanzania

Shirika la Kimataifa la Madaktari wasiokuwa na mipaka MSF, linasema, kiwango cha maambukizi ya ugonjwa wa Malaria, kimepungua kwa kiasi kikubwa kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita katika kambi ya wakimbizi ya Nduta, Magharibi mwa Tanzania.

 

5 years ago

Tanzania Daima

Maambukizi VVU yapungua

MAAMBUKIZI ya virusi vya Ukimwi (VVU), kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua kwa asilimia 90. Imeelezwa. Hayo yalisemwa na Meneja wa shirika la EGPAF Mkoa wa Tabora, Dk. Alphaxard...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Maambukizi ya VVU yapungua

TANZANIA imefanikiwa kupunguza viwango vya maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kutoka asilimia 26 mwaka 2009 hadi kufikia asilimia 15 mwaka 2012. Hayo...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Maambukizi ya VVU kwa wajawazito yapungua

MAAMBUKIZI ya virusi vya ukimwi (VVU) kwa wajawazito yamepungua kutoka asilimia 3 hadi 2.3. Hayo yamebainishwa na Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la EGPAF Mkoa wa Tabora, Alphaxard Lwitakubi, alipozungumza...

 

3 years ago

Habarileo

Maambukizi VVU kwa wajawazito Dodoma yapungua

KIWANGO cha maambukizi ya virusi vya Ukimwi kwa wajawazito mkoani hapa kimeshuka kutoka asilimia 1.9 mwaka jana hadi kufikia asilimia 1.3 mwaka huu.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani