MAAMBUKIZI YA UKIMWI NCHINI YAPUNGUA KWA ASILIMIA 33


Na Rose Masaka na Lorietha Laurence-MAELEZO 
TANZANIA ni miongoni mwa Nchi ambazo zimeweza kupunguza maambuzi ya ugonjwa wa Ukimwi kwa asilimia 33.
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. William Lukuvi wakati akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu Mkutano wa 20 wa Kimataifa wa Ukimwi Duniani uliofanyika Melbourne nchini Australia Julai mwaka huu.
Amesema kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya Serikali kuanza zoezi la kuzuia maambukizi kutoka kwa mama...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

MAAMBUKIZI MAPYA YA VIRUSI VYA UKIMWI YAPUNGUA KWA ASILIMIA 50


Na Anthony John- Glob ya Jamii.
TAKWIMU zinaonyesha kuwa maambukizi mapya ya ukimwi yamepungua ikiwemo kwa watoto kwa asilimia 50% japokuwa bado ni janga kubwa kwa Dunia,Afrika na Tanzania hivyo nguvu zaidi inahitajika kupambana na ugonjwa huo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo hii Jijini Dar es salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania Leonard Maboko amesema kuwa mapambano dhidi ya virusi vya Ukimwi yanatakiwa kuwa endelevu haswa katika maeneo...

 

2 years ago

Malunde

MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YAPUNGUA HADI KUFIKIA ASILIMIA 5.1Kaimu Mkurugrnzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Jumanne Issango akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati akitoa taarifa kuhusu majukumu ya tume hiyo, mafanikio, changamoto na muelekeo wa baadaye. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Tume hiyo , Nadhifa Omar. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Tume hiyo , Nadhifa Omar. , Nadhifa Omar akizungumza wakati akimkaribisha Kaimu Mkurugenzi kuzungumza na wanahabari.Waandishi wa habari...

 

2 years ago

Michuzi

Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI yapungua nchini, Dr. Zekeng

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt Suzan Kolimba (Mb) akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na mapambano dhidi ya ugonjwa wa UKIMWI (UNAIDS), Bw. Dr. Leo Zekeng ofisini kwake jijini Dar Es Salaam leo. Katika mazungumzo hayo, Dkt. Zekeng alisifu jitihada zinazofanywa na Tanzania katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa ukimwi ambazo zimesaidia kupunguza maambukizi ya ugonjwa huo kwa asilimia 25 na pia...

 

2 years ago

Michuzi

RIPOTI: MAAMBUKIZI YA MARADHI MALARIA YAPUNGUA KWA WASTANI WA ASILIMIA 50

Ripoti ya Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ugonjwa wa Malaria hapa Nchini, inaonesha Kupungua kwa Maambukizi ya Maradhi Malaria Kwa Wastani wa asilimia 50 tangu Mwaka 2000.

Wakati Maambukizi yakionesha kupungua, inakadiriwa asilimia 90 ya Watanzania Wanaishi kwenye maeneo ambayo kuna maambukizi ya Ugonjwa wa Malaria.

 Kiongozi wa Uchunguzi na Matibabu kutoka Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria nchini, Dkt Sixbert   Mkude akizungumza na waandishi wa habari leo  Jijini Dar es Salaam amesema pamoja...

 

3 years ago

Dewji Blog

Maambukizi mapya ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) yapungua

Serikali imefanikiwa kupunguza vifo vya akina mama na watoto pamoja na maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi (VVU)katika kipindi cha miaka kumi kuanzia mwaka 2005 hadi 2015.

Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati akitoa ripoti ya utekelezaji wa sera ya afya ya mwaka 2005/2015 jijini Dar es Salaam.

Kuhusu vifo vya akina mama na watoto, Ummy amesema kuwa vifo vya watoto wanaozaliwa vimepungua kutoka vifo 112 katika kila vizazi hai...

 

2 years ago

Channelten

Takwimu zinaonyesha maambukizi ya virusi vya UKIMWI umeendelea kupungua kutoka asilimia 7 hadi kufikia asilimia 5.1

1-1

Takwimu zinaonyesha kuwa kiwango cha maambukizi ya virus vya ukimwi kimeendelea kupungua kutoka asilimia 7 mwaka 2003 hadi kufikia asilimia 5.1 mwaka 2012 huku watu elfu 72 wakipata maambukizi mapya mwaka 2013 kiwango ambacho kimeshuka hadi watu elfu 48 mwaka 2015.

Takwimu hizo zimetolewa jijini dar es salaam na mwakilishi anayeshughulikia masuala ya ukimwi tume ya kudhibiti Ukimwi Tanznia – TACAIDS Dk.Hafidhi Ameir wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani alipokuwa akizungumza na...

 

1 year ago

Michuzi

KIWANGO CHA MAAMBUKIZI YA UKIMWI CHA SHUKA KWA ASILIMIA 3.5 MKOANI GEITA


Na Faudhia Sharifu,Geita
Jumla ya watu 1,412 sawa na asilimia 3.5 wameathirika na virusi vya ukimwi Mkoani Geita uku wanawake wakiwa ni 828 na wanaume wakiwa Ni 584.
Akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya ukimwi Duniani ambayo kimkoa yemefanyika kwenye kijiji na kata ya Nyawilimilwa, Mganga Mkuu wa Mkoa wa huo Dkt Japhet Simeo amesema Takwimu za upimaji wa virusi vya UKIMWI ngazi ya jamii Jumla ya watu waliopimwa maambukizi ya VVU katika kipindi cha Aprili hadi Septemba 2017 ni 40,910...

 

2 years ago

Raia Mwema

Wanawake waongoza kwa maambukizi ya ukimwi nchini

Mbali na jitihada za makusudi za Serikali na wadau wa mapambano dhidi ya UKIMWI nchini bado hali siyo ya kuridhisha ambapo Jiji la Dar es Salaam linashika nafasi ya Sita barani Afrika kwa maambukizi ya ugonjwa huo.

Dar es Salaam ambalo ni Jiji kubwa kuliko yote Tanzania linakadiriwa kuwa na watu 210,000 wanaoishi na virusi vya UKIMWI ambapo kati yao asilimia 58 ni wanawake, na kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 idadi ya wakazi wa jiji hilo inakadiriwa kuwa Milioni...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani