MAAMBUKIZI YA VVU YAPUNGUA KWA ASILIMIA 3-WAZIRI UMMY

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Tanzania Daima

Maambukizi ya VVU kwa wajawazito yapungua

MAAMBUKIZI ya virusi vya ukimwi (VVU) kwa wajawazito yamepungua kutoka asilimia 3 hadi 2.3. Hayo yamebainishwa na Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la EGPAF Mkoa wa Tabora, Alphaxard Lwitakubi, alipozungumza...

 

3 years ago

Habarileo

Maambukizi VVU kwa wajawazito Dodoma yapungua

KIWANGO cha maambukizi ya virusi vya Ukimwi kwa wajawazito mkoani hapa kimeshuka kutoka asilimia 1.9 mwaka jana hadi kufikia asilimia 1.3 mwaka huu.

 

5 years ago

Michuzi

MAAMBUKIZI YA UKIMWI NCHINI YAPUNGUA KWA ASILIMIA 33


Na Rose Masaka na Lorietha Laurence-MAELEZO 
TANZANIA ni miongoni mwa Nchi ambazo zimeweza kupunguza maambuzi ya ugonjwa wa Ukimwi kwa asilimia 33.
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. William Lukuvi wakati akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu Mkutano wa 20 wa Kimataifa wa Ukimwi Duniani uliofanyika Melbourne nchini Australia Julai mwaka huu.
Amesema kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya Serikali kuanza zoezi la kuzuia maambukizi kutoka kwa mama...

 

2 years ago

Michuzi

MAAMBUKIZI MAPYA YA VIRUSI VYA UKIMWI YAPUNGUA KWA ASILIMIA 50


Na Anthony John- Glob ya Jamii.
TAKWIMU zinaonyesha kuwa maambukizi mapya ya ukimwi yamepungua ikiwemo kwa watoto kwa asilimia 50% japokuwa bado ni janga kubwa kwa Dunia,Afrika na Tanzania hivyo nguvu zaidi inahitajika kupambana na ugonjwa huo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo hii Jijini Dar es salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania Leonard Maboko amesema kuwa mapambano dhidi ya virusi vya Ukimwi yanatakiwa kuwa endelevu haswa katika maeneo...

 

2 years ago

Michuzi

RIPOTI: MAAMBUKIZI YA MARADHI MALARIA YAPUNGUA KWA WASTANI WA ASILIMIA 50

Ripoti ya Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ugonjwa wa Malaria hapa Nchini, inaonesha Kupungua kwa Maambukizi ya Maradhi Malaria Kwa Wastani wa asilimia 50 tangu Mwaka 2000.

Wakati Maambukizi yakionesha kupungua, inakadiriwa asilimia 90 ya Watanzania Wanaishi kwenye maeneo ambayo kuna maambukizi ya Ugonjwa wa Malaria.

 Kiongozi wa Uchunguzi na Matibabu kutoka Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria nchini, Dkt Sixbert   Mkude akizungumza na waandishi wa habari leo  Jijini Dar es Salaam amesema pamoja...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Maambukizi VVU yapungua

MAAMBUKIZI ya virusi vya Ukimwi (VVU), kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua kwa asilimia 90. Imeelezwa. Hayo yalisemwa na Meneja wa shirika la EGPAF Mkoa wa Tabora, Dk. Alphaxard...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Maambukizi ya VVU yapungua

TANZANIA imefanikiwa kupunguza viwango vya maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kutoka asilimia 26 mwaka 2009 hadi kufikia asilimia 15 mwaka 2012. Hayo...

 

5 years ago

Michuzi

MAAMBUKIZI YA VVU JIJINI DAR ES SALAAM YAPUNGUA

Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es salaam Bi. Terezia Mmbando (kulia) akitoa taarifa ya hali ya maambukizi ya VVU na Ukimwi katika jiji la Dar es salaam kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) Dkt. Fatma Mrisho alipotembelea maeneo mbalimbali ya jiji hilo kuangalia hatua zilizofikiwa katika kupambana na ugonjwa huo katika ziara yake ya siku nne. Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akitoa tathmini ya hali ya...

 

3 years ago

Dewji Blog

Maambukizi mapya ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) yapungua

Serikali imefanikiwa kupunguza vifo vya akina mama na watoto pamoja na maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi (VVU)katika kipindi cha miaka kumi kuanzia mwaka 2005 hadi 2015.

Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati akitoa ripoti ya utekelezaji wa sera ya afya ya mwaka 2005/2015 jijini Dar es Salaam.

Kuhusu vifo vya akina mama na watoto, Ummy amesema kuwa vifo vya watoto wanaozaliwa vimepungua kutoka vifo 112 katika kila vizazi hai...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani