Maamuzi ya Zari yanavyodaiwa kumtesa Diamond Platnumz

Leo February 16,2018 Diamond Platnumz ameonekana kuonyesha hisia zake juu ya maamuzi  ya Zari kuachana nae, kupitia instagram account yake Diamond amekuwa akipost video clips mbalimbali za nyimbo za mapenzi. Kupitia instagram ya Diamond Platnumz amepost kipande cha wimbo wake wa Sikomi na kuandika “Unajua Nyimbo zingine Unaziimba ila Hata we mwenyewe zinakuingia Baadae😟…. Anyways 28 […]

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Malunde

MUME WA ZARI DIAMOND PLATNUMZ ATOA NENO KIFO CHA MZAZI MWENZA NA ZARI IVAN

Alfajiri ya leo May 25, 2017 ziliripotwa taarifa za kifo cha aliyekuwa Baba wa watoto wa Zari The Boss Lady Ivan Semwanga ambaye ni mfanyabiasha maarufu kutoka Uganda.
Watu mbalimbali wametuma salamu zao za rambirambi kwa msiba huo akiwemo Diamond Platnumz ambaye ni mpenzi wa sasa wa Zari na wakiwa na watoto wawili, Diamond aliweka picha ya mshumaa na kuandika maneno manne ‘mbele yako, nyuma yetu‘

 

3 years ago

Bongo Movies

Sijawahi Kumsaliti Zari – Diamond Platnumz

Msanii Diamond Platnumz alipokuwa kwenye kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio wiki kadhaa zilizopita alifunguka na kusema kuwa katika maisha yake toka ameanza kuwa na mahusiano na Zari hajawahi kumsaliti.

Diamond Akiwa na Zari

Diamond Akiwa na Zari

Diamond Platnumz anasema kuwa moja ya sababu kubwa kwa yeye kutomsaliti mpenzi wake huyo kwanza ni kwa sababu wanaonana mara kwa mara lakini kingine alidai kuwa kazi ya muziki siku zote inamfanya kuwa ‘busy’ kuhangaika na muziki hivyo hapati nafasi hiyo ya...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: 40 ya Nillah wa Diamond Platnumz na Zari

40 ya mtoto wa pili wa Diamond Platnumz aitwae Nillan ndio imefanyika leo February 11 2017 ambapo Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari wamefanya shughuli yenyewe nyumbani kwao Dar es salaam. VIDEO: Diamond “Nimewaona wanaosema Tiffah sio mtoto wangu” FULL VIDEO PLAY HAPA CHINI

The post VIDEO: 40 ya Nillah wa Diamond Platnumz na Zari appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

Malunde

ZARI AMMWAGIA MATUSI DIAMOND PLATNUMZ MTANDAONI

Aliyekuwa mpenzi wa Diamond Platinumz ambaye ni mama wa watoto wawili wa msanii huyo, Zari The Boss Lady ameshindwa kuficha hasira zake na kumshambulia kwa matusi mtandaoni.
Mashambulizi ya Zari aliyoyatoa kupitia snapchat, muda mfupi kabla hajaelekea kanisani yalionekana yakihusishwa na ujumbe ambao Diamond aliuandika kwenye Instagram kuhusu wanawake akipigia debe tukio linalofanywa  na Zamaradi Mketema.
“Ikiwa Mama yangu alinilea Pekee hadi kufika hapa…Naamini Mwanamke ni Kiongozi bora...

 

4 years ago

Bongo5

Picha: Zari The Bosslady na Diamond Platnumz ni Kimye wa Afrika!

Kabla ya kukutana na Diamond Platnumz, Zari the Bosslady alikuwa tayari ni mwanamke maarufu nchini Uganda. Utajiri na urembo wake ulimfanya aitwe Kim Kardashian wa Uganda. Zari anamiliki msululu wa magari ya kifahari yakiwemo Range Rovers, Bentley, Limousine, Mercedes Benz, Chrysler na mengine ambapo mengi kati yake yana plate number za jina lake. Anamiliki mijengo […]

 

2 years ago

Malunde

DIAMOND PLATNUMZ KUHUDHURIA MAZISHI YA MUME WA ZAMANI WA ZARI?

Mwanamuziki,Diamond Plantinumz  alikuwa  nchini Kenya kwa ajili ya tamasha la Koroga ambalo lilifanyika jana  Jumapili Mei 28,2017

Diamond aliwahutubia wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi na kuzungumzia kifo cha aliyekuwa mme wa mkewe wa sasa, Ivan Ssemwanga
Ssemwanga alifariki akiwa amelazwa katika hospitali moja nchini Afrika Kusini baada ya kukumbwa na mshtuko wa moyo****Mwanamuziki, Diamond Plantinumz amezungumzia kifo cha aliyekuwa mme wa mkewe ,Zari Hassan ambaye alifariki juma...

 

2 years ago

MillardAyo

Maneno ya hasira ya Diamond Platnumz kwenye picha ya Zari

Sote tunajua Diamond Platnumz na Zari ni Wapenzi walioshibana na kwenye mapenzi yao wamefanikiwa kupata watoto wawili. Kwenye saa 20 zilizopita kumekua na picha zinazosambaa mitandaoni zikimuonyesha Zari akiwa ndani ya maji ambapo kwenye picha alizopost yeye alionekana mwenyewe lakini kuna nyingine zimesambaa zikimuonyesha akiwa na Mwanaume. Mpenzi wake ambaye ni Diamond Platnumz amepost moja ya hizo […]

The post Maneno ya hasira ya Diamond Platnumz kwenye picha ya Zari appeared first on...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani