Maandamano mabaya yashuhudiwa Ethiopia

Waandamanaji wanawalaumu polisi kwa kutekeleza mauaji na ukiukaji mwingine wa haki za binadamu dhidi ya watu wa Oromo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Maandamano yashuhudiwa Kenya

Waandamanaji wa upinzani nchini Kenya wamefunga barabara kwa kuchoma magurudumu, katika mji wa Kisumu ulio magharibi mwa nchi hiyo.

 

4 years ago

BBCSwahili

Maandamano Ethiopia:Tisa wauawa

Wanafunzi wapatao tisa wameuawa wakati wa maandamano ya siku kadha nchini Ethiopia

 

2 years ago

Channelten

Maandamano ya Wananchi nchini Ethiopia

ethiopia

Wananchi wa jimbo la OROMIA nchini ETHIOPIA,wameandamana wakidai kuwa serikali ya nchi hiyo ina njama ya
kuwadhulumu ardhi yao ambayo serikali inataka kupanua mji mkuu wa ADDIS ABABA,lakini inawazuia kwa kutumia nguvu kubwa na kusababisha wananchi wengine kuuwawa na wengine kujeruhiwa.

Wakiongea huku wakitaka wasitajwe wala kupigwa picha,waanachi waliohojiwa na vyombo vya habari vya nje walisema nguvu kubwa inayotumiwa na serikali inasababisha majeruhi katika rika zote wakiwemo watoto wa...

 

1 year ago

BBCSwahili

Maandamano: Watu 10 wauawa Ethiopia

Makumi ya maelfu ya watu kutoka kabila la Amharic wameshiriki katika maandamano dhidi ya Serikali nchini Ethiopia katika mji wa kaskazini wa Gondar.

 

1 year ago

BBCSwahili

''Zaidi ya 100 walifariki'' katika maandamano Ethiopia

Daktari mmoja katika hospitali ya mji wa Ethiopia ambapo watu kadhaa waliuawa katika mkanyagano wakati wa maandamano amesema kuwa zaidi ya watu 100 walifariki

 

1 year ago

BBCSwahili

Maandamano mapya ya kupinga serikali yazuka Ethiopia

Maandamano mapya ya kupinga serikali ya Ethiopia yamefanyika, siku moja tu baada ya watu kadhaa kufariki kutokana na mkanyagano

 

1 year ago

BBCSwahili

Waliopoteza mali wakati wa maandamano Ethiopia kusaidiwa kujiinua

Baadhi ya biashara za kigeni ambazo ziliteketezwa katika maandamano dhidi ya serikali mwezi uliopita nchini Ethiopia sasa zimerejelea shuguli zao.

 

2 months ago

Channelten

Machafuko nchini Ethiopia, Watu 2 wameuawa katika maandamano makubwa.

4bka0a3761eae5frc7_800C450

Takriban watu 2 wameuawa kwenye maandamano makubwa yaliyoibuka nchini Ethiopia maandamano ambayo waandamanaji wanadai kulilaum jeshi la polisi
kwa kutekeleza mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu kwa watu jamii ya Oromo.

Habari zinasema kwamba zaidi ya watu 600 wamehama wakati wa makabiliano yaliyotokea siku ya Jumanne katika miji iliyo mashariki mwa nchi hiyo

Serikali imesema kuwa ghasia hizo zimesabaishwa na mzozo wa mpaka kati ya watu wa Oromo na majirani zao walio eneo la Somalia...

 

2 years ago

BBCSwahili

Mililongo yashuhudiwa hospitalini Ghana

Kuna milolongo mirefu katika kitengo cha wagonjwa wanaokuja wakienda katika hospitali za serikali ya Ghana ,baada ya madaktari kurudi kazini kufuatia mgomo wa wiki tatu.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani