MABADILIKO YA MUDA WA MATUMIZI YA DARAJA LA KIGAMBONI SIKU YA JUMANNE TAREHE 19 APRILI 2016

 Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inapenda kutaarifu Umma kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe ya ufunguzi wa Daraja la Kigamboni kesho, Jumanne tarehe 19 Aprili, 2016.
Kutokana na ufunguzi huo, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inawataarifu watumiaji barabara na Wananchi wote wanaotumia daraja hilo kuwa huduma ya magari kutumia daraja hilo itafungwa kwa muda kuanzia saa 1:00 asubuhi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

DARAJA LA KIGAMBONI KUFUNGULIWA RASMI JUMANNE APRILI 19, 2016


Viongozi Shrika la Taifa Hifadhi ya Jamii NSSF wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakandarasi wa daraja la Kigamboni wakati lilipofunguliwa kwa ajili ya kupita magari kupita bure huku watembea kwa miguu na waendesha baiskeli wakipita bure. Daraja hilo litazinduliwa rasmi na Rais Dk. John Magufuli Jumanne tarehe 19.4.2016. Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Karim Mataka akiwa katika eneo la daraja la Kigamboni mara baada ya kufunguliwa kwaajili ya kupita magari na waenda...

 

3 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA WADAU WALIOSHUHUDIA UZINDUZI WA DARAJA LA NYERERE KIGAMBONI JANA APRILI 19, 2016


 Rais John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Naibu Kamishna wa Uhamiaji George Goda alipowasili Kigamboni na mkewe mama Janeth Magufuli kuzindua daraja la Nyerere na Jumanne Aprili 19, 2016 Wadau kutoka sehemu mbali mbali wakishuhudia siku hii ya kihistoria Viongozi wa taasisi mbalimbali pamoja na wananchiRais John Pombe Joseph Magufuliakichukua mkasi kukata utepe  kuzindua daraja la Nyerere huko Kigamboni Jumanne Aprili 19, 2016.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

5 years ago

Michuzi

sherehe za miaka hamsini ya Jamhuri ya Muungano waTanzania kwa muda wa siku mbili kuanzia tarehe 25 hadi 26 Aprili, 2014 nchini Ujerumani

KARIBUNI WOTE
Kama mnavyofahamu kuwa siku ya tarehe 26 Aprili, 2014 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatimiza miaka hamsini (50), kwa lugha nyingine ni “Golden Jubilee”.
Katika kuadhimisha sherehe hii kubwa na muhimu, Ubalozi umeamua kuandaa Kongamano la Biashara (Investment Forum) kwa siku ya tarehe 25 Aprili, 2014 pamoja na siku ya terehe 26 Aprili, 2014 kuwa siku ya mdahalo (Scholars' day) mjini Berlin, Ujerumani. 
Madhumuni makubwa ya Kongamano hili ni kuwatangazia na kuwaonyesha...

 

3 years ago

Michuzi

DARAJA LA KIGAMBONI KUFUNGULIWA RASMI APRILI.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, amesema daraja la Kigamboni litafunguliwa rasmi Aprili, 16 mwaka huu.Amesema kazi inayoendelea sasa hivi ni kupitisha magari maalum kwa ajili ya kupima ubora wa daraja hilo ili kujiridhisha kabla ya kukabidhiwa rasmi Serikalini.Amewataka watumiaji wa daraja hilo kuwa waangalifu, kulinda miundombinu na kuepuka vitendo vya hujuma  ili lidumu kwa muda mrefu.“Daraja hili lina urefu wa mita 640, barabara sita, tatu zinapanda na...

 

3 years ago

Michuzi

DARAJA LA KIGAMBONI SASA KUFUNGULIWA RASMI APRILI

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, amesema daraja la Kigamboni litafunguliwa rasmi Aprili, 16 mwaka huu. Amesema kazi inayoendelea sasa hivi ni kupitisha magari maalum kwa ajili ya kupima ubora wa daraja hilo ili kujiridhisha kabla ya kukabidhiwa rasmi Serikalini.
Amewataka watumiaji wa daraja hilo kuwa waangalifu, kulinda miundombinu na kuepuka vitendo vya hujuma ili lidumu kwa muda mrefu. “Daraja hili lina urefu wa mita 640, barabara sita, tatu zinapanda na...

 

3 years ago

Global Publishers

Daraja la Kigamboni kufunguliwa rasmi keshokutwa Jumanne

YBY_0636
Viongozi Shrika la Taifa Hifadhi ya Jamii NSSF wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakandarasi wa daraja la Kigamboni wakati lilipofunguliwa kwa ajili ya kupita magari kupita bure huku watembea kwa miguu na waendesha baiskeli wakipita bure. Daraja hilo litazinduliwa rasmi na Rais Dk. John Magufuli Jumanne tarehe 19.4.2016.

YBY_0641Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Karim Mataka akiwa katika eneo la daraja la Kigamboni mara baada ya kufunguliwa kwaajili ya kupita magari na waenda...

 

3 years ago

Dewji Blog

Daraja la Kigamboni kufanyiwa majaribio leo 16 Aprili, Wananchi kulitumia kuvuka

Wakazi wa jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake Jumamosi ya leo ya 16 Aprili  wamepewa fursa ya  kulitumia kwa mara ya kwanza Daraja la Kigamboni  (Pichani) linalotarijiwa kufunguliwa rasmi na Rais John Pombe Magufuli siku ya Jumanne ya wiki ijayo.

Kwa mujibu wa Meneja mradi wa  kampuni ya China Railway Construction Engineering Group ambao wametekeleza mradi huo kwa ushirikiano na kampuni ya China Railway Major Bridge Group Bw.Zhang Bangxu,  wameelza kuwa  siku ya leo wataruhusu wakazi hao...

 

4 years ago

Habarileo

JK avuka Kigamboni kutumia daraja la muda

RAIS Jakaya Kikwete amekuwa Mtanzania wa kwanza kuvuka rasmi Bahari ya Hindi kwa gari kwenda Kigamboni akitokea mjini Dar es Salaam.

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA MHE.UMMY MWALIMU ATOA TAMKO KUHUSU SIKU YA KUPINGA MATUMIZI YA TUMBAKU DUNIANI, TAREHE 31 MEI 2016Siku ya kupinga matumizi ya Tumbaku Duniani, huadhimishwa duniani kote kila mwaka tarehe 31 Mei.Kaulimbiu ya Maadhimisho ya Siku ya kupinga matumizi ya tumbaku mwaka 2016 ni “jiandae kwa pakiti zisizo na matangazo wala vivutio”Kauli mbiu hii inalenga kuhamasisha jamii juu ya kujiepusha au kujikinga na vivutio mbalimbali vya matangazo yanayo hamasisha matumizi ya sigara ambayo ina madhara mengi kiafya.
Tanzania kama zilivyo nchi nyingine duniani inaadhimisha siku hii, kwa Wizara ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani