Mabaki ya EgyptAir yapatikana

Mamlaka ya Misri inasema mabaki ya ndege ya EgyptAir ambayo ilianguka katika bahari ya Mediteranian mwezi uliopita ikiwa imebeba abiria sitini na sita yamebainika yalipo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

Mabaki ya ndege ya EgyptAir yapatikana

Duru za kampuni ya ndege ya EGYPTAIR zimesema kuwa wizara ya usafiri wa anga nchini humo imepokea barua inayothibitisha kupatikana kwa mabaki ya ndege iliotoweka ya MS 804

 

3 years ago

BBCSwahili

Mabaki ya ndege ya EgyptAir yapatikana

Jeshi la Misri na shirika la safari za ndege nchini humo limesema kuwa mabaki ya ndege ya Egyptair iliotoweka yamepatikana katika bahari ya Mediterenean.

 

3 years ago

BBCSwahili

EgyptAir: Mabaki ya ndege yatafutwa

Siku moja baada ya ndege ya shirika la Misri la EgyptAir kutoweka, vifusi vya ndege hiyo bado havijapatikana.

 

3 years ago

BBCSwahili

Picha mpya za mabaki ya EgyptAir zatolewa

Jeshi la misri limetoa picha za vifaa vilivyopatatikana wakati wa shughuli ya kutafuta ndege iliyopotea ya EgyptAir katika bahari ya Mediterranean.

 

3 years ago

Channelten

Mabaki ya Ndege ya EgyptAir yamebainika yalipo

egyptair-wreckage-2

Mamlaka ya Misri inasema mabaki ya ndege ya EgyptAir ambayo ilianguka katika bahari ya Mediteranian mwezi uliopita ikiwa imebeba abiria sitini na sita yameweza kubainika yalipo.

Katika maelezo yaliyotolewa na kamati husika ya uchunguzi wa ajali hiyo wanasema ,meli inayotafuta mabaki ya ndege ya EgyptAir imeweza kubaini maeneo kadhaa ambayo mabaki ya ndege ya A320 yapo na kutoa picha ya kwanza ya masalio hayo.

Kwa sasa kikosi hicho cha wakaguzi walioko melini watachora ramani wakionesha...

 

3 years ago

Bongo5

Mabaki ya ndege ya EgyptAir yabainika yalipo

Mamlaka ya Misri imesema mabaki ya ndege ya EgyptAir ambayo ilianguka katika bahari ya Mediteranian mwezi uliopita ikiwa imebeba abiria sitini na sita yameweza kubainika yalipo.

160521031956_egyptair_airbus_320_512x288_reuters_nocredit

Katika maelezo yaliyotolewa na kamati husika ya uchunguzi wa ajali hiyo wanasema ,meli inayotafuta mabaki ya ndege ya EgyptAir imeweza kubaini maeneo kadhaa ambayo mabaki ya ndege ya A320 yapo na kutoa picha ya kwanza ya masalio hayo.

Kwa sasa kikosi hicho cha wakaguzi walioko melini watachora ramani wakionesha...

 

3 years ago

BBCSwahili

Mabaki ya ndege yapatikana?

Malaysia imesema kuna uwezekano mkubwa kuwa kifusi kilichogunduliwa Msumbiji cha ndege ya Boeing 777, ni aina sawa na ile ya MH370

 

3 years ago

Channelten

Picha za mwanzo za mabaki ya ndege ya abiria ya EgyptAir

Egyptair Debris photos released by Egyptian Armed Forces

Jeshi la Misri limetoa picha za mwanzo za mabaki ya ndege ya abiria ya EgyptAir iliyoanguka katika bahari ya Mediterania siku ya Alhamisi.

Picha hizo zinaonesha sehemu za kiti cha ndege, koti la kuokoa maisha na vipande vya mizigo ambapo maafisa usalama wanasema bado wanatafuta Kisanduku cheusi cha kunasa mawasiliano ambacho wanatumai kitasaidia katika kuelewa zaidi chanzo kuanguka ndege hiyo.

CjAB_nQWEAE7sxG

Hakuna kundi lolote la kigaidi lililodai kuhusika na tukio hilo inagwa pia maafisa wamekataa...

 

3 years ago

Mwananchi

Mabaki ya ndege iliyopotea yapatikana

Mabaki ya ndege ya Shirika la EgyptAir la nchini Misri iliyopotea mwishoni mwa mwezi uliopita, yamepatikana.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani