MABAKI YA MWILI WA MSTAAFU ALIYEPOTEA BAADA KUPOKEA MAFAO YAPATIKANA MAKABURINI Inawezekana likawa ni moja ya tukio la nadra kutokea nchini. Alison Mcharo aliyepotea mwaka 2006 imebainika kuwa aliuawa na kuzikwa katika makaburi ya familia yake.
Mcharo aliyekuwa mkazi wa Kijiji cha Mpinji, Kata ya Mamba Myamba wilayani Same, alipotea baada ya kupokea mafao yake ya kustaafu kazi ya ualimu.
Inadaiwa kuwa Mcharo alitoweka baada ya kufika nyumbani na hakuonekana tena.
Jana, Polisi Mkoa wa Kilimanjaro walisema kuwa wamewatia mbaroni mkewe, Nasemba Alison (80) na mtoto wake,...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Mabaki ya mwili wa mtoto yaokotwa baada ya kuuawa na Fisi, Geita

Mtoto wa miaka sita Joseph Simon, mkazi wa kijiji cha Buzanaki, Kata ya  Nyamarimbe wilaya na mkoa wa  Geita ameuawa na fisi na kisha kuliwa baadhi ya viungo vya mwili wake kabla ya familia kwa kushirikiana na wanakijiji kuokota mabaki ya mwili wake.

Wanakijiji wakishirikiana na familia husika walifanikiwa  kuokota mabaki ya mwili wa mtoto huyo yakiwamo utumbo na kipande cha mfupa wa ambavyo vilizikwa kwa heshima kijijini Buzanaki na tayari fisi saba wameuawa katika nyakati tofauti katika...

 

3 years ago

BBCSwahili

Mabaki ya ndege yapatikana?

Malaysia imesema kuna uwezekano mkubwa kuwa kifusi kilichogunduliwa Msumbiji cha ndege ya Boeing 777, ni aina sawa na ile ya MH370

 

3 years ago

BBCSwahili

Mabaki ya EgyptAir yapatikana

Mamlaka ya Misri inasema mabaki ya ndege ya EgyptAir ambayo ilianguka katika bahari ya Mediteranian mwezi uliopita ikiwa imebeba abiria sitini na sita yamebainika yalipo

 

3 years ago

BBCSwahili

Mabaki ya ndege ya EgyptAir yapatikana

Duru za kampuni ya ndege ya EGYPTAIR zimesema kuwa wizara ya usafiri wa anga nchini humo imepokea barua inayothibitisha kupatikana kwa mabaki ya ndege iliotoweka ya MS 804

 

3 years ago

BBCSwahili

Mabaki ya ndege ya EgyptAir yapatikana

Jeshi la Misri na shirika la safari za ndege nchini humo limesema kuwa mabaki ya ndege ya Egyptair iliotoweka yamepatikana katika bahari ya Mediterenean.

 

3 years ago

Mwananchi

Mabaki ya ndege iliyopotea yapatikana

Mabaki ya ndege ya Shirika la EgyptAir la nchini Misri iliyopotea mwishoni mwa mwezi uliopita, yamepatikana.

 

3 years ago

BBCSwahili

Mabaki ya Wafilisti yapatikana Israel

Watafiti wa mambo ya kale nchini Israel wamegundua makaburi ya kwanza ya Wafilisti, ambao walikuwa na mpiganaji jitu kwa jina Goliath kwa mujibu wa Biblia.

 

3 years ago

BBCSwahili

Mabaki ya MH370 yapatikana nchini Madagascar

Sehemu tano za mabaki ya ndege ambazo zinaweza kuwa za ndege iliyotoweka wa shirika la ndege la Malaysia ya MH370 zimepatikana nchini Madagascar.

 

3 years ago

BBCSwahili

Mabaki yanayokisiwa kuwa ya ndege ya Malaysia yapatikana TZ

Maafisa wa uchukuzi nchini Tanzania wanachunguza iwapo mabaki ya ndege yaliyopatikana ufuoni ni ya ndege ya Malaysia iliyotoweka miaka miwili iliyopita.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani