Mabaki yanayokisiwa kuwa ya ndege ya Malaysia yapatikana TZ

Maafisa wa uchukuzi nchini Tanzania wanachunguza iwapo mabaki ya ndege yaliyopatikana ufuoni ni ya ndege ya Malaysia iliyotoweka miaka miwili iliyopita.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

PICHA SI ZA MABAKI YA NDEGE YA MALAYSIA - MAOFISA WA MALAYSIA

Waziri wa ulinzi Hishammuddin Hussein (katikati) akikanusha madai ya ndege kukaa masaa manne hewani kabla ya kupotea.…

 

3 years ago

BBCSwahili

Mabaki ya ndege yapatikana?

Malaysia imesema kuna uwezekano mkubwa kuwa kifusi kilichogunduliwa Msumbiji cha ndege ya Boeing 777, ni aina sawa na ile ya MH370

 

3 years ago

BBCSwahili

Mabaki ya ndege ya EgyptAir yapatikana

Duru za kampuni ya ndege ya EGYPTAIR zimesema kuwa wizara ya usafiri wa anga nchini humo imepokea barua inayothibitisha kupatikana kwa mabaki ya ndege iliotoweka ya MS 804

 

3 years ago

BBCSwahili

Mabaki ya ndege ya EgyptAir yapatikana

Jeshi la Misri na shirika la safari za ndege nchini humo limesema kuwa mabaki ya ndege ya Egyptair iliotoweka yamepatikana katika bahari ya Mediterenean.

 

3 years ago

Mwananchi

Mabaki ya ndege iliyopotea yapatikana

Mabaki ya ndege ya Shirika la EgyptAir la nchini Misri iliyopotea mwishoni mwa mwezi uliopita, yamepatikana.

 

2 years ago

BBCSwahili

Mabaki ya ndege ya Myanmar na miili yapatikana baharini

Jeshi la Burma linasema kuwa mabaki yamepatikana baada ya ndege ya jeshi kutoweka ikiwa na watu 122.

 

10 months ago

VOASwahili

Kenya: Mabaki ya ndege yapatikana, 10 wapoteza maisha

Mabaki ya Ndege iliyopotea siku ya Jumanne nchini Kenya, yamepatikana Alhamisi katika msitu wa Aberdares, ulioko takriban Kilomita 130 Kaskazini mwa mji wa Nairobi.

 

2 years ago

Mwananchi

Mabaki ya ndege ya Burma iliyopotea na abiria 122 yapatikana

Jeshi la Burma limesema kuwa mabaki ya ndege yake iliyotoweka  jana  katika anga ya Bahari ya Andaman ikiwa na abiria 122 yamepatikana.

 

10 months ago

BBCSwahili

Mabaki ya ndege iliotoweka na abiria 10 nchini Kenya yapatikana

Mabaki ya ndege ya kampuni ya FlySax yaliopatikana katika eneo la Aberdares yameharibika vibaya kulingana na katibu wa idara ya uchukuzi Paul Maringa

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani