Mabao 26 ya Yanga yawatisha Ngaya

STORI: Elie Djouma | CHAMPIONI | COMORO

KWA rekodi Yanga imecheza na timu mbili za Comoro hadi sasa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika na kuzifunga jumla ya mabao 26 katika mechi mbili za nyumbani na ugenini.

Rekodi hiyo imewatisha wachezaji wa Ngaya Club de Mbe ambao kesho watacheza na Yanga katika Ligi ya Mabingwa Ulaya kwenye Uwanja wa Moroni jijini Moroni.

Hii ni mara ya tatu kwa Yanga kucheza na timu ya Comoro, kwani mwaka 2009 ilicheza na Etoile d’or de Mirontsy na kuifunga jumla ya mabao...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Yanga yawatisha Ngoma, Bossou

Yanga imewaonya wachezaji wake kuachana na tabia ya kutumia mitandao kufanya mambo ya kuidhalilisha klabu hiyo.

 

2 years ago

Global Publishers

Yanga Waibabua 5 -1 Ngaya ya Comoro

 

KLABU ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 5-1 dhidi ya Klabu ya Ngaya ya Visiwani Comoro.

Magoli ya Yanga yamepachikwa na Zulu dakika 43, Simon Msuva dakika ya 45, Chirwa dakika ya 59, Amis Tambwe dakika ya 65 na Thaaban Kamusoko dakika ya 7. Huku upande wa Ngaya, bao lao la kufutia machozi limepachikwa na Said Khalfan dakika ya 66.

 

===========

MHIGH LIGTH ZA MCHEZO

MPIRA UMEKISHAAAA

Dk 89, Yanga wanaendelea kushambulia kwa kasi, Chirwa anaingia lakini Mohamed Zahir anamzuia...

 

2 years ago

Mwananchi

Watano waibeba Yanga ikiichapa Ngaya 5-1

Mabao matano yaliyofungwa na nyota watano wa Yanga; Justine Zullu, Simon Msuva, Obrey Chirwa, Amissi Tambwe na Thaban Kamusoko dhidi ya Ngaya FC ya Comoro yameiwezesha kutoa onyo kwa timu zingine itakazokutana nazo kwenye Ligi ya Mabingwa barani Afrika.

 

2 years ago

BBCSwahili

Yanga na Ngaya kukipiga Dar-Es-Salaam

Mchezo wa marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Young Africans ya Tanzania na Ngaya ya Comoro hatua ya awali utachezeshwa na Waamuzi kutoka Uganda.

 

2 years ago

Michuzi

YANGA VS NGAYA NI BUKU TATU TU, KUWAKOSA WACHEZAJI WATATU

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetangaza viingilio vya mechi yao marudiano dhidi ya Ngaya unaotarajiwa kufanyika wikiendi hii.
Akizungumnzia viingilio hivyo, Afisa Masoko wa klabu hiyo, Omar Kaaya amesema kiingilio cha chini kitakuwa ni shiilingi 3000 kwa majukwaa ya mzunguko na viti vya machungwa,  VIP A  ni Tsh  20,000, VIP  B  ni Tsh  10,000 na VIP  C itakuwa Tsh  10,000.
Kaaya amewataka mashabiki wa Yanga kuja kwa wingi uwanjani ili kuishan gilia timu yao na...

 

2 years ago

Michuzi

WAAMUZI TOKA UGANDA KUCHEZESHA MCHEZO WA YANGA VS NGAYA JUMAMOSI

Kikosi cha Yanga
Na Zainab Nyamka, Globu 
Mchezo wa marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Young Africans ya Tanzania na Ngaya ya Comoro hatua ya awali utachezeshwa na Waamuzi kutoka Uganda.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), waamuzi hao ni Alex Muhabi Nsulumbi atakapuliza filimbi uwanjani.
Nsulumbi atasaidiwa na Ronald Kakenya na Lee Okello wakati Mwamuzi wa Akiba atakuwa Brian Nsubuga Miro huku Kamishna akitokea Afrika Kusini ambaye ni Monnyenyone...

 

2 years ago

Michuzi

TIMU YA NGAYA YA COMORO YAWASILI NCHINI KUMENYANA NA YANGA JUMAMOSI UWANJA WA TAIFA


Na Dotto Mwaibale

KIKOSI cha Timu ya Ngaya kutoka nchini Comoro kimewasili nchini kwa ajili ya mechi ya marudiano dhidi ya Yanga katika dimba litakalofanyika kesho kutwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Timu hiyo imewasili leo saa saba na nusu mchana kwa ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATC), huku ikiwa imeongozana na baadhi ya viongozi wake.
Mara baada ya kuwasili timu hiyo ilipokelewa na wananchi wa nchi hiyo wanaoishi hapa nchini hata hivyo viongozi wa timu hiyo hawakuwa tayari...

 

2 years ago

Michuzi

YANGA MWENDO MDUNDO KIMATAIFA, YATOKA SARE YA BAO 1-1 NA NGAYA FC YA COMORO LEO

Kikosi cha timu ya Yanga kilichocheza na Ng'aya Fc uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jioni ya leo na Mchezo huo kumalizika kwa droo ya kufungana bao 1-1.Kikosi cha Timu ya Ng'aya Fc ya Comoro kikiwa katika picha ya pamoja katika mchezo wao dhidi ya Yanga, mchezo uliomalizika jioni hii katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kipa wa Ng'aya Fc ya Comoro, Said Mmad akidaka mpira mbele ya mabeki wake na washambuliaji wa Yanga. Mshambuliaji wa Ng'aya Fc, Said Hachim akiwania mpira...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani