Mabondia wa JKT washinda Kombe la Meya Mwita , mwenyewe atoa neno kwa wananchi wa jiji la Dar

MASHINDANO ya ngumi kombe la Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam , Isaya Mwita yamemalizika jana huku mabingwa watetezi ambao ni mabondia wa JKT waliibuka kidedea na hivyo kuchukua kombe kwa mara ya pili mfululizo.
Mpambano huyo wa aina yake ulimalizika jana katika uwanja wa ndani wa Taifa ambapo Meya Mwita alikabizi zawadi kwa mshindi wa kwanza ambayo ni Makao makuu ya JKT, iliyopata pointi 10.Mshindi wa pili katika mashindano hayo ni timu ya mkoa wa Dar es Salaam ( mzizima) chini ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Michuzi

Meya Mwita aungana na wananchi jiji la Dar es Salaam kupima magonjwa ya Kisukari,Presha.

MSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita leo ameungana na wakazi wa jijini hapa katika kongamano la  kupima Magonjwa ya Kisukari na Presha lililoandaliwa na Lions Clubs International kwa kushirikiana na Kituo cha Afya cha Irania  kilichopo jijini hapa.
Katika kongamano hilo Meya Mwita amewapongeza waandaaji  na kuwaeleza kuwa wasiishie hapo hivyo wafikishe huduma hiyo kwenye halmashauri nyingine za jiji la Dar es Salaam ili wananchi wote waweze kupata huduma hiyo.

Meya Mwita...

 

1 year ago

Michuzi

MEYA WA DAR ES SALAAM ISAYA MWITA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MEYA WA JIJI LA HIN’AN NCHINI CHINA,ZHU HUAN DAR ES SALAAM

NA CHRISTINA MWAGALA, OFISI YA MEYA WA JIJIMSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita leo amekutana na kufanya mazungunzo na Meya wa Jiji la Xin’an Nchni China Zhu Huan ofisini kwake Karimjeee.Katika mazungumzo hayo , Meya Mwita na mgeni wake wamejadili mambo mbalimbali ikiwemo namna ya kukuza na kutangaza utalii wa ndani na nje ya Dar es Salaam.Aidha Meya Mwita amesema jiji la Dar es Salaam lina kila aina ya vivutio vya utalii wa ndani na nje ambavyo vinaweza kuwavutia wageni...

 

2 years ago

Michuzi

Meya wa Jiji la DSM Mwita awataka wananchi kuwa wamoja bila kujali itikadi ya vyama vyao.

NA CHRISTINA MWAGALA ,OFISI YA MEYA WA JIJI

MSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amesema watanzania hawajafikia hatua ya kubaguana kwa kiitikadi ya vyama, Dini, Kabila badala yake wote wanapaswa kutangaza hali ya Umoja, Upendo na Mshikamano katika nchi yao.

Meya Mwita alitoa kauli hiyo jijini hapa jana, wakati wa harambee ya uchangiaji wa ujenzi wa Kanisa la kisasa la Tanzania Assemblies Of God (TAG) lililopo Kivule ,Halmashauri ya Manispaa ya Ilala jijini hapa ambapo...

 

1 year ago

Michuzi

Meya wa jiji la Dar Mwita ahudhuria mkutano wa kujadili utawala bora Nchini Marekani

MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita leo ameondoka jijini hapa kuelekea Chicago Nchini Marekani kuhudhuria mkutano wa Mameya kutoka sehemu mbalimbali duniani utakaofanyika Desemba 4 hadi 7 mwaka huu.
Mkutano huo unatarajiwa kuhusisha Mameya 182 kutoka sehemu mbalimbali Dunia ambapo pamoja na mambo mengine watajadili suala la utawala bora pamoja na utumishi wa viongozi kwa wananchi.
Aidha katika mkutano huo pia wataangalia na kujadili changamoto za majiji makubwa hususani katika...

 

2 years ago

Michuzi

MSTAHIKI MEYA WA JIJI ISAYA MWITA NA MEYA WA KINONDONI BENJAMINI SITTA WATEMBELA BANDA LA NHC

 Meya wa Jiji la Dares Salaam ,Isaya Mwita akiwasili katika banda la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Katika maonyesho ya 41 ya Sabsaba Meneja Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Joseph Haule akitoa maelezo kwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam na Manispaa ya Kinondoni ,Benjamini Sitta.
Meya wa  Manispaa ya Kinondoni ,Benjamini Sitta. akisaini kitabu cha Wageni kwenye banda la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).

 

1 year ago

Michuzi

MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA DAR ISAYA MWITA AKUTANA NA TAASISI INAYOSHUGHULIKIA MASUALA YA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI DUNIANI

  Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akizungumza na waandishi wa habari leo mara baada ya kufanya mazungumzo na ugeni kutoka Taasisi inayoshughulikia masuala ya mabadiliko ya Tabia ya Nchini Dunia (C40 CITIES) ofisi kwake Karimjee,wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa C40 CITIES Kanda ya Afrika Hastings Chikoko, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa C40 CITIES kanda zote dunia kutoka Jijini London Simon Hansen. Mkurugenzi Mkuu wa C40 CITIES kanda zote dunia kutoka Jijini London Simon...

 

1 year ago

Michuzi

TAARIFA YA MEYA WA JIJI LA DAR ISAYA MWITA AKIKANUSHA KUHUSU KUDAIWA KUTAKA KUHAMA CHAMA CHA CHADEMA

Ndugu waandishi wa habari: Nimeshikwa na mshtuko, simanzi baada ya kusambaa kwa  taarifa ambazo naweza kusema kuwa ni za uzushi kwamba  ninampango wa kujiondoa ndani ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema. naomba taarifa hizo zipuuzwe manahazina ukweli wowote na kwamba zinampango wa kunichafua mimi pamoja na Chama Changu.

Ndugu wandishi wa habari : Napenda ieleweke kuwa  sijawahi kudhani wala kufikiria kuhama Chadema na kwenda kwenye chama chochote kile cha siasa. Chadema ni...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani