MABULA: SERIKALI YA AWAMU YA TANO IMEDHAMILIA KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI NCHINI

Na Ofisa habari Mufindi.

Naibu Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi Mh. Angelina Mabula, amesema serikali ya awamu ya tano imedhamilia kwa dhati kupunguza kwa asilimia kubwa kama si kuondosha kabisa kero ya migogoro ya ardhi nchini ili kuondokana malumbano yanayozikabili jamii nyingi hapa nchini.

Mh. Mabula ameyasema hayo mjini Mafinga wakati wa ziara ya kikazi aliyofanya Wilayani Mufindi akiwa na lengo la kukagua masuala mbalimbali yaliyo chini ya wizara yake sanjari na kusikiliza kero za wananchi zinazohusiana na migogoro ya ardhi.
Amesema kwa muda mrefu jamii nyingi hapa nchini zimekuwa katika migogoro ya kugombea ardhi, jambo ambalo linachochea mafarakano miongoni mwa wananchi hivyo serikali ya awamu ya tano imejidhatiti kuhakikisha inapunguza au kuondosha kabisa migogoro iliyopo na akatoa rai kwa wakurugenzi wa halmshauri kuhakikisha wanasimamia vema masuala ya ardhi ili kuzuia kuibuka kwa migogoro mipya.

Aidha, amemtaka Mkurugenzi mtendaji wa Mji wa Mafinga kuhakikisha anarasimisha makazi ya wakazi wa kata ya Kinyanambo iliyopo mjini Mafinga kwa kuhakikisha kuwa makazi yao yanapimwa na wanapatiwa hati ili wamiliki maeneo yao kisheria jambo ambalo litawafanya waishi kwa kujiamini katika maeneo yao lakini pia waweze kuzitumia hati hizo kama dhamana katika taasisi za kifedha.Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula akiongea na wananchi katika ukumbi wa CCM mjini Mafinga kabla hajaanza kusikiliza kero zao.Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula akikagua mfumo wa kielektroniki wa wamiliki wa ardhi alipotembelea ofisi za ardhi Wilayani Mufindi.Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula akiwa ameongozana na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Jamhuri William mara baada ya kukagua mfumo unaohifadhi takwimu za wamiliki wa ardhi Wilayani Mufindi.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 months ago

Michuzi

SERIKALI YA AWAMU YA TANO IMEZAMILIA KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI NCHINI - MABULA

Na Ofisa habari Mufindi

Naibu Waziri  Wizara ya Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula amesema serikali ya awamu ya tano imedhamilia kwa dhati kupunguza kwa asilimia kubwa kama si kuondosha kabisa kero ya migogoro ya ardhi nchini ili kuondokana na malumbano yanayozikabiri jamii nyingi hapa nchini.

Mh. Mabula ameyasema hayo mjini Mafinga wakati wa ziara ya kikazi aliyofanya wilayuani humo akiwa na lengo la kukagua  masuala mbalimbali yaliyo chini ya wizara yake sanjari na...

 

8 months ago

Michuzi

WAZIRI LUKUVI: SERIKALI TUMEDHAMIRIA KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI

Na Sheila Simba- MAELEZO


Waziri wa Aridhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema kuwa Serikali imeanza kazi ya kupima ardhi  nchi nzima kuanzia mkoani Morogoro.
Akizungumza  katika kipindi kipya cha "TUNATEKELEZA" kinachoandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO na TBC1 ,alisema utekelezaji wa zoezi hilo umeanzia mkoani humo ili kupima maeneo ya wakulima na wafugaji na kutatua migogoro ya ardhi Mkoani humo.
“Serikali tumedhamiria kumaliza migogoro ya ardhi, kutimiza ndoto ya Rais...

 

4 months ago

Michuzi

SERIKALI MKOANI SIMIYU IMEDHAMIRIA KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI

Na Stella Kalinga, SimiyuSerikali  Mkoani  Simiyu imedhamiria kwa mwaka 2017 kutatua na kuondoa migogoro yote  ya  ardhi ambayo imekuwa ikijitokeza mara kwa mara kwa wananchi wa mkoa huo.
Akitoa ufafanuzi wa namna ya  kutatua kero hiyo wakati wa mkutano wake na wananchi wa jimbo la  Meatu ,Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka alisema kuwa amechoshwa kusikia na kuona migogoro ya ardhi  inayojitokeza ndani ya mkoa wake, hivyo mwaka 2017 ndio utakuwa mwisho wa kero hizo.
Mtaka amesema kuwa kamwe...

 

8 months ago

Dewji Blog

Waziri Lukuvi aeleza jinsi serikali imevyojipanga kumaliza migogoro ya ardhi

Waziri wa Aridhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema kuwa Serikali imeanza kazi ya kupima ardhi nchi nzima kuanzia mkoani Morogoro.

Akizungumza katika kipindi kipya cha “TUNATEKELEZA” kinachoandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO na TBC1 ,alisema utekelezaji wa zoezi hilo umeanzia mkoani humo ili kupima maeneo ya wakulima na wafugaji na kutatua migogoro ya ardhi Mkoani humo.

“Serikali tumedhamiria kumaliza migogoro ya ardhi, kutimiza ndoto ya Rais Magufuli ya kuondokana na...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI LUKUVI AWAONYA MADALALI WA ARDHI, AFANYA ZIARA KIBAHA ADHAMIRIA KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliam Lukuvi akikagua mafaili ya hati za ardhi za wananchi yanayodaiwa kukaa kwenye shelvu kwa zaidi ya miaka mitatu pasipo kufikishwa kwa wahusika. Anayempa maelezo ni Afisa Ardhi Mteule, Majaliwa Jaffari.  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliam Lukuvi akikagua mafaili ya hati za ardhi za wananchi yanayodaiwa kukaa kwenye shelvu kwa zaidi ya miaka mitatu pasipo kufikishwa kwa wahusika. Anayempa maelezo ni Afisa Ardhi Mteule,...

 

6 months ago

Ippmedia

Makamu wa Rais amesema serikali ya awamu ya tano imejidhatiti kuboresha huduma ya afya nchini.

Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mama Samia Suluhu Hassan amesema serikali ya awamu ya tano imejizatiti kuweka mifumo thabiti ya utoaji wa huduma bora za afya kwa wananchi wake ili waweze kushiriki kikamilifu katika mipango ya maendeleo ikiwemo ule wa kulifanya taifa kuwa la uchumi wa kati unaotegemea mapinduzi ya kilimo na viwanda ifikapo 2020.

Day n Time: Jumatatu Saa 2:00 Usiku Station: ITV

 

11 months ago

Dewji Blog

Mratibu Mkazi wa UN nchini aunga mkono kasi ya utendaji kazi kwa serikali ya awamu ya tano

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo(UNDP) Alvaro Rodriguez amesema anaunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya tano katika kupambana na rushwa,kuongeza uwajibikaji na ukusanyaji wa mapato .

Akizungumza katika semina ya fupi wabunge kuhusu Malengo 17 ya Maendeleo Endelevu ya Dunia (SDGs) kwa mwaka 2015 -2030 alisema, hakuna nchi ambayo inaendelea bila kufanya kazi hivyo shirika hilo linategemea kasi iliyoanza nayo Serikali ya awamu ya tano...

 

12 months ago

Mwananchi

Sera mpya kumaliza migogoro ya ardhi

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza kupitia upya sera ya ardhi ya mwaka 1995 ikiwa ni mikakati ya kupambana na migogoro ya wakulima na wafugaji nchini.    

 

5 months ago

Ippmedia

Waziri Mh. Lukuvi atoa mwezi mmoja kwa viongozi wa serikali kutatua migogoro ya ardhi nchini.

Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi Mh. William Lukuvi ametoa muda wa mwezi mmoja kwa viongozi wa serikali kuanzia ngazi ya kijiji hadi mkoa wawe wametataua migogogo ya ardhi katika maeneo yao kutokana na wao kuhusika katika ugawaji na upangaji wa maeneo uliozua migogoro.

Day n Time: Jumanne Saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani