Mabunge Duniani yanawajibu wa kulinda na kutetea haki za Binadamu: Kashililah

Katibu wa Bunge Dkt. Thomas kashililah akisisitiza jambo wakati alipokutana na ujumbe kutoka taasisi inayojishughulisha na masuala ya kibunge ya Parliamentarians for Global Action Ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana. Ujumbe huo upo kwenye ziara yao ya kikazi kutembelea kila Bunge Duniani na kueleza malengo na mipango yao hususani kuangalia namna wanavyoweza kushirikiana na wabunge kutatua baadhi ya masuala yahusuyo haki za Binadamu. Kulia ni Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge Ndg. John...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Channelten

Shirika la kutetea Haki za Binadamu.

 

Meghan Rhoad, women's rights researcher at Human Rights Watch speaks during a press conference on Parliament Hill in Ottawa on Feb. 13, 2013. The press conference was regarding the release of her report titled "Those Who Take Us Away: Abusive Policing and Failures in Protection of Indigenous Women and Girls in Northern British Columbia, Canada." THE CANADIAN PRESS/Sean Kilpatrick ORG XMIT: OTTK107

Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kikosi maalumu cha polisi kinachohusika na kuzuia uhalifu katika Jamhuri ya Afrika ya kati kilikiuka sheria na kuwaua watu 18 katika kipindi cha miezi 15 iliyopita.

Shirika hilo limesema pia lina taarifa za kutosha kuhusiana na vitendo vingine vya mauaji vilivyofanywa nchini humo ikiwa ni pamoja na tukio la kuuawa kwa kupigwa risasi mvulana mwenye umri wa miaka 14 akituhumiwa kwa wizi.

Tayari mkuu wa idara ya polisi...

 

5 years ago

Tanzania Daima

THRDC na harakati za kutetea watetezi wa haki za binadamu

MTETEZI wa haki za binadamu ni mtu yeyote ambaye amejitolea kupinga dhuluma na uonevu dhidi ya binadamu. Kuwa mtetezi wa haki za binadamu hakuhitaji kuwa na shahada wala stashahada kama...

 

3 years ago

BBCSwahili

Burundi yazima makundi ya kutetea haki za binadamu

Burundi imepiga marufuku makundi 10 ya kutetea haki za binadamu

 

4 years ago

Habarileo

Kikwete atuzwa kulinda, kutetea watoto duniani

RAIS Jakaya Kikwete, ametunukiwa tuzo na Taasisi inayosambaza chanjo za watoto duniani ya Global Alliance for Vaccines and Immunization (GAVI) kwa uongozi wake katika kutetea na kulinda maisha na hadhi ya watoto duniani.

 

2 years ago

Dewji Blog

Mama Samia:”Tanzania imepiga hatua kubwa kulinda na kutetea haki za binadamu”

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Tanzania imepiga hatua kubwa katika kulinda na kutetea haki za binadamu kwa kuzingatia maazimio mbalimbali ya ndani ya nchi na ya kimataifa ikiwemo haki ya kuishi.

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa kauli hiyo jijini Arusha kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli wakati anafungua mkutano wa mazungumzo wa masuala ya demokrasia na haki za binadamu ya Mahakama ya...

 

3 years ago

Channelten

Kansela Merkel akutana na Mwanasheria wa kutetea haki za binadamu Beijing

Merkel-679589

Kansela wa Ujerumani  Angela Merkel, ambaye amemaliza ziara ya nchini China ,amekutana  na wanasheria  wa kutetea haki  za  binadamu pamoja na  wawakilishi wa asasi  za  kiraia  katika  mji mkuu  wa nchi hiyo, Beijing.

Kwa mujibu  wa  taarifa  wanasheria  wa kutetea  haki  za  binadamu zaidi ya 300  na wanaharakati  wengine , wametiwa  ndani nchini  China  katika  kipindi  cha mwaka mmoja  uliopita.

Katika  ziara  yake  ya  siku  tatu Kansela Merkel  pia  alikutana   na  viongozi  wa China ...

 

4 years ago

Michuzi

MTANDAO WA KUTETEA HAKI ZA BINADAMU WAHAMASISHA AMANI KABLA YA UCHAGUZI MKUU


Waandishi wa habari hapa Nchini wametakiwa kuwaelimisha jamii juu ya umuhimu wa amani katika nchi ya Tanzania tunapoelekea uchaguzi mkuu kwa kuandika na kutangaza amani hali itakayosaidia uchaguzi kufanyika kwa amani
Akizungumza katika mkutano wa siku mbili wa kujadili masuala ya ulinzi na usalama kuelekea uchaguzi mkuu,uliofanyika jijini Arusha mwisho mwa wiki, ulioandaliwa na mtandao wa utetezi wa haki za binadamu. Mkuu wa Wilaya ya Arumeru mkoa Arusha Husna Mwilima alisema kuwa...

 

3 years ago

Dewji Blog

Mwanasheria wa kutetea Haki za Binadamu ahukumiwa kifungo cha miaka 12, China

Mahakama moja mjini Beijing Nchini China imemhukumu kifungo cha miaka 12 mwanasheria maarufu wa kutetea haki za binadamu nchini humo Xia Lin (22) kwa kosa la udanganyifu na ufisadi

Xia Lin alitiwa nguvuni na dola mapema mwaka 2014 na taarifa kutoka nchini humo zimeeleza kuwa mwanasheria huyo ni kati ya wanasheria na wanaharakati wachache wa haki za binadamu ambao wamehukumiwa na kufungwa kutokana na makosa mbalimbali wakiwa chini ya Rais Xi Jinping.

Wakati wa kutolewa hukumu hiyo, mahakama...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Naibu Waziri Masauni: Jamii iiunge mkono ZLSC kutetea haki za binadamu

Jamii imetakiwa kubuni mbinu za kukabiliana na vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu kwa lengo l kuvitokemeza kabisa nchini. Akizungumza katika madhimisho ya haki za binadamu nchini katika ukumbi wa kituo cha huduma na sheria  (ZLSC) Kijangwani Naibu Waziri wa mambo ya ndani Hamad Masauni Yusuf amesema kuwa katika kupunguza ukiukwaji wa haki za binadamu amewataka wananchi kushirikiana kusimamia haki zao kwa pamoja na kupunguza muhali unaopelekea kuongezeka kwa vitendo hivyo kila...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani