Machafuko ndani ya ZANU PF Zimbabwe, Jeshi laonya,lasema liko tayari kuingilia kati yasipokomeshwa

chiwenga-mujuruSD

Jeshi la Zimbabwe limeonya kuwa liko tayari kuingilia kati mtifuano wa wenyewe kwa wenyewe unaoendelea ndani ya chama tawala cha Zimbabwe African National Union-Patriotic FrontZANU PF kinachoongozwa na Rais Robert Mugabe,kufuatia hatua ya kumfuta kazi makamu wa Rais wa nchi hiyo Emmerson Munangagwa,wiki iliyopita.

Katika taarifa zake nadra mkuu wa majeshi wa nchi hiyo,Constantino Chiwenga,ametoa wito wa kukomeshwa mara moja mzozo ndani ya chama unaolenga kuwaondoa wanachama wa ZANU...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Jeshi laonya kuhusu mgogoro ndani ya Zanu-PF Zimbabwe

Kamanda mkuu wa jeshi la Zimbabwe ameonya kuingilia kati iwapo pande pinzani zitaendelea kuzozana ndani ya chama tawala cha Zanu-PF.

 

1 year ago

BBCSwahili

Maandamano Islamabad : Jeshi la Pakistan lasema liko tayari kusaidia

Jeshi lasema litaisaidia serikali kurudisha utulivu Islamabad baada ya kuzuka vurugu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Nigeria:Jeshi lasema liko ngangari

Jeshi la Nigeria limesema kuwa litaendelea na harakati zake dhidi ya kundi la Boko Haram licha ya kundi hilo kuwaua wanajeshi na raia mwishoni mwa wiki

 

2 years ago

BBCSwahili

Trump: Jeshi la Marekani liko tayari kuikali Korea Kaskazini

Korea Kaskazini ilitangaza majuzi kwamba inakamilisha kuandaa mpango wake wa kurusha makombora karibu na kisiwa cha Marekani cha Guam.

 

3 years ago

Channelten

Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania limesema liko tayari muda wowote kukabiliana na majanga ya aina mbalimbali

askari-wa-jeshi-la-ulinzi-la-wananchi-wa-tanzania-jwtz-wakiwa-katika-mazoezi

Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania limesema liko tayari muda wowote na wakati wowote kukabiliana na majanga ya aina mbalimbali ya kivita yatakayotokea nchini kama vile ugaidi kutokana uimara madhubuti uliojengeka kwa jeshi hilo.

Hayo yamesemwa na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania Luteni Venance Mabeyo wakati wa Ufunguzi wa zoezi la kivita kwa ajili ya  maadalizi ya kuhitimisha kusherehekea  maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ tangu kuanzishwa kwake siku ya  tarehe 01 septemba mwaka...

 

3 years ago

Ippmedia

JWTZ lasema liko imara katika kulinda mipaka ya nchi.

Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ limewahakikishia watanzania kuwa liko imara katika kulinda mipaka ya nchi huku likisema pia kwa sasa limekwisha kujiimarisha kimfumo na kivifaa ili kuhakikisha wananchi wake wanakuwa salama nyakati zote.

Day n Time: IJUMAA SAA 2: 00 USIKUStation: ITV

 

4 years ago

BBCSwahili

Zimbabwe:ZANU-PF chamtimua Bi Mujuru

Aliyekuwa makamu wa rais nchini Zimbabwe Joice Mujuru amefukuzwa katika chama tawala ZANU-PF.

 

4 years ago

StarTV

Zimbabwe:ZANU-PF yamtimua Bi Mujuru

Aliyekuwa makamu wa rais nchini Zimbabwe Joice Mujuru amefukuzwa katika chama tawala ZANU-PF.

Chama hicho kinasema alipanga njama za kumuondoa mamlakani rais Robert Mugabe mbali na kukiharibia jina chama hicho- madai ambayo ameyakana hapo mbeleni .

Bi Mujuru alipigana vita vya Guerilla pamoja na Mugabe miaka ya sabini dhidi ya uongozi wa weupe na alionekana kama mrithi wake,kabla ya kukosana naye mwaka uliopita swala lililomfanya kufutwa kazi kama makamu wa rais mnamo mwezi...

 

3 years ago

Channelten

WAKULIMA wa tumbaku mkoani Iringa wamemuomba Rais Magufuli kuingilia kati kutatua mgogoro kati yao na makampuni

kilimo-cha-tumbaku

WAKULIMA wa tumbaku mkoani Iringa wamemuomba Rais John Magufuli kuingilia kati kutatua mgogoro kati yao na makampuni ambayo wanadai awali yalifanya makubaliano ya kununua tumbaku kutoka kwa wakulima kwa msimu wa kilimo wa 2016/17 lakini baadaye yakavunja makubaliano hayo.

Wakulima hao kutoka vyama vya msingi vya ushirika kutoka wilaya ya Iringa wametoa kilio hicho kupitia walaka ambao wamemkabidhi mkuu wa wilaya ya Iringa Bw Richard Kasesela ambapo wamesema ktk msimu huu wa kilimo wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani