Macron atua Mali, aapa kuwamaliza magaidi

Rais Emmanuel Macron amefanya ziara ya kwanza katika bara la Afrika kwa kuitembelea Mali ambako amesema Ufaransa haitarudi nyuma katika vita dhidi ya magaidi na wapiganaji wengine wa kijihadi katika nchi hiyo na eneo la Sahel.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Erdogan aapa kukabili vikali magaidi

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ameapa kwamba atawakabili vikali magaidi baada ya shambulio la kigaidi kuua watu zaidi ya 36 mjini Ankara.

 

2 years ago

Mtanzania

WANANCHI WAGAWANA MALI ZA MAGAIDI MWANZA

Ahmed Msangi

Ahmed Msangi

NA BENJAMIN MASESE,

SIKU  moja baada ya  polisi kunasa  silaha nzito za vita, mabomu yaa kurusha kwa mkono  ndani ya nyumba  moja iliyopa Bukaga Kata Kishili, wananchi wa eneo hilo wamevamia makazi hayo na  kugawana vitu vyote vilivyokuwamo na kuichoma moto.

Mwishoni  mwa wiki,  polisi wakiongozwa na Kamanda wa Mkoa huo, Ahmed Msangi, walivamia nyumba hiyo na kuwakamata watu 17 wakiwamo watoto 11 wanaodaiwa kufundishwa mafunzo ya gaidi.

Vilevile ilikamatwa bundi ya  AK 47,...

 

1 year ago

BBC

Macron visits French troops in Mali on second official trip

French soldiers have been fighting Islamic militants in northern Mali for more than four years.

 

12 months ago

BBC

Hostages shown in al-Qaeda Mali video as Macron flies in

The video is released as French President Emmanuel Macron visits to support anti-militant efforts.

 

3 weeks ago

BBCSwahili

GNB: Mhamiaji wa Mali akutana na rais Emmanuel Macron

Mhamiaji wa Mali,Mamoudou Gassama akutana na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron baada ya video yake kusambaa mitandaoni ikimuonyesha jinsi alivyomuokoa mtoto.

 

2 years ago

Bongo5

Kim Kardashian aapa kutoonesha tena mali zake kwenye mitandao ya kijamii

Kim Kardashian ameapa kutoonesha tena mali zake kwenye mitandao ya kijamii.

KIM KARDASHIAN Promotes Her Belle Noel Jewelry Collection

Hiyo ni baada ya watu wengi kudai kuwa ndio chanzo cha kuvamiwa Jumatatu hii jijini Paris na kuporwa mali zenye thamani za dola milioni 11 kwa mtutu wa bunduki.

Vyanzo vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa Kim amekubali ni kweli alikuwa amezidisha kuringishia mali zake kwenye mitandao hiyo. Muda mfupi kabla ya kuvamiwa, Kim aliionesha pete ya $4.5m aliyonunuliwa na mume wake Kanye West. Pete hiyo ilikuwa miongoni mwa vitu...

 

2 years ago

Global Publishers

Mtitu afunguka maprodyuza kuwamaliza warembo

MTITU42Stori:  BONIPHACE NGUMIJE

PRODYUZA na muigizaji wa sinema Bongo, William Mtitu amefunguka kuwa maprodyuza wengi wamekuwa wakipewa lawama za kutembea na waigizaji wa kike kutokana na wao wenyewe kujirahisisha.

Akizungumza na mwanahabari wetu ofisini kwake Magomeni jijini Dar, Mtitu alisema endapo warembo wenyewe wakijitambua, hakutakuwa na malalamiko hayo kila kukicha.

“Wanajirahisisha wenyewe halafu baadaye wanalalamika katika vyombo vya habari, binafsi huwa nawapuuza hata wakijirahisisha...

 

2 years ago

Bongo Movies

Mtitu Afunguka Maprodyuza Kuwamaliza Warembo

PRODYUZA na muigizaji wa sinema Bongo, William Mtitu amefunguka kuwa maprodyuza wengi wamekuwa wakipewa lawama za kutembea na waigizaji wa kike kutokana na wao wenyewe kujirahisisha.

mtitu

William Mtitu

Akizungumza na mwanahabari wetu ofisini kwake Magomeni jijini Dar, Mtitu alisema endapo warembo wenyewe wakijitambua, hakutakuwa na malalamiko hayo kila kukicha.

“Wanajirahisisha wenyewe halafu baadaye wanalalamika katika vyombo vya habari, binafsi huwa nawapuuza hata wakijirahisisha lakini kwa...

 

3 years ago

Vijimambo

Zitto: Bilioni 8.5/- zimetengwa kuwamaliza wajumbe wa PAC.

Zinawalenga Filikunjombe, Lugora, Kigwangala, Aeleza mbinu zilivyoanza kusukwa bungeni, Kisa ni kushikia bango mabilioni ya Escrow.Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe
Takribani miezi mitatu na ushei tangu sakata la uchotwaji wa fedha zaidi ya Sh. bilioni 200 katika akaunti ya Tegeta Escrow kutikisa nchi huku mawaziri wawili na mwanasheria mkuu wa serikali wakiondoka madarakani na katibu mkuu mmoja akichunguzwa, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani