Madai ya Utekwaji wa watu, Serikali yaomba wananchi kuipa muda kufanya uchunguzi

Screen Shot 2017-04-20 at 7.15.21 PM

Serikali imewaomba wananchi kuipa muda wa kufanya uchunguzi wa madai ya matukio ya utekwaji wa watu, na kuahidi kutoa taarifa kwa umma pindi uchunguzi huo utakapokamilika.

Ombi hilo la serikali limetolewa bungeni mjini Dodoma na Waziri Mkuu Bw. Kassim Majaliwa wakati alipokuwa akijibu maswali ya papo kwa hapo kutoka kwa kiongozi wa upinzani bungeni Bw. Freeman Mbowe, ambaye alitaka kujua kauli ya serikali juu ya hofu iliyojitokeza miongoni mwa wananchi, kuhusiana na watu kutekwa.

Aidha,...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

4 months ago

BBCSwahili

Serikali ya Nigeria yaomba radhi utekwaji wasichana

Kumekuwa na ongezeko la hali ya hasira kwa wazazi wa wasichana wanaodaiwa kutekwa na kundi la wapiganaji wa Boko Haram

 

2 years ago

Bongo5

Video: Serikali yaomba muda wa kutoa taarifa ya mauaji yanayoendelea nchini

Baada ya mauaji ya Watanzania kwa njia ya kuchinjwa kuendelea kushika kasi nchini, serikali imeomba muda wa kutoa taarifa rasmi kuhusu mauwaji hayo.
Jenister-Mhagama-620x308

Hatua hiyo imekuja baada ya hivi karibuni wakazi wanane wa kitongoji cha Kibatini, kata ya Mzizima jijini Tanga kukusanywa kwa mwenyekiti wa kitongoji na kisha kuuawa kwa kuchinjwa shingo na watu wasiojulikana.

Akitoa taarifa bungeni, Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na watu wenye ulemavu, Jenista Mhagama, amesema tayari...

 

2 years ago

Ippmedia

Serikali kufanya uchunguzi wa kauli ya askari wanyamapori

Serikali imeagiza uchunguzi kufanyika dhidi ya kauli isiyofaa ya askari wanyamapori dhidi ya uhai wa wananchi wa kijiji cha Likuyumandela kuwa uhai wa Tembo ni bora kuliko uhai wa wananchi hao baada ya mwananchi mmoja kuuawa na Tembo.

Day n Time: Jumapili saa 2:00 usikuStation: ITV

 

1 year ago

Bongo5

Bashe awasha moto bungeni sakata la utekwaji watu

Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe amesema hawezi kulifumbia mambo jambo la watu kutekwa na watu wasiojulikana.

Bashe ameyaanisha hayo Jumatatu hii na kusema kuwa na yeye ni mmoja wa watu wa waliotumiwa ujumbe wa vitisho ambao ulisema atafanyiwa vitendo vibaya popote alipo.

“Bunge na Serikali haiwezi kulifumbia macho jambo hili la haramu wakati Watanzania wanatekwa na watu wasiojulikana. Kuna watu wamenitumia ujumbe kwamba mimi ni kati ya watu 11 waliopo hatarini kufanyiwa vitu vibaya...

 

1 year ago

Channelten

Viwanda vilivyofungwa vifufuliwe, Serikali Mkoa wa Tabora yaagizwa kufanya uchunguzi

CCM TABORA

Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi mkoa wa Tabora HASSAN WAKASUVI, ameiagiza serikali ya mkoa kufanya uchunguzi wa kina ili kubaini namna ya kuvifufua viwanda vilivyofungwa katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Tabora kabla ya kuanzisha Viwanda vingine.

Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi mkoa wa Tabora ameyasema hayo katika hafla ya kupongeza jitihada mbalimbali zinazofanywa na Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr JOHN POMBE MAGUFULI Katika uongozi wake ambayo imefanyika katika viwanja...

 

1 year ago

Mwananchi

Bashe, Sugu wataka Bunge lijalidi utekwaji wa watu nchini

Wabunge wawili wa CCM na Chadema wametaka Bunge liahirishne shughuli zake mara moja na kutoa nafasi kwa wabunge kujadili suala la utekwaji wa raia nchini.

 

2 years ago

Michuzi

PINK RIBBON KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUFANYA UCHUNGUZI NA TIBA YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZIWaziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akiongea na Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Pink Red Ribbon toka nchini Marekani Bi.Celina Schocken,shirika hilo limeahidi kushirikiana na Tanzania kwenye masuala mazima ya saratani ya matiti na mlango wa kizazi ili kuwezesha huduma kuwa endelevu,kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa UNAIDS Dkt.Warren Naamara
Waziri Ummy Mwalimu akizungumza kwenye kikao hicho,kushoto ni mkurugenzi msaidizi wa kitengo cha afya na...

 

1 year ago

MillardAyo

BUNGENI: Ripoti ya Serikali kuhusu hali ya chakula Tanzania baada ya kufanya uchunguzi

Baada ya taarifa nyingi kuandikwa na kuzungumzwa kuhusu uhaba wa chakula Tanzania, leo January 31 2017 Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dr. Charles Tizeba alisimama bungeni Dodoma na kusoma ripoti ya matokeo ya uchunguzi wa serikali kuhusu hali hiyo, hii video hapa chini ina kila kitu

The post BUNGENI: Ripoti ya Serikali kuhusu hali ya chakula Tanzania baada ya kufanya uchunguzi appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

Bongo Movies

VIDEO:Bashe, Sugu Wataka Bunge Lijalidi Utekwaji wa Watu Nchini

Dodoma. Wabunge wawili wa CCM na Chadema wametaka Bunge liahirishne shughuli zake mara moja na kutoa nafasi kwa wabunge kujadili suala la utekwaji wa raia nchini.

Wabunge hao ni Hussein Bashe(Nzega Mjini) na Joseph Mbilinyi(Mbeya Mjini)wameomba mwongozo wa Spika kuhusu suala hilo leo asubuhi.

Bashe amesema ni muhimu suala hilo likajadiliwa kwani iko orodha ya wabunge 11 akiwemo yeye mwenyewe wameambiwa wakae chonjo.

Bashe alisimama kwa kutumia kanuni ya 47 vifungu (i,ii,iii) akamtaka...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani