Madaktari bigwa nchi za kiaarabu wamuaga waziri wa afya Zanzibar baada ya kumaliza muda wao

Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed akizungumza na Madaktari Bingwa kutoka Nchi za Kiarabu baada ya kufika ofisini kwake Mnazimmoja kwaajili ya kuagwa baada ya kumaliza muda wa kufanya kazi Nchini.

 

Meneja  kutoka MSA Ibrahim Gamaan Girmp akiutambulisha ujumbe wa Madaktari waliofika ofisi kwa Waziri wa Afya Zanzibar kwaajili ya kuagwa baada ya kumaliza muda wao wa kufanya kazi Nchini.

Meneja kutoka MSA Ibrahim Gamaan Girmp akimkabidhi zawadi Waziri wa  Afya...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

MADAKTARI KUTOKA MUNADHAMAT ALDAAWA AL-ISLAMIA WAMUAGA WAZIRI WA AFYA BAADA YA KUMALIZA KUTOA HUDUMA ZA MATIBABU KISIWANI PEMBA.

 Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akitoa shukrani kwa  madaktari bingwa walioletwa na Jumuiya ya Kiislamu  ya Munadhammat Aldaawa  kwa kushirikiana na Ubalizi wa Tanzania nchini Saudi Arabia chini ya ufadhili wa Umoja wa Vijana wa Kiislamu duniani (WAMY) baada ya kumaliza kutoa huduma za matibabu kwa muda wa siku 10 kisiwani Pemba. Mkurugenzi wa Munadhamat Aldawa Al islamia Tanzania  Dkt. Khalid Al-Awadh akimueleza Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo huduma walizotoa  kisiwani Pemba kwa...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Madaktari kutoka munadhamat aldaawa wamuaga waziri wa Afya

Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akitoa shukrani kwa   madaktari bingwa walioletwa na Jumuiya ya Kiislamu  ya Munadhammat Aldaawa  kwa kushirikiana na Ubalizi wa Tanzania nchini Saudi Arabia chini ya ufadhili wa Umoja wa Vijana wa Kiislamu duniani (WAMY) baada ya kumaliza kutoa huduma za matibabu kwa muda wa siku 10 kisiwani Pemba.Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akitoa shukrani kwa madaktari bingwa walioletwa na Jumuiya ya Kiislamu ya Munadhammat Aldaawa kwa kushirikiana na Ubalizi wa Tanzania nchini Saudi Arabia chini ya ufadhili wa Umoja wa Vijana wa Kiislamu duniani (WAMY) baada ya kumaliza kutoa huduma za matibabu kwa muda wa siku 10 kisiwani Pemba.

 

Mkurugenzi wa Munadhamat Aldawa Al islamia Tanzania  Dkt. Khalid Al-Awadh akimueleza Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo huduma walizotoa  kisiwani Pemba kwa muda wa siku 10, (katikati) Mratibu wa WAMY nchini  Saudiarabia Dkt. Ibrahim Algamaan.Mkurugenzi wa Munadhamat Aldawa Al islamia Tanzania Dkt. Khalid Al-Awadh akimueleza Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo huduma walizotoa kisiwani Pemba kwa muda...

 

3 years ago

Vijimambo

Madaktari Diaspora Wakiondoka Zanzibar baada ya Kumaliza Zoezi la Kutoa Huduma ya Saratani ya Matiti, Kisukari na Meno.

Madaktari Diaspora Washinton wakiwa katika bandari ya Zanzibar wakijiandaa kurudi nyumbani baada ya kumaliza ratiba yao Tanzania ya kutoa hudua ya Afya kwa Wananchi wa sehemu hizo mbili wakiwa Tanzania wameletwa na Jumuiya ya Watanzania Washington wakiongozana na Rais wa Jumuiya hiyo Ndg Iddi Sandaly na Mjumbe wa Kamati Bi Asha Nyanganyi. Zanzibar walikuwa wageni swa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Diaspora Zanzibar na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ).Madaktari haio wakiwa katika bandari ya...

 

8 months ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA KITUO CHA AFYA RAHALEO NA MAKAAZI YA MADAKTARI WA CHINA NA CUBA

MUUGUZI wa Kitu cha Afya Rahaleo Wanu Amour akimuonyesha kichupa cha chanjo ya watoto Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed (mwenye suti) alipofanya ziara ya kutembelea kituo hicho .
Na Ramadhani Ali – Maelezo Zanzibar.
Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed amesisitiza msimamo wake wa kufuatilia na kupambana na Wafanyakazi wakorofi  wenye tabia ya kuwatolea lugha chafu  wagonjwa wanapofika vituo vya afya kutafuta huduma.
Amesema Wafanyakazi wengi wa vituo vya afya ni wazuri na wanatekeleza wajibu...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA MADAKTARI KUTOKA( WAMY)

Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na Madaktari kutoka Jumuiya ya Vijana wa Kiislamu Duniani (WAMY) kuhusiana na Matibabu walioyafanya kisiwani Pemba katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Mjini Unguja.Kiongozi wa Madaktari kutoka Jumuiya ya Vijana wa Kiislamu Duniani(WAMY) Dk,Sultan Baghdadi akizungumza machache kuhusiana na Matibabu walioyafanya kisiwani Pemba katika mkutano na Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo uliofanyika katika ukumbi wa...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Waziri wa Afya Zanzibar akutana na Madaktari bingwa wa Mnazi mmoja

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohammed akutana na madaktari bingwa wa Hospitali ya Mnazi mmoja ili kupanga mikakati ya kuimarisha huduma Hospitalini hapo.

Daktari Bingwa wa Saratan Abrahman Khalfan Said akielezea malengo ya kikao cha Madaktari Bingwa wa Hosptal ya Rufaa ya Mnazi mmoja na uongozi wa juu wa Wizara ya Afya. Kikao hicho kilifanyika Wizara ya Afya Mnazi mmoja mjini Zanzibar.Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akizungumza na Madaktari Bingwa wa Hospital ya Rufaa ya Mnazi mmoja...

 

3 years ago

Dewji Blog

Naibu wa Waziri wa Afya Zanzibar awaandalia chakula Madaktari kutoka Hispania !

DSC_0352

Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na Madaktari wa kujitolea kutoka Hispatinia mara baada ya Chakula cha usiku alichowaandalia kwa lengo la kuwashukuru kutokana na mchango wao mkubwa wanaoutoa katika sekta ya Afya Zanzibar, hafla hiyo ilifanyika Hoteli ya Ocean View.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar

DSC_0339

Profesa Jose Pinquet kulia akitambulisha Timu ya Madaktari wanaotoa huduma za Matibabu ya Uti wa Mgongo na Ubongo katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi mmoja kwa...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Habar Picha: Waziri wa afya Zanzibar azungumza na madaktari kutoka WAMY

Kiongozi wa  Madaktari kutoka Jumuiya ya Vijana wa Kiislamu Duniani(WAMY) Dk,Sultan Baghdadi akizungumza machache kuhusiana na Matibabu walioyafanya kisiwani Pemba katika mkutano na Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo uliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Mjini Unguja.  Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na Madaktari kutoka Jumuiya ya Vijana wa Kiislamu Duniani(WAMY) kuhusiana na Matibabu walioyafanya kisiwani Pemba katika mkutano uliofanyika katika ukumbi...

 

1 year ago

CCM Blog

WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA MADAKTARI KUTOKA JUMUIYA YA VIJANA WA KIISLAMU DUNIA

 Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo kulia akimkabidhi cheti Dk,Ahmed Yasin Abukrecha ambae ni miongoni mwa madaktari kutoka Jumuiya ya Vijana wa Kiislam Duniani(WAMY)waliofanya Matibabu kisiwani Pemba katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Mjini Unguja.
 Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na Madaktari kutoka Jumuiya ya Vijana wa Kiislamu Duniani(WAMY) kuhusiana na Matibabu walioyafanya kisiwani Pemba katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani