MADAM RITA AFUNGUKA "NILIZAA KATIKA UMRI MDOGO SANA"

Mkurugenzi wa Benchmark Production, Rita Paulsen aka Madam Rita amesema yeye ni miongoni mwa wanawake waliopata ujauzito wakiwa na umri mdogo lakini alikuwa jasiri wa kukabiliana na hali hiyo hadi akafanikiwa.Kupitia Facebook, Madam Rita amewashauri wasichana wanaojikuta katika katika hali hiyo kutokata tamaa kwakuwa bado wanaweza kufanikiwa. “Jambo mmoja msilofahamu kuhusu mimi, Nilipata ujauzito nikiwa na umri mdogo sana. Kwa jamii yetu inayotuzunguka, ukizaa katika umri mdogo, watu huwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo Movies

Madam Rita Afunguka Kuhusu Bongo Star Search (BSS)

MKURUGENZI wa Benchmark Production, Rita Paulsen, ametolea ufafanuzi kuhusiana na mchakato wa kusaka waimbaji chipukizi katika shindano lake maarufu la ‘Bongo Star Search’ linalofanyika kila mwaka.

MADAM RITA12

Rita Paulsen

Kauli hiyo imekuja siku chache baada ya Rita kutambulisha kipindi chake kipya cha televisheni cha ‘Rita Paulsen Show’ kinachorushwa kila Jumapili katika runinga ya Azam two.

“Rita Paulsen Show ni kitu ambacho kimekuwa katika mawazo yangu zaidi ya miaka saba nyuma, kwa hiyo ni cha siku...

 

4 years ago

Bongo5

Madam Rita kuja na kipindi cha TV ‘Rita Paulsen Show’

Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark Productions aliyejipatia umaarufu kwa kuanzisha mashindano ya Bongo Star Search, Rita Paulsen anatarajia kuja na kipindi chake cha runinga. Kipindi hicho kinaitwa ‘Rita Paulsen Show’. Rita ameshare habari hiyo njema kwenye akaunti yake ya Instagram na kwenye picha kuandika: The biggest revenge in this world is success#hard work.” Hadi sasa bado […]

 

4 years ago

Mwananchi

Kuzaa katika umri mdogo hakukunifanya nikate tamaa

Unapotaja orodha ya wanawake maarufu hapa nchini huwezi kulikosa jina la Rita Paulsen. Mama huyu anayefahamika zaidi kama Madam Rita ni miongoni mwa wanawake wenye mchango mkubwa katika maendeleo ya vijana.

 

3 years ago

Bongo5

Rashford aweka rekodi ya kuwa Mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufunga katika mechi yake ya Kwanza katika Timu ya Taifa ya England

Mchezaji wa klabu ya Man United Marcus Rashford ameweka rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufunga katika mechi yake ya Kwanza katika Timu ya Taifa ya England (Ana Miaka 18 na Siku 208).

article-3613345-34B433EB00000578-611_964x386

34B3C23900000578-3613345-image-a-8_1464377373392

Rashford alifunga goli katika dakika 3′ baadaye katika dakika 55 Rooney alifunga goli la pili na mechi hiyo ya kilafiki iliyo chezwa usiku wa May 27 iliisha kwa England 2 – 1 Australia.

34B3B2C000000578-3613345-image-a-2_1464377175294

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata...

 

2 years ago

Habarileo

Madam Rita wa BSS kufilisiwa

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kushirikiana na Kampuni ya Udalali ya Yono, wameifungia Kampuni ya Benchmark Productions na kuipa muda wa siku 14, iwe imelipa deni la kodi ya Sh bilioni 7.04, vinginevyo mali za kampuni hiyo zitauzwa kwa mnada.

 

4 years ago

GPL

MADAM RITA AWAPIGA CHINI WANASIASA

Jaji Mkuu wa Shindano la Bongo Star Search 2015 (BSS) Rita Paulsen ‘Madam Rita’ . Na Hamida hassan Jaji Mkuu wa Shindano la Bongo Star Search 2015 (BSS) linaloendelea hivi sasa, Rita Paulsen ‘Madam Rita’ amewapiga chini wanasiasa waliokuwa wakitamani awe nao na kusema kuwa yeye ni mfanyabiashara hivyo hawezi kusapoti chama chochote cha siasa. Akizungumza na Ijumaa Rita alisema kuwa kipindi hiki cha siasa amekuwa akifuatwa...

 

4 years ago

GPL

KUMBE! ZARI, MADAM RITA NI NDUGU

Musa Mateja na Gabriel Ng’osha Kumbe! Machoni pa wengi maswali yaliibuka miongoni mwa mashabiki wa mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘The Boss Lady’ baada ya kumuona akiwa ‘klozi’ na Bosi wa Bongo Stars Search (BSS), Rita Paulsen ‘Madam’ kwenye shoo ya Zari All White Party iliyofanyika juzikati kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar. Madam Rita akiwa katika pozi na Zari...

 

4 years ago

Mtanzania

Vannesa ammwagia sifa Madam Rita

Vanessa6mdmNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MWIMBAJI wa muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee, amempa sifa Mkurugenzi wa Bench Mark Production, waandaji wa kipindi cha kuibua vipaji vya muziki cha Bongo Stars Search ‘BSS’, Rita Poulsen ‘Madam Rita’, kuwa ni mwanamke anayestahili kuigwa na wanawake wengi nchini.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Vanessa alisema sifa hizo amezitoa ikiwa ni siku ya kuzaliwa kwa Rita, ambaye kwa kiasi kikubwa ameweza kuibua vipaji vingi vya wasanii wachanga.
Vanessa alisema Rita...

 

4 years ago

GPL

BSS: MADAM RITA ALIA NA BASATA

Stori: Mwandishi wetu MKURUGENZI wa Benchmark Production, Madame Rita Poulsen, amelia na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), chombo cha serikali kinachosimamia utamaduni kwa ujumla, akilielezea kuwa halina msaada wowote kwa shindano la kutafuta na kuibua vipaji vya wasanii wa muziki nchini, linalofahamika kama Bongo Stars Search (BSS). Mkurugenzi wa Benchmark Production, Madame Rita Poulsen. “Tunalipa fedha BASATA kwa ajili ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani