Madini wakabidhi leseni kwa wachimbaji wadogo

SERIKALI kupitia Wizara ya Nishati na Madini imekabidhi leseni mbili zenye namba 1268 na 1269 kwa wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika Kijiji cha Ishokelahela, wilayani Misungwi mkoani Mwanza.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

WACHIMBAJI WADOGO SHINYANGA WAPATIWA MAFUNZO KUHUSU MFUMO MPYA WA UTOAJI LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO

 Kamishna Msaidizi wa Madini, Kanda ya Kati – Magharibi, Humphrey Mmbando akitoa ufafanuzi wa baadhi ya masuala muhimu yaliyojitokeza wakati wa semina kwa wachimbaji wadogo wa madini kuhusu mfumo mpya wa huduma za utoaji wa leseni za madini kwa njia ya mtandao (Online Mining Cadastre Transactional Portal – OMCTP). Semina hiyo imefanyika leo mjini Shinyanga na ni mwendelezo wa Mafunzo yanayotolewa nchi nzima kwa wachimbaji wadogo na wamiliki wa leseni za madini nchini. Wengine pichani (mstari...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA DUNIA NA SERIKALI IKISHIRIKIANA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA WA MADINI WAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA.

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh,Stephen Masele akizungumza kwenye uzinduzi huo uliovuta hisia za wanakijiji wengi.Naibu Waziri wa Nishati na Madini akizungumza na Wananchi Mkurugenzi Mtendaji wa Geita Gold Mine,Michael Van Anen Mwakilishi Mwandamizi kutoka Benki ya Dunia ambaye pia ni mtaalamu wa madini kutoka idara ya nishati endelevu nchini Marekani,Bwa.Mamadou Barry akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi mkubwa wa uchimbaji madini kwa wachimbaji wadogo wadogo katika kijiji cha...

 

2 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA AJALI YA WACHIMBAJI WADOGO WAPATAO 18 KUFUKIWA NA KIFUSI BAADA YA SHIMO KUPOROMOKA KATIKA ENEO LENYE LESENI YA UTAFUTAJI MADINI NA. PL 7132/2011 INAYOMILIKIWA NA STAMICO

Wizara ya Nishati na Madini inapenda kuufahamisha umma kuwa, Tarehe 13 Februari, 2017 kulitokea ajali ya wachimbaji wadogo wapatao 18 kufukiwa na kifusi wakati wakichimba dhahabu katika eneo la Buhemba Wilaya ya Butiama mkoani Mara lenye leseni ya utafutaji wa madini ya dhahabu, PL No. 7132/2011 inayomilikiwa na STAMICO.  Ajali hiyo ilitokana na kuporomoka kwa mwamba wakati wachimbaji hao walipovamia eneo hilo na kuanza kuchimba dhahabu kitendo ambacho kimekuwa kikifanyika hasa wakati wa...

 

3 years ago

Michuzi

WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI PAMOJA NA WAFANYABISHARA WADOGO WATAKIWA KUSHIRIKI KATIKA MAONYESHO YA MADINI MERERANI

kamishina wa madini kanda ya kaskazini Elius Kayandabila akiwa anaongea na waandishi wa habari ofisini kwake juu ya maandalizi ya maonyesho ya madini na vito yanayotarajiwa kuanza hapo kesho ndani ya mji mdogo wa mererani
Na Woinde Shizza,ArushaWACHIMBAJI wa madini ya vito nchini wametakiwa kushiriki katika maonyesho ya wachimbaji wadogo wa madini ili kuweza kutumia fursa hiyo ya kuuza na kupanua wigo wa kupata masoko ya ndani na nje ili kuweza kukuza uchumi wao na pato la taaifa.
Hayo...

 

5 years ago

GPL

BENKI YA DUNIA YAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh,Stephen Masele akizungumza kwenye uzinduzi huo uliovuta hisia za wanakijiji wengi. Naibu Waziri wa Nishati na Madini akizungumza na Wananchi Mkurugenzi…

 

4 years ago

Michuzi

MAFUNZO KWA WACHIMBAJI WA MADINI KUHUSU MATUMIZI YA HUDUMA ZA LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO — KANDA YA ZIWA NYASA- SONGEA (7/8/2015) NA TUNDURU (9/8/2015)

Wizara ya Nishati na Madini inaendelea na mpango wake wa Mafunzo kwa Wachimbaji Madini Nchini kuhusu matumizi ya Mfumo wa Huduma za Leseni kwa njia ya Mtandao yaani Online Mining Cadastre Transactional Portal (OMCTP). Pamoja na malengo mengine, Mfumo huo umeanzishwa ili kutekeleza agizo la Serikali la kutaka Wizara na taasisi za Serikali ziwe zinapokea malipo ya Serikali kwa njia za kielektroniki. Mafunzo hayo yanatarajiwa kutolewa kwa wachimbaji wadogo nchi nzima ili kuwajengea uwezo.

 

3 years ago

Michuzi

SERIKALI KUTOA RUZUKU KWA WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI.

Wachimbaji Wadogo Wadogo

Na Daudi Manongi-MAELEZO-Dar es Salaam
Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imepanga kuwapatia ruzuku wachimbaji wadogo wa madini ili kuongeza mchango wa madini katika pato la taifa kutoka asilimia 3.5 ya sasa hadi 10.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo wakati wa mahojiano ya kipindi maalum cha Tunatekeleza kinachorushwa na kituo cha Televisheni ya Taifa(TBC).
“Sekta ya Madini inachangia asilimia 3.5 ya pato la Taifa,lakini...

 

2 years ago

Michuzi

TAARIFA RUZUKU KWA WACHIMBAJI MADINI WADOGO AWAMU YA TATU

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA NISHATI NA MADINI UTOAJI RUZUKU AWAMU YA TATU KWA WACHIMBAJI MADINI WADOGO, TAREHE 17 JANUARI 2017, MPANDA.
Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini, kwa kushirikiana na Benki ya Dunia (WB) itatoa Ruzuku ya jumla ya Shilingi Bilioni 7.481 kwa Wachimbaji Madini Wadogo 59 waliokidhi vigezo vya kupata ruzuku hiyo kati ya 592 walioshindanishwa.


Hafla ya utoaji wa Ruzuku hiyo itafanyika siku ya Jumanne, tarehe 17 Januari 2017, Mjini Mpanda katika Uwanja...

 

5 years ago

Mwananchi

Wachimbaji wadogo ‘walilia’ leseni

Zaidi ya wachimbaji wadogo wa dhahabu 7000 wilayani Nzega mkoani Tabora wameiomba Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini kuwapatia leseni ya uchimbaji katika mgodi mdogo wa dhahabu wa Mwanshina, uliopo pembezoni mwa mgodi mkubwa wa dhahabu wa Resolute.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani