MADIWANI MUFINDI WAPITISHA BAJETI KWA MWAKA 2018/2019, ASILIMIA 60% IMEELEKEZWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Mhe. Festo Mgina, akizungumza wakati wa kufunga kikao cha Baraza la Madiwani. Sehemu ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi wakifuatilia Mjadala wa bajeti.
Na Afisa Habari Mufindi.Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi limejadili, kuridhia na kupitisha rasimu ya bajeti yenye zaidi ya shilingi bilioni 62.926, ikiwa ni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka ujao wa Fedha 2018/2019, ambapo makusanyo ya ndani ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

MADIWANI MUFINDI WAPITISHA BAJETI KWA MWAKA MPYA WA FEDHA

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi limepitisha bajeti ya zaidi ya Sh. 67,613,232,516 Katika kikao maalum cha baraza la Madiwani kwa mwaka 2016/2017 ikiwa ni makisio ya mwaka mpya wa fedha utakaoanza mwezi wa 07 mwaka huu.
Makisio ya bajeti hiyo yamegawanyika katika sehemu kuu tatu, ambazo makusanyo ya ndani yanayokadiliwa kufikia kiasi cha jumla Sh.4,189,145,436 , ruzuku kutoka serikali kuu zaidi ya 44,063,827,880 ambazo ni kwa ajili ya mishahara na matumizi...

 

1 year ago

Michuzi

BARAZA LA MADIWANI KINONDONI LAPITISHA BAJETI YA MWAKA 2018/2019

Na Emmanuel Masaka, Globu ya JamiiBARAZA  la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam kupitia mkutano wake maalum limepitisha makadirio ya mapato na matumizi ya kawaida  na mpango wa maendeleo kwa mwaka 2018/2019.
Ambapo Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni inatarajiwa kukusanya na kupokea Sh. 242,185,292,987.00 ambapo Sh. 209,436,308,079.00 sawa na asilimia 86.5 ni ruzuku kutoka Serikali kuu.
Wakati Sh. 686,380,000.00  sawa na asilimia 0.3 ni mchango wa jamii na ...

 

1 year ago

CCM Blog

WAZIRI MIPANGO AWASILISHA MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA YA KIWANGO NA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2018/2019Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango  (Mb)   akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2018/2019 Bungeni Dodoma.IMG_9411Baadhi ya Wabunge wakifuatilia kwa makini mawasilisho ya Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2018/2019 Bungeni Dodoma.IMG_9467Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb)   akiwasilisha Mapendekezo...

 

1 year ago

Michuzi

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, DKT. PHILIP MPANGO, AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO YA TAIFA KWA MWAKA 2018/19 NA MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2018/19

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango, akiwasilisha Bungeni Mjini Dodoma, Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2018/2019 na Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa mwaka 2018/2019.

 

3 years ago

Michuzi

MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA IGUNGA MKOANI TABORA WAPITISHA MAPENDEKEZO YA MWELEKEO WA BAJETI YA MWAKA 2016/2017

HALMASHAURI ya wilaya ya Igunga,Mkoani Tabora inatarajiwa kukusanya jumla ya shilingi 40,324,170,000/= kutoka katika vyanzo vyake vya ndani,ruzuku kutoka serikali kuu pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo kwa mwaka wa  fedha wa 2016/2017.Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Igunga,Mkoani Tabora,Rustica Turuka katika taarifa iliyosomwa kwa niaba yake na mweka hazina wa Halmashauri ya wilaya,Gordon Julius Dinda kwenye kikao maalumu cha bajeti cha Baraza la...

 

1 year ago

Malunde

SERIKALI KUKUSANYA TRILIONI 32.4 BAJETI YA MWAKA 2018/2019

 Serikali inatarajia kukusanya na kutumia Sh 32.4 trilioni katika bajeti ya mwaka 2018/19.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema leo wakati akiwasilisha Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2018/19 na Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa mwaka 2018/19 bungeni mjini hapa.
Mpango amesema mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa zaidi ya Sh 22 trilioni sawa na asilimia 68 ya mahitaji yote.
"Washirika wa maendeleo wanatarajia kuchangia Sh 3.7 trilioni katika...

 

1 year ago

Michuzi

HALMASHAURI UBUNGO,YAPITISHA BAJETI YA BILLIONI 98.2/- MWAKA 2018/2019

Na Emmanuel Masaka,Globu ya Jamii
BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, Dar es Salaam limepitisha makadirio ya mapato kwa mwaka 2018/2019
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kwa Mwaka 2018/2019 imekadiria kutumia fedha Sh. 98,238,193,600 ambapo katika fedha hizo Sh. 76,607,163,700 ni matumizi ya kawaida na mishahara ambayo sawa na asilimia 78 ya Bajeti yote .Wakati Sh 21,631,029,900 ni fedha za kutekeleza miradi ya maendeleo ambayo sawa na asilimia 22 ya bajeti...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Baraza la wawakilishi Zanzibar lapitisha Bajeti ya mwaka 2018/2019

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamepitisha Bajeti ya Wizara ya katiba, Sheria ,utumishi wa Umma na Utawala bora ya mwaka 2018/19 na kuitaka serikali kuharakisha utatuzi wa kesi.

Akizungumza katika Ukumbi wa baraza la wawakilishi Mwanasheria mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Saidi Hassan Saidi amesema watahakikisha wananchi na Watendaji wa Serikali wanafuata sheria ya Nchi ili kuweka haki sawa.

Amesema ni kweli kuna mamalalmiko makubwa kwa baadhi wananchi kukosa haki zao hasa katika...

 

2 years ago

Channelten

Baraza la madiwani halmashauri ya manispaa ya Ubungo Dsm limepitisha kwa 100% bajeti ya mwaka 2017/2018

meya+ubungo_11

Baraza la madiwani katika halmashauri ya manispaa ya Ubungo jijini Dsm imepitisha kwa asilimia mia moja bajeti ya mwaka 2017/2018 ambapo kiasi cha shilingi billion 128,million 611.8 zitatumika katika mpango wa maendeleo katika manispaa hiyo mpya ya Ubungo.

Mstahiki meya wa manispaa hiyo Boniface Jacob akitoa mchanganuo ya bajeti hiyo amesema bajeti hiyo kwa asilimia 80 imelenga katika maendeleo ya kijamii ,ikiwemo Sekta ya Afya,maji ,elimu pamoja na miundombinu ya barabara katika manispaa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani