MADIWANI NA WAKUU WA IDARA NA VITENGO KATIKA HALMASHAURI ZOTE ZA DODOMA WAPATIWA MAFUNZO YA MAADILI

Afisa Uchunguzi Mwandamizi Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Ofisi ya Kanda Dodoma, Bibi Jasmin Awadh akiwasilisha Mada ya Mgongano wa Maslahi kwa Waheshimiwa Madiwani naWakuu wa Idara na Vitengo kutoka Halmashauri za Jiji la Dodoma wakati wa Mafunzo ya Maadili kwa Viongozi wa Umma wanawake yalifanyika ukumbi wa VETA Dodoma juni 5, 2018.Waheshimiwa Madiwani na Wakuu wa Idara na Vitengo kutoka Halmashauri za Jiji la Dodoma wakifuatilia kwa makini Mada ya Sheria ya Maadili ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

WWF YATOA MREJESHO WA MAFUNZO YA MABADILIKO YA TABIA NCHI KWA WAKUU WA IDARA YA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOSHI

 Mratibu wa Mradi wa Nishati wa Shirika la Kimataifa la Utunzaji Mazingira (WWF-Tanzania) Dkt Teresia Olemwako akizungumza wakati wa warsha ya kutoa mrejesho wa ushiriki wa Halmashauri za Manispaa katika mradi wa Earth Hour City Challange (EHCC) 2014-2015 Baadhi ya wakuu wa idara katika Halamshauri ya Manispaa ya Moshi wakishiriki haktika warsha hiyo iliyofanyika katika Hotel ya Uhuru mjini Moshi. 
 Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi,Danford Kamenya (kushoto) akiwa na mgeni...

 

1 year ago

Michuzi

WAKUU WA IDARA NA VITENGO WASHIRIKI UJENZI UWANJA WA MPIRA RUANGWA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Andrea Chezue, ameitaka Menejimeti ya Halmashauri hiyo kutoa ushirikiano wa kusimamia ujengaji wa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira. 
Chezue amesema hayo katika kikao kilichofanyika ukumbi wa Halmashauri wakati akiongea na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri hiyo.
 “Kuna wakuu wa idara na vitengo wanaingia moja kwa moja kutokana na idara zao msisubiri kuambiwa fanya kitu Fulani jitume na washirikishe waliochini yako ili...

 

3 years ago

CCM Blog

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, PAUL MAKONDA ATINGA RASMI OFISINI, AZUNGUMZA NA WAKUU WA IDARA NA VITENGO NA KUTOA MAAGIZO MAZITO

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwasili kwa mara ya kwanza ofisini kwake Dar es Salaam leo mchana.
 Katibu Tawala Msaidizi- Utawala, Ellha Mcha (kushoto), akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda baada ya kumpokea rasmi jana alipofika kwa mara ya kwanza katika ofisi yake. Mhasibu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Shabani Mhando akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Mkurugenzi mpya wa Manispaa ya Kinondoni, Aron Kagurumjuli akisalimiana na...

 

3 years ago

Michuzi

MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU MAKATIBU WAKUU WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR WAPATIWA MAFUNZO YA UONGOZI


 Mkufunzi Nathaniel Mjema akiwasilisha mada ya  kujitathmini kwa viongozi wanaoshiriki mafunzo ya uongozi yaliyowashirikisha Makatibu wakuu na wasaidizi wao. Waratibu wa Mafunzo hayo wakifuatilia kwa kina uwashilishwaji wa mada mbali mbali zilizowasilishwa katika mafunzo hayo. Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Salum Maulid Salum akitoa mchango katika mafunzo ya kuwajengea uwezo juu ya  Maendeleo endelevu yaliyowashirikisha Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu...

 

5 years ago

Michuzi

Dk. Rehema Nchimbi afungua mkutano wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa,Dodoma

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi akifungua mkutano wa mwaka uliowakutanisha Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa mjini Dodoma leo. Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa wakimsikiliza mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi (hayupo pichani). Sehemu ya Washiriki wa mkutano wa Wakuuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za...

 

5 years ago

GPL

DK. REHEMA NCHIMBI AFUNGUA MKUTANO WA WAKUU WA IDARA ZA UTAWALA NA RASILIMALIWATU KATIKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA,DODOMA‏

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi akifungua mkutano wa mwaka uliowakutanisha  Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa mjini Dodoma.
Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa wakimsikiliza mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi (hayupo pichani).…
...

 

2 years ago

Habarileo

Majaliwa awaonya wakuu wa idara, madiwani

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa idara kwenye halmashauri za wilaya na manispaa, wasaidie kutoa utaalamu, badala ya kupingana na madiwani ili wawezeshe kuleta maendeleo kwa wananchi.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Majaliwa awataka wakuu wa idara na madiwani kusaidia kuleta maendeleo

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa idara kwenye Halmashauri za wilaya na manispaa wasaidie kutoa utaalamu badala ya kupingana na madiwani ili wawezeshe kuleta maendeleo kwa wananchi.

 

Ametoa wito huo Alhamisi hii wakati akizungumza na watumishi mbalimbali wa Halmashauri ya wilaya ya Mabada na viongozi na watendaji wa mkoa wa Ruvuma akiwa katika siku ya pili ya ziara yake mkoani humo.

“Wakuu wa idara nyie ni washauri. Tumieni taaluma zenu kutoa ushauri, semeni bila woga pale...

 

11 months ago

Michuzi

Wataalamu toka Halmashauri sita wapatiwa mafunzo ya mfumo rahisi wa upimaji ardhi.

Wataalamu 16 toka Halmashauri za Wilaya ya Morogoro, Mvomero, Bahi, Kongwa, Kilolo na Mufindi walio chini ya Idara ya Ardhi, maliasili na mazingira wamejengewa uwezo juu ya utumiaji wa mfumo mpya na rahisi wa upimaji ardhi unaofahamika kwa jina la MAST (Mobile Application for secure tenure).
Akiongea Mkoani Iringa wakati wa ufunguzi wa ziara hiyo ya mafunzo iliyoandaliwa na Shirika la PELUM Tanzania, Donati Senzia Mratibu wa PELUM alisema lengo hasa la ziara hiyo ni kuwapatia elimu wataalamu...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani