Madrid yatakata kwa kuwachapa La Palmas

Ligi kuu ya nchini Hispania La Liga imendelea tena mwisho wa wiki Real Madrid wakicheza katika dimba la nyumbani Santiago Bernabeu wameshinda kwa mabao 3-0 dhidi ya Las Palmas.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 months ago

Malunde

REAL MADRID YATWAA UBINGWA WA UEFA KWA KUWACHAPA JUVENTUS BILA HURUMAMechi ilianza kwa kusuasua huku kila upande ukicheza kwa tahadhali kubwa ili wasiruhusu goli lake kuguswa. Juventus wakianza mechi kwa kuonesha ubora zaidi kwenye upande wa Ulinzi ambao uliongozwa na wakongwe kuzuia mashambulizi ya Real, Haikumchukua muda mrefu nyota Christiano Ronaldo aliipatia goli la kuongoza lakini baadae mshambulizi Mario Mandžukić akaisawazishia Juventus na kufanya mchezo kuwa 1 – 1.

Mpaka kipenga kinapulizwa kuashiria mapumziko timu zilikuwa sare kwa goli 1 – 1 huku...

 

1 year ago

Zanzibar 24

La Liga: Barcelona isiyo na Messi Kiwango, Real Madrid yabanwa na Las Palmas

BARCELONA 5-0 SPORTING GIJON

62

Barcelona wameonyesha kwamba Lionel Messi ni hodari lakini bila Messi pia timu ni hodari baada ya kupata ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya Sporting Gijon huku magoli matatu ya mwisho yakifungwa dakika tisa za mwisho.

Mshambuliaji Luis Suarez ndiye aliyefunga bao la kwanza la Barcelona katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Sporting Gijon Uwanja wa Manispaa ya El Molinon mjini Gijon kwenye mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Rafinha, Neymar mawili...

 

3 years ago

Mwananchi

Phiri aisifu Kagera kwa kuwachapa

Kocha wa Simba, Patrick Phiri ameipongeza timu ya Kagera Sugar kwa kuibuka na ushindi dhidi ya timu yake na akidai kuwa kikosi chake kilikosa bahati kwenye mchezo huo wa juzi.

 

2 years ago

Michuzi

ARGENTINA YADHIHIRISHA UBORA WAO COPA AMERIKA, YAANZA KWA KUWACHAPA MABINGWA WATETEZI CHILE KWA BAO 2-1, BOLIVIA YAANGUKIA PUA

Na Dac Popos, Globu ya Jamii.
Alfajiri ya kuamkia leo, kulikuwa na burudani ya kufa mtu katika michuano ya Copa Amerika kundi D inayoendelea kutimua vumbi huko Marekani.
Saa 11 alfajili ya leo kwa saa za hapa nyumbani ukadhihirika usemi wa 'NO MESSI NO PROBLEM' pale Timu ya Argentina bila ya Messi walipoigalagaza Chile (bingwa mtetezi) kwa mabao 2-1, katika mchezo mkali na wa kusisimua. Kipindi cha kwanza kilimalizika kwa timu hizi kutofungana yaani 0-0.
Argentina walijipatia bao la kwanza...

 

10 months ago

MillardAyo

Kipigo cha Barcelona kwa Real Madrid kilichovunja rekodi ya Real Madrid

Baada ya kuondolewa katika michuano ya UEFA Champions League kwa timu ya FC Barcelona usiku wa April 23 2017 walisafiri hadi katika jiji la Madrid kuendeleza harakati zao za kuwania Kombe la LaLiga kwa kucheza dhidi ya wapinzania wao wa jadi Real Madrid katika uwanja wa Santiago Bernabeu. FC Barcelona walisafiri kuelekea Madrid tayari wakiwa […]

The post Kipigo cha Barcelona kwa Real Madrid kilichovunja rekodi ya Real Madrid appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

Raia Mwema

Kweli shemeji, kweli kweli kweli unathubutu kuwachapa watu kwa sababu wana mawazo tofauti na ya kwako?

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,

Uzitoni Street,

Bongo.

 

Mpenzi Frank,

MBONA hujaja Bwana? Nakuomba uje usuuze roho yangu wakati namenyeka kusuuza nguo za miungu wetu (ingawa nakuhakikishia nguo zao zina harufu zilezile za sisi akina hohehahe, ukiacha marashi yao ya bei mbaya … lakini usiseme maana yaweza kuwa tusi!).  Nakuomba mpenzi wangu maana kweli ninaogopa kurukwa na akili bila kuwa na mtu wa aina yangu, tena mpenzi wangu, niweze kuongea naye bila wasiwasi ya kukemewa,...

 

2 years ago

Dewji Blog

Simba SC yatakata Mkoani Tanga, Mbeya City taabani, Azam Fc mbele kwa mbele!!

SIMBaaaaaKikosi cha Simba SC kilichoifunga 1-0 African Sports leo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga (Picha kwa hisani ya mtandao wa http://www.binzubeiry.co.tz

Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo wamevunja mwiko wa kutoshinda kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga baada ya kuigaragaza African Sports kwa bao 1-0.

Simba leo iliingia katika mchezo huo ikiwa na presha baada ya kutoshinda mchezo wowote kwenye uwanja huo kwa miaka mitatu mfulilizo. Bao la Simba katika mchezo huo limefungwa na...

 

2 years ago

BBCSwahili

Boateng atua Palmas,Gueye Everton

kiungo wa kimataifa wa Ghana Kevin Prince Boateng Amesajiliwa na Klabu ya Las Palmas ya nchini Hispania kwa mkataba wa Mwaka Mmoja

 

3 years ago

Vijimambo

YANGA YAENDELEZA REKODI YA KUWACHAPA MBEYA CITY


Miamba ya kandanda Tanzania bara, Dar es salaam Young Africans imeendelea kuinyanyasa Mbeya City FC baada ya jioni ya leo kuichapa 3-2 katika mechi ya kirafiki iliyochezwa uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.Magoli ya Yanga yamefungwa na Mbrazil, Andrey Coutinho, Mrundi, Amissi Tambwe na Mzimbabwe, Donald Ngoma, wakati magoli ya Mbeya City yamefungwa na Bakari Mwinjuma na Meshack Samuel.Hiki ni kipigo cha tatu cha aina hiyo kwani msimu uliopita katika mechi mbili za ligi kuu, Yanga ilishinda 3-1...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani