Madrid yatinga fainali ya tatu mfululizo UEFA

Mabingwa wa Ulaya kwa upande wa vilabu Real Madrid imefanikiwa kutinga hatua ya fainali muchuano ya Ligi ya mabingwa kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuindosha Bayern Munich ya Ujerumani kwa jumla ya magoli 4-3.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Uefa: Man City yatinga hatua ya mtoano kwa mara ya nne mfululizo

Mchezaji kiungo David silva ameithibitishia klabu ya Manchester City kuingia hatua ya mtoano kwa mara nne mfululizo kwa kutoka sare ya goli 1-1 dhidi ya Borussia Monchengladbach.

 

3 years ago

Dewji Blog

Real Madrid yatinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, kupambana na wapinzani wao Atletico Madrid

Nusu fainali ya pili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya Real Madrid na Manchester City ilichezwa usiku wa Jumatano ambapo Real Madrid ilipata nafasi ya kuibuka na ushindi wa goli moja kwa bila, goli ambalo limewapa nafasi ya kufuzu fainali ya mabingwa hayo.

Goli pekee la Real Madrid katika mchezo huo lilipatikana baada ya kiungo wa Manchester City, Fernando kujifunga katika dakika ya 20 baada ya Gareth Bale kupiga mpira ambao ulimgonga na kuelekea golini.

Baada ya matokeo hayo sasa Real...

 

3 years ago

MillardAyo

Baada ya kuifunga Atletico Madrid fainali, Real Madrid wamefikisha jumla ya Makombe 11 ya UEFA

34BB0F7800000578-3614372-image-a-203_1464472773898

Usiku wa May 28 2016 wapenda soka wote duniani macho na masikio yao ilikuwa ni katika uwanja wa San Siro katika jiji la Milan Italia, ili kutaka kufahamu nani atafanikiwa kuchukua Kombe la Klabu Bingwa Ulaya 2016 kati ya Real Madrid na Atletico Madrid. Real Madrid ambao wanatajwa kama klabu yenye mafanikio katika michuano ya […]

The post Baada ya kuifunga Atletico Madrid fainali, Real Madrid wamefikisha jumla ya Makombe 11 ya UEFA appeared first on MillardAyo.Com.

 

2 years ago

Channelten

UEFA Champions Ligi: nusu fainali kuanza leo, Real Madrid na Atletico Madrid

2

Leo kutakuwa na mtanange mkali huko Stadio Santiago Bernabeu ambapo Real Madrid watakutana na Atletico Madrid. Hii ni mara ya 5 kwa Timu hizi kupambana katika Mechi za Ulaya na Real Madrid walimaliza ndoto za Atlético Madrid kwenye UCL katika Misimu Mitatu iliyopita, ikiwa ni pamoja wa Fainali za Mwaka 2014 na 2016.

Na kesho jumatano ni nusu fainali ya pili kati ya AS Monaco itakapokwaana na Juventus.

Kesho jumatano pia kutakuwa na nusu fainali ya kwanza ya UEL, UEFA EUROPA Ligi...

 

2 years ago

BBCSwahili

Leicester City yatinga robo fainali UEFA

Yaichapa Sevilla kwa jumla ya mabao 3-2. Juventus nayo imesonga mbele kwa kuifunga Porto 1-0

 

12 months ago

BBCSwahili

Liverpool yatinga fainali UEFA baada ya miaka 11

Liverpool imefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya kwa mara ya kwanza tokea 2007 kwa jumla ya magoli 7-6 licha ya kupoteza mbele ya Roma kwa magoli 4-2.

 

5 years ago

Mwananchi

Real Madrid yaua, yatinga fainali

>Real Madrid imeendeleza ubabe kwa Bayern Munich baada ya kuichapa mabao 4-0 katika mechi ya marudiano ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hivyo kutinga fainali kwa jumla ya mabao 5-0 kwa sababu katika mechi ya kwanza wiki moja iliyopita walishinda 1-0.

 

1 year ago

BBCSwahili

R.Madrid yatinga nusu fainali ‘kibabe’

Goli la Penati lilofungwa na Cristiano Ronaldo katika dakika za majeruhi limeiingiza Real Madrid katika nusu fainali za Ligi ya Mabingwa

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani