maendeleo ya mchezo wa Baseball na Softball Tanzania

Taarifa kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama cha mchezo wa Baseball na Softball Tanzania ndugu Alpherio Nchimbi zinasema kwamba mafunzo kwa walimu pamoja na wachezaji wa Baseball Mkoani Mbeya yamekamilika kwa mfanikio makubwa ambapo zaidi ya washiriki 50 wamepata mafunzo hayo na kukabidhiwa vyeti vya kuhitimu. Mafunzo hayo yalitolewa na mwalimu mbobezi kutoka Japan ndugu Hiroki Iwasaki, yalianza tarehe 15 Julai na kukamilika jana Jumapili tarehe 16 Julai, 2017 yalikuwa ni ya siku nzima. "Intensive training program". Picha hizo zinaonyesha washiriki wakiwa viwanjani. mafunzo kwa walimu pamoja na wachezaji wa Baseball Mkoani Mbeya mafunzo kwa walimu pamoja na wachezaji wa Baseball Mkoani Mbeya Baadhi ya washiriki 50 ambao wamepata mafunzo hayo na kukabidhiwa vyeti vya kuhitimu wakiwa na na mwalimu mbobezi kutoka Japan ndugu Hiroki Iwasaki

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 months ago

Michuzi

SERIKALI YA JAPAN YAISAIDIA TANZANIA DOLA 80,234 KUENDELEZA MCHEZO WA BASEBALL

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (aliyesimama mbele) akiongea na Wageni waalikwa pamoja na Waandishi wa habari wakati wa hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa kiwanja cha Baseball nchini kati ya Serikali ya Tanzania na Japan leo 15 Februari, 2017 Jijini Dar es Salaam.Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Masaharu Yoshida (aliyesimama mbele kulia) akiongea na Wageni waalikwa pamoja na Waandishi wa habari wakati wa hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa...

 

2 years ago

Dewji Blog

Katibu wa Baseball Tanzania akabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya taifa ya mchezo huo jijini Dar

2

Bw. Alferio Nchimbi Katibu wa Chama cha Mchezo wa Baseball na Softball Tanzania akikabidhi vifaa vya michezo kwa wachezaji wa timu ya mchezo huo ya Tanzania inayotarajia kuondoka kesho kuelekea nchini Uganda kwa ajili kambi ya mafunzo ya Meja League Base Ball Training Camp For Tryout (MLB) yatakayofanyika kuanzia tarehe 23-25 Agosti 2015 ambapo wachezaji watakaochaguliwa kutoka katika kambi hiyo watakwenda nchini Afrika Kusini kwa kwa mafunzo ya wiki mbili na baadaye wachezaji...

 

4 years ago

Michuzi

UONGOZI WA CHAMA CHA MCHEZO WA BASEBALL WAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR LEO

Katibu Mkuu Chama cha Baseball Tanzania (TABSA) Alpherio Nchimbi (kushoto) akitoa maelezo kwa waandishi wa habari juu ya mashindano ya Kitaifa ya mchezo wa baseball yanayotarajiwa kufanyika hivi karibuni katika shule ya Sekondari ya Azania iliyopo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Marafiki wa mchezo wa Baseball Africa (AFAB) Shinya Tomonari na Kutoka kulia ni Afisa Michezo Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Richard Mganga. Mwenyekiti wa Chama cha Marafiki wa...

 

3 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa ya Mchezo wa Baseball (U18) yashika nafasi ya tatu mashindano ya Kufaulu kushiriki kombe la Dunia

Timu ya Taifa ya Mchezo wa Baseball baada ya ushindi wa nafasi ya tatu (Bronze Medal) katika mashindano ya Kufaulu kushiriki kombe la Dunia la Mchezo wa Baseball Umri chini ya Miaka 18. Mashindano hayo yalifanyika nchini Kenya katika mji wa Meru tarehe 15 - 20 Disemba, 2014 na yalikuwa kutafuta tiketi kwa Bara la Afrika ya kushiriki mashindano ya Kombe la Dunia yatakayofanyika hapo mwakani 2015 katika jiji la Tokyo, Japan.

 

3 years ago

BBCSwahili

Baseball Tanzania yapata mhisani

Serikali ya Japan, kusaidia kukuza mchezo wa baseball nchini Tanzania.

 

2 years ago

Habarileo

Baseball safi Zanzibar

CHAMA cha mchezo wa baseball Zanzibar (ZABSA), kimesema kiko katika harakati za kuandaa mabonanza mbalimbali kwa ajili ya kuutangaza mchezo huo Zanzibar.

 

2 years ago

Habarileo

Mwanakwerekwe mabingwa wa baseball

TIMU ya mpira wa baseball ya Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe C imefanikiwa kuibuka na ubingwa katika bonanza la mchezo huo lililofanyika juzi kwenye viwanja vya Magereza Tomondo, wilaya ya Magharibi Unguja.

 

3 years ago

TheCitizen

18 picked for national baseball team

Eighteen players have been selected to join the Tanzania National Baseball team following the Japanese ‘Sport for Tomorrow’ Programme that was launched in Dar es Salaam over the weekend.

 

7 months ago

Global Publishers

Samatta si wa Mchezo Mchezo, Aibeba Stars, Atupiamo Dakika 3 za Mwanzo na 3 za Mwisho

MSHAMBULIAJI wa anayeiwakilisha Tanzania Kimataifa kutoka Klabu inayocheza Ligi Kuu ya Ubelgiji na Europa League, KRC Genk, Mbwana Ally Samatta ameibeba Taifa Stars baada ya kuongoza jahazi na kufanikiwa kutupia bao mbili za kwake wakati Taifa Stars ikiichapa Botswana bao 2-0.

Katika mchezo huo wa kirafiki kwenye Kalenda ya FIFA uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Samatta alitupia bao hizo kunako dakika ya 3 na ya 87 ya mchezo huo huku akionesha kiwango bora cha...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani