MAFURIKO YA WANAWAKE YAIKUMBA ESWATINI..MFALME MSWATI AAGIZA KILA MWANAUME AOE WAKE WAWILI LA SIVYO UTUPWE JELA!

Mfalme wa Eswatini, Mswati wa III amewataka vijana wa nchini kwake waliofikia umri wa kuoa, waoe haraka na kusisitiza kuwa wanatakiwa waoe wake wawili au zaidi, kinyume na hapo atawatupa lupango/jela wote wasiotekeleza agizo hilo kuanzia Mwezi Juni, 2019.

Mswati wa III ana jumla ya wake 15 na watoto 25. Baba yake ambaye pia alikuwa mfalme wa nchi hiyo, alikuwa na wake 70 na watoto zaidi ya 150.
Mswati alitoa onyo kali kwa mwanaume au mwanamke atakayekiuka agizo hilo atahukumiwa kifungo cha...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

5 days ago

CCM Blog

MFALME MSWATI ALAZIMISHA WAVULANA WALIOPEVUKA KUOA HARAKA TENA WANAWAKE WAWILI-WAWILI KUFUATIA IDADI YA WANAWAKE KUWA KUBWA MNO KULIKO WANAUME NCHINI MWAKE.

Mfalme wa Eswatini, Mswati wa III amewataka vijana wa nchini kwake waliofikia umri wa kuoa, waoe haraka na kusisitiza kuwa wanatakiwa waoe wake wawili au zaidi, kinyume na hapo atawatupa lupango/jela wote wasiotekeleza agizo hilo kuanzia Mwezi Juni, 2019.

Mswati wa III ana jumla ya wake 15 na watoto 25. Baba yake ambaye pia alikuwa mfalme wa nchi hiyo, alikuwa na wake 70 na watoto zaidi ya 150.
Mswati alitoa onyo kali kwa mwanaume au mwanamke atakayekiuka agizo hilo atahukumiwa kifungo cha...

 

6 days ago

Zanzibar 24

Gumzo la Mfalme Mswati wanaume kuoa wake wawili laibukia kwenye Bunge la Afrika

Serikali ya nchi ya Eswatini imekanusha taarifa zinazoenea kwa kasi mtandaoni kuwa Mfalme Mswati III ametoa agizo la wanaume nchini humo kuanzia Mwezi Juni 2019 kuoa wanawake wawili au zaidi la sivyo unatupwa jela. 

Akizungumza leo asubuhi Jumatano Mei 15,2019 katika Bunge la Afrika linaloendelea jijini Johannesburg,nchini Afrika Kusini,Mbunge wa Eswatini, Mhe. Mike Temple amesema ni vyema taarifa hizo zikapuuzwa kwani zina lengo la kumchafua Mfalme Mswati

“Mhe.Rais wa Bunge la...

 

6 days ago

Malunde

GUMZO LA MFALME MSWATI WANAUME KUOA WAKE WAWILI LAIBUKIA KWENYE BUNGE LA AFRIKA…UKWELI HUU HAPA

Mbunge wa Bunge la Afrika kutoka Eswatini akizungumza katika Mkutano wa Bunge la Afrika unaoendelea Jijini Johannesburg,Afrika Kusini leo - Picha na Kadama Malunde - Malunde1 blog ****Serikali ya nchi ya Eswatini imekanusha taarifa zinazoenea kwa kasi mtandaoni kuwa Mfalme Mswati III ametoa agizo la wanaume nchini humo kuanzia Mwezi Juni 2019 kuoa wanawake wawili au zaidi la sivyo unatupwa jela. 

Akizungumza leo asubuhi Jumatano Mei 15,2019 katika Bunge la Afrika linaloendelea jijini...

 

4 days ago

BBCSwahili

Je, ni kweli usipokuwa na wake wawili eSwatini unafungwa?

Serikali ya eSwatini imekanusha taarifa kuwa mfalme Mswati III

 

5 days ago

Malunde

ESWATINI MP MIKE TEMPLE RUBBISHES REPORTS THAT KING MSWATI HAS MADE A LAW THAT ALL SWATI MALES SHOULD HAVE TWO WIVES

Hon. Mike TempleBy Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Eswatini MP and Chairman of CMFA at Pan- African Parliament,Hon. Senator Mike Temple rubbishes reports that his Majesty the King Mswati III has made a law that all Swati males should have two or more wives otherwise you thrown in jail by June 2019. 

Speaking on Wednesday, May 15,2019 at the ongoing African Parliament in Johannesburg, South Africa, Eswatini MP, Hon.Mike Temple said for journalists to say that King Mswati III has passed a law...

 

2 years ago

Mwananchi

Mafuriko yaikumba Kibiti

Kata nne zilizopo wilayani Kibiti mkoani Pwani zimekumbwa na mafuriko yaliyosomba mazao ya wakazi wa maeneo hayo.

 

2 years ago

Malunde

MWANAUME ALIYEWAAMBUKIZA UKIMWI KWA MAKUSUDI WANAWAKE 30 AFUNGWA JELA MIAKA 24


Mhasibu mmoja nchini Italia amefungwa jela miaka 24 kwa kuwaambukiza makusudi wanawake 30 virusi vya Ukimwi.
Valentino Talluto anadaiwa kushiriki mapenzi bila kinga na wanawake angalai 53 baada yake kupatikana na virusi vya Ukimwi mwaka 2006, mwanamke mdogo zaidi miongoni mwa hao alikuwa na miaka 14 wakati wa kuanza uhusiano wao.
Mhasibu huyo ambaye alikuwa anatumia lakabu "Hearty Style", alitumia mitandao ya kijamii na tovuti za kuchumbiana kuwawinda waathiriwa wake.
Ijumaa, jaji alimhukumu...

 

3 years ago

Channelten

Mafuriko yaikumba Wilaya ya Kilosa

Screen Shot 2016-02-08 at 4.40.39 PM

Zaidi ya watu elfu tatu katika kata ya Tindiga wilayani Kilosa Mkoani Morogoro, wamekosa makazi  baada ya nyumba zao  kukumbwa na mafuriko  kufuatia mvua kubwa  zinazoendelea kunyesha mkoani Morogoro, hali inayosababisha baadhi ya watu kuishi chini ya miti.

Channel ten imefika kijijini hapo na kushuhudia wahanga hao wakiokoa baadhi ya mali zao ambapo  wamesema mafuriko hayo yamesababisha waishi katika mazingira magumu na kuiiomba serikali kuchukua hatua za haraka kuwanusuru katika hali...

 

5 years ago

Michuzi

MKE WA MFALME MSWATI ZIARANI ZANZIBAR.

Mke wa Mfalme Mswati wa Swaziland Nomsa Matsebula kulia akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu wa Chuo cha Kilimo Kizimbani Fumu Ali Garo kuhusu Mmea wa Mchaichai na faida zake wakati alipotembelea katika Shanba la Viungo Kizimbani ikiwa ni Miongoni mwa Ziara yake Zanzibar. Mmea wa Mmanjano kama Unavyoonekana ambao ni miongoni mwa mimea yenye faida kubwa ambao hupatikana sehemu ya Kizimbani Zanzibar. Mke wa Mfalme Mswati wa Swaziland Nomsa Matsebula Katikati akipata maelezo kuhusu Mmea wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani