Magoli ya Simba VS Ruvu Shooting Ligi Kuu Full Time (ALL GOALS 2-1)

Screen Shot 2016-09-07 at 10.11.27 AM

Ligi Kuu soka Tanzania Bara leo September 7 2016 imeendelea kama kawaida kwenye vinjwa mbalimbali ambapo Club ya Simba iliwaalika Ruvu Shooting katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam ambapo mechi ilimalizika kwa Simba kuibuka na Ushindi wa Magoli 2-1, Ruvu Shooting ndio ilikua ya kwanza kupata goli katika dakika ya 8 ya mchezo kupitia kwa Abrahaman Musa, wakati […]

The post Magoli ya Simba VS Ruvu Shooting Ligi Kuu Full Time (ALL GOALS 2-1) appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Goli la Simba vs Ruvu Shooting Dec 29 2016, Full Time 1-0

img-20161229-wa0036

Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea leo kwa michezo miwili kuchezwa Simbawalicheza dhidi ya Ruvu Shooting uwanja wa Uhuru Dar es Salaam na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 goli ambalo lilifungwa na Mohamed Ibrahim wakati wa dakika za nyongeza kuelekea kumalizika kipindi cha kwanza. ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

The post VIDEO: Goli la Simba vs Ruvu Shooting Dec 29 2016, Full Time 1-0 appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

Video ya magoli ya mchezo wa JKT Ruvu Vs SIMBA VPL 2015/2016, Full Time 0-2

Mechi za Ligi Kuu soka Tanzania Bara ziliendelea Jumatano ya January 20 kwa michezo  mitano kupigwa, uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, klabu ya JKT Ruvu ilikuwa mwenyeji wa Simba katika mchezo wa 15 wa Ligi Kuu. Simba walimaliza mchezo kwa kuibuka na ushindi wa goli 2-0, magoli ya Simba yalifungwa na Hamis Kiiza kwa […]

The post Video ya magoli ya mchezo wa JKT Ruvu Vs SIMBA VPL 2015/2016, Full Time 0-2 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Video ya magoli ya JKT Ruvu Vs Yanga February 7 2016, Full Time 0-4

DSC_0007

Ligi Kuu soka Tanzania bara mzunguko wa pili umeendelea Jumamosi ya February 7 uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, klabu ya JKT Ruvu ilikuwa mwenyeji wa klabu ya Yanga katika mchezo wa marudiano, Yanga wamerejea katika furaha ya ushindi, baada ya kufanikiwa kuiadhibu JKT Ruvu kwa jumla ya goli 4-0, licha ya kuwa walikuwa na wakati mgumu kuikabili Prisons ya […]

The post Video ya magoli ya JKT Ruvu Vs Yanga February 7 2016, Full Time 0-4 appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya Yanga dhidi ya Ruvu November 10 2016, Full Time 2-1

dsc_0052

Mzunguuko wa kwanza wa Ligi Kuu soka Tanzania bara msimu wa 2016/2017 umekamilika kwa Yanga kucheza dhidi ya Ruvu Shooting, Yanga wameibuka na ushinfi wa goli 2-1 magoli yakifungwa na Simon Msuva dakika ya 31 na Haruna Niyonzima dakika ya 56 huku goli la Ruvu likifungwa na Abdurahman Musa dakika ya 7. ALL GOALS: Simba vs Toto […]

The post VIDEO: Magoli ya Yanga dhidi ya Ruvu November 10 2016, Full Time 2-1 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya mechi ya JKT Ruvu vs Yanga Dec 17 2016, Full Time 0-3

screen-shot-2016-12-17-at-10-44-31-pm

Ligi Kuu soka Tanzania bara mzunguuko wa pili ulianza leo December 17 kwa michezo kadhaa kuchezwa, Yanga ambao walikuwa kama wageni dhidi ya JKT Ruvu wameibuka na ushindi wa goli 3-0, magoli ya Yanga yakifungwa na Simon Msuva aliyefunga magoli mawili katika ushindi huo na kusababisha goli la kwanza ambalo Michael Aidan alijifunga. ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

The post VIDEO: Magoli ya mechi ya JKT Ruvu vs Yanga Dec 17 2016, Full Time 0-3 appeared first on...

 

2 years ago

Michuzi

SIMBA YAENDELEA KUSHIKA USUKANI WA LIGI KUU YA VODACOM KWA ALAMA NNE MBELE YA WATANI WAO, YAILAZA RUVU SHOOTING BAO 1-0

Timu ya ya Soka ya Simba ya Jijini Dar es salaam imeendelea kujikita kileleni kwa tofauti ya alama nne baada ya Kuwabugiza Maafande wa Ruvu Shooting goli 1-0.
Mpira ulianza kwa kasi kwa upande wa Simba kutaka kupata goli la mapema lakini jitihada za mlinda mlango na mabeki ziliweza kuzaa matunda.Mpaka kufika Dakika ya 45 ya kipindi cha kwanza Simba wanaandika goli la kwanza kupitia kwa Mohamed Ibrahim baada ya kupokea pasi kutoka kwa Shiza Kichuya.
Kipindi cha pili kilianza kwa kasi kwa Ruvu...

 

4 years ago

Michuzi

ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea

Picha na habari na Faustine RuttaLigi Kuu ya Vodacom imeendelea Jumamosi  kwa Mechi kadhaa na Mabingwa Watetezi Azam FC kushinda huko Shinyanga na kutwaa uongozi wa Ligi toka kwa Mtibwa Sugar ambao wanacheza leo, huku Yanga wakiteleza kutwaa uongozi huo baada ya kubanwa na Ruvu Shooting kwa Sare ya 0-0 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...

 

3 years ago

Mwananchi

Ruvu Shooting yarejea Ligi Kuu

Dar es Salaam. Ushindi wa mabao 2-1 kwa moja iliopata ugenini dhidi ya Lipuli ya Iringa jana, umetosha kuihakikishia Ruvu Shooting kuwa klabu ya kwanza kwenye Ligi Daraja la Kwanza kupanda Ligi Kuu msimu huu.

 

3 years ago

Habarileo

Timu ya Ruvu Shooting yachungulia Ligi Kuu

TIMU ya Ruvu Shooting imekaribia kabisa kurejea katika Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuongoza kwa mbali katika kundi lake la B ikiwa na pointi 25 hadi sasa. Ruvu Shooting ambayo iliteremka daraja msimu uliopita, inafuatiwa na Njombe Mji yenye pointi 16, huku kila timu ikiwa imebakisha mechi nne kabla ya kumalizika kwa ligi hiyo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani