Magufuli amteua Profesa Museru Mkurugenzi wa MNH

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli,  amemteua Profesa Lawrence Mujungu Museru kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

6 months ago

Dewji Blog

Rais Magufuli amteua Profesa Museru kuwa Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mapema leo Oktoba 3.2016 amefanya uteuzi kwa  kumteua Mkurugenzi mpya wa  Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru (Pichani juu).

Katika taarifa ya Ikulu kwa vyombo vya habari imeeleza kuwa, kabla ya nafasi hiyo, Presa Museru alikuwa akikahimu kama Kaimu Mkurugenzi.

(Soma hapa zaidi)

Magufuli

Taarifa ya Ikulu kwa vyombo vya Habari.

The post Rais Magufuli amteua Profesa Museru kuwa Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa...

 

6 months ago

Habarileo

Profesa Museru Mkurugenzi Muhimbili

RAIS John Magufuli amemteua Profesa Lawrence Museru kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi Ikulu jijini Dar es Salaam, ilieleza kuwa uteuzi huo umeanza juzi.

 

6 months ago

TheCitizen

Magufuli confirms Prof Museru as MNH Executive Director

President John Magufuli has appointed Professor Lawrence Museru as Executive Director  of Muhimbili National Hospital (MNH).

 

6 months ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Magufuli Confirms Prof Museru As MNH Executive Director


Tanzania: Magufuli Confirms Prof Museru As MNH Executive Director
AllAfrica.com
Dar es Salaam — President John Magufuli has appointed Professor Lawrence Museru as Executive Director of Muhimbili National Hospital (MNH). According to a statement released to the media by Chief Secretary Mr John Kijazi on Monday October 3, the ...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO PROFESA MBARAWA AMTEUA MASANJA KUNGU KADOGOSA KUWA KAIMU MKURUGENZI MKUU WA TRL.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO.Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amemteua Bwana Masanja Kungu Kadogosa kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), ambako anakwenda kuchukua nafasi ya Mhandisi Elias Mshana ambaye anastaafu hivi karibuni.
Kabla ya Uteuzi huo Bwana Masanja Kadogosa alikuwa Mkurugenzi Idara ya Mikopo Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB). Uteuzi huo unaanza mara moja.
Imetolewa na;Kitengo cha...

 

5 months ago

Mwananchi

Rais Magufuli amteua Profesa Lema kuwa Mwenyekiti wa TAA

Rais John Magufuli, amemteua Profesa  Ninatubu Lema kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA).

 

6 months ago

Bongo5

Rais Magufuli amteua Mkurugenzi Mkuu wa TCRA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amemteua Mhandisi James Mitayakingi Kilaba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ambapo hapo mwazo alikuwa akiikaimu nafasi hiyo baada ya Dkt. Ally Yahaya Simba aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo kutenguliwa.

magufuli (1)

Soma taarifa hii kutoka Ikulu.

whatsapp-image-2016-10-09-at-15-15-46-1

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani