Mahadhi amuibua Msuva Yanga

IMG_0676

Na ADAM MKWEPU -DAR ES SALAAM

MSHAMBULIAJI wa pembeni wa timu ya Yanga, Juma Mahadhi, amesema ubora wake uwanjani umechangia kuongeza changamoto kwa kiungo, Simon Msuva na kufahamu majukumu yake ndani ya timu hiyo.

Mahadhi alijiunga na Yanga akitokea timu ya Coastal Union ya Tanga  ambayo ilishuka daraja  msimu uliopita licha ya kuisaidia ibaki katika Ligi Kuu Tanzania Bara.

Kwa mara ya kwanza, Mahadhi aliichezea Yanga katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya TP Mazembe...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Global Publishers

Mahadhi amtikisa Msuva

Msuva..1.jpgWilbert Molandi, Dar es Salaam

WAKATI mashabiki wakitabiri kiwango cha kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga, Juma Mahadhi kuwa kitamuweka benchi Simon Msuva, mwenyewe ameibuka na kudai yeye anamuomba Mungu asipatwe na majeraha na kitakachofuata wao wenyewe watakubali mziki wake.

 

Mahadhi aliyesajiliwa na Yanga hivi karibuni akitokea Coastal Union, Jumanne ya wiki hii alizua gumzo kutokana na kiwango kizuri alichokionyesha katika mchezo dhidi ya TP Mazembe kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar...

 

3 years ago

Michuzi

KESSY,MAHADHI WAANZA VIZURI YANGA

Na Zainab Nyamka,Globu ya Jamii
BEKI wa kulia aliyetia wino Yanga, Hassan Kessy pamoja na winga wa Coastal Union, Juma Mahadhi wameanza vizuri mazoezi yao baada ya kuonyesha uwezo wa hali ya juu huku kila mmoja akifunga goli katika mechi ya mazoezi waliyocheza kwenye uwanja wa Taifa,Jijini Dar es salaam.
Kessy ameanza mazoezi rasmi na Yanga baada ya kumaliza mkataba wake na wekundu wa Msimbazi na kujiunga nao huku wachezaji wa timu hiyo wakimpa sapoti kwa asilimia zote. 
Uwezo ambao kessy...

 

3 years ago

Habarileo

Kocha Yanga ammwagia sifa Mahadhi

KOCHA wa Yanga, Hans Pluijm amesifu kiwango cha kiungo wa pembeni Juma Mahadhi na kusema kuwa ni aina ya wachezaji anaowakubali na amekuwa msaada mkubwa kwenye kikosi chake.

 

3 years ago

Bongo5

Yanga ruksa kuwatumia Hassani ‘Kessy’, Juma Mahadhi Kombe la Shirikisho

Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limepitisha majina ya wachezaji wanne wapya wa Yanga, kipa Benno David Kakolanya, Hassan Hamisi Ramadhan ‘Kessy’, Vincent Andrew Chikupe na Juma Hassan Mahadhi kucheza Kombe la Shirikisho.

150726131608_caf_logo__512x288_nocredit_nocredit

Wachezaji hao wamesajiliwa kwa lengo la kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho ambacho kimeingia kwenye hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho na wanatarajiwa kuanza kukipiga kwenye mechi ya kwanza ya kundi A dhidi ya Mo Bejala itakayopigwa nchini Afrika Kusini.

Yanga kwa...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Kilichowahi kumkatisha tamaa Juma Mahadhi wa Yanga katika soka

dsc_2577

Najua unatamani kujua kuhusiana na kinda mpya wa Yanga aliyejiunga na timu hiyo akitokea Coastal Union Juma Mahadhi kutokana na uwezo wake kiasi cha kupelekea kocha wa Taifa Stars Boniface Mkwasa  kumuita katika kikosi cha Taifa Stars, AyoTV imempata katika exclusive interview “Toka nimeanza kujitambua kuanza kucheza soka rasmi 2010  nilipata nafasi ya kucheza Coastal […]

The post VIDEO: Kilichowahi kumkatisha tamaa Juma Mahadhi wa Yanga katika soka appeared first on...

 

4 years ago

Vijimambo

Yanga wamchanganya Msuva


Straika wa Yanga, Simon Msuva, akiwa na zawadi yake ya mchele aliyopewa na shabiki wa timu yake kutokana na jitihada zake anazofanya uwanjani. 
Msuva ambaye ni kinara wa mabao kwenye safu ya ufungaji bora baada ya kufunga 13, alizawadiwa kilo 30 za mchele wa Mbeya baada ya mechi yao na Mbeya City waliyoshinda 3-1 kumalizika. Zawadi hiyo imetolewa na shabiki maarufu wa Yanga, Ally Yanga.MASHABIKI wa soka wanamchanganya mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva lakini mwenyewe akasema kuwa...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Yanga yamwandaa Msuva

WINGA wa Yanga, Simon Msuva sasa anatengenezewa nafasi ya kuwa Mfungaji Bora ambapo wachezaji wenzake wamekuwa wakimwachia nafasi ya kupiga mipira ya penalti ili kujiongezea idadi ya mabao ambapo sasa anaongoza kwa bao 12.

 

2 years ago

Habarileo

Msuva awaangukia Yanga

MCHEZAJI wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu, Yanga, Simon Msuva ameomba radhi mashabiki na wanachama wa timu hiyo kwa kukosa penalti dhidi ya Mtibwa juzi na kusema tukio hilo halitajirudia tena.

 

4 years ago

Mwananchi

Kiwango champoteza Msuva Yanga

Ni nini kinachomsumbua Simon Msuva? Hili ni swali ambalo wadau wa soka nchini wanajiuliza.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani