Mahafali ya 30 ya Chuo cha Mipango na Maendeleo Vijijini Kampasi ya Dodoma yafana

 Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Jengo la pili la Taaluma lenye ghorofa 7 la Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Kampasi Kuu ya Dodoma, lililogharimu shilingi Bilioni  10.3. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo hicho Prof. Razack Lokina na kushoto kwake ni Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Dkt. Frank Hawassi wakifurahi kwa pamoja mara baada ya uzinduzi huo.  Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA 49 YA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA(CBE) KAMPASI YA MBEYA YAFANA.

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Musa Uledi akitoa tamko la kuwatunuku vyeti vya Astashahada katika fani za ununuzi na ugavi, uhasibu na uendeshaji wa biashara Wahitimu 37 katika mahafali ya 49 ya Chuo cha Elimu ya biashara (CBE) Kampasi ya Mbeya yaliyofanyika katika viwanya vya Mbeya Hotel. Mkuu wa Chuo cha elimu ya Biashara Kampasi ya Mbeya, Dionise Lwanga akitoa neno la Shukrani kwa mgeni rasmi baada ya kumaliza kuwatunuku wahitimu katika mahafali ya 49 ya Chuo hicho. Makamu...

 

2 years ago

Dewji Blog

Dkt. Kijaji akitaka chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini kuwashawishi vijana kuishi vijijini

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, amekitaka Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, kuhakikisha kuwa kinajielekeza kutatua changamoto zinazokwaza maendeleo ya wananchi vijijini ili kuwafanya vijana wengi wanaokimbilia mijini kutafuta maisha waweze kubaki kwenye vijiji vyao ambavyo vitakuwa vimepangwa vizuri na kupatikana huduma muhimu za jamii

Dkt. Kijaji ametoa rai hiyo mkoani Mwanza, baada ya kukagua maonesho ya bidhaa na huduma zinazotolewa na chuo hicho katika Kituo...

 

3 years ago

Michuzi

mahafali ya 14 ya Mzumbe kampasi ya dar es salaam yafana, chuo chaazimia kujenga uwezo wa wajasiriamali wa viwanda vidogo

Chuo Kikuu cha Mzumbe kampasi ya Dar es Salaam kinatarajia kuanza kuwajengea uwezo wajasiriamali wa viwanda vidogo ili kuunga mkono juhudi za serikali katika kuiendeleza sekta hiyo na kuwa na mchango mkubwa katika maendeleo. Kaimu Makamu wa Chuo hicho, Profesa Josephat Itika alisema wakati wa mahafali ya 14 kuwa kwa sasa Kampasi hiyo inaandaa miradi mbalimbali ya ushauri na kozi fupi kwa kushirikiana na chuo cha Stellenbosch cha Afrika Kusini tayari kuanza kwa mpango huo mwakani. Alisema pia...

 

4 years ago

Michuzi

Mahafali ya tano ya chuo kikuu cha St. John's mjini Dodoma yafana sana leo

 Kushoto mkurugenzi wa Wateja wakubwa, Taasisi na mashirika wa benki ya CRDB Philip Alfred akiwakabidhi viongozi wa chuo kikuu cha Mtakatifu Yohana (St, John's) cha mjini Dodoma Mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 kwa ajili ya kuchangia maendeleo ya chuo hicho kilichopo chini ya kanisa la Anglican TanzaniaSehemu ya wahitimu kwenye mahafali hayo   Wahitimu wa kozi mbalimbali za chuo kikuu cha St, John's wakiwa katika mahafali ya tano ya chuo hicho yaliyofanyika mjini Dodoma.Baadhi ya...

 

4 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA 5 YA CHUO KIKUU KIKUU CHA ST, JOHN DODOMA YAFANA.

Mkuu wa chuo kikuu kikuu cha St, John Askofu Dolnad Mtetemela katikati akiwa na viongozi wa kanisa la anglikan ambalo ndilo mmiliki wa chuo hicho walipokuwa kwenye mahafali ya tano ya chuo hicho. Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Philip Alfred aliyekuwa Mgeni Rasmi kwenye mahafali ya tano ya wanafunzi wa chuo kikuu cha St, John's cha mjini Dodoma akihuwahutubia wahitimu wa kozi mbalimbali wa chuo hicho. Mkuu wa Skuli za kidini akihutubia jambo kwenye mahafali hayo.Wahitimu wa Shahada ya sayansi...

 

4 years ago

GPL

MAHAFALI YA CHUO CHA IMTU YAFANA

Wahitimu wa Chuo cha IMTU kilichopo Mbezi beach wakiwa kwenye mahafali. Wahitimu hao wakila kiapo. Ndugu wa wahitimu wakifuatilia mahafali hayo kwa karibu…

 

2 years ago

Michuzi

Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Ardhi yafana

 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi, Prof. Idrissa Mshoro akiwasili katika viwanja vya chuo hicho kwa ajili ya kuhudhuria katika mahafali ya 10 ya chuo hicho yaliyofanyika jana Jijini Dar es Salaam.  Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi, Mhe. Cleopa Msuya akimtunuku mmoja wa wanafunzi wa shahada ya Udaktari wa Falsafa (PhD) aliyoipata katika chuo hicho. Mahafali hayo yamefanyika jana Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya chuo hicho. Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi, Mhe. Cleopa Msuya (kushoto) akiwa katika picha...

 

1 year ago

Michuzi

MAHAFALI YA 15 YA CHUO CHA TAIFA CHA UTALII YAFANA LEO JIJINI DAR.

NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga amewataka wananchi kushirikiana na serikali katika kuvitangaza vivutio vya utalii ili kuongeza pato la taifa.
Amezungumza hayo leo wakati wa mahafali ya 15 ya Chuo cha Taifa cha Utalii yaliyofanyika kwa kuunganisha matawi ya chuo hicho nchini.Hasunga amewatunikia wanafunzi 129 wakiweza kutunukiwa shahada na astashahada katika fani za upishi, usafi wa vyumba, uhudumu wa chakula na usafirishaji wa watalii.
Katika mahafali hayo, Niabu Waziri...

 

2 years ago

Michuzi

mahafali ya 34 ya Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) yafana

 Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Dkt. Yamungu Kayandabila na viongozi wengine katika Meza Kuu, wakiwa tayari kuendelea na shughuli za mahafali ya 34 ya Chuo cha Ardhi – Tabora (ARITA)

 Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Dkt. Yamungu Kayandabila, akimkabidhi cheti mmoja wa aliyekuwa Kiongozi wa Wanachuo wa Chuo cha Ardhi – Tabora (ARITA)

 Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Dkt. Yamungu Kayandabilia akiwa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani