MAHAKAMA KISUTU YASOGEZA MBELE TAREHE YA KUSOMWA MAELEZO YA AWALI VIGOGO TFF

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imesogeza mbele tarehe ya  kuwasomea maelezo ya awali (PH ) ya vigogo watatu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) hadi Aprili 18/2018.
Hatua hiyo imekuja baada ya Wakili wa Serikali, Shedrack Kimaro kuitaarifu Mahakama kuwa wanaomba kufanya mabadiliko ya hati ya mashtaka kwanza ndiyo waendelee na PH.
Wakili Kimaro amedai, "kesi leo imepangwa kwa ajili ya PH, Mimi ndiyo nimepangiwa kuendelea na kesi hii, nimefanya Mawasiliano na (Takukuru) tukapitia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

Maelezo ya awali (PH) katika kesi inayomkabili Afisa Msaidizi wa Forodha wa TRA kusomwa Januari 11, 2018

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema Maelezo ya awali (PH) dhidi ya Afisa Msaidizi wa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Jennifer Mushi anayekabiliwa na mashtaka mawili ikiwamo la kukutwa akimiliki magari 19,  mali isiyolingana na kipato chake yatasomwa Januari 11, 2018.
Jenipher alipaswa kusomewa maelezo hayo ya awali leo lakini Wakili wa Serikali Mkuu, Vitalis Peter alieleza mahakama ni hapo kuwa bado hawajamaliza kuiandaa. Na kuomba ipangwe...

 

9 months ago

Michuzi

TFF YASOGEZA MBELE MECHI YA SIMBA, LIPULI

Na Agness Francis,Blogu ya Jamii
MECHI ya wana Paluhengo Lipuli na vinara wa Ligi Simba uliotarajiwa kuchezwa  Ijumaa Aprili  20 mwaka huu katika Uwanja wa Samora Mjini Iringa imesogezwa mbele.
Mchezo huo wenye namba 202 wa Ligi Kuu ya Vodacom Lipuli dhidi ya  Simba SC  sasa hautachezwa kama tarehe ya mwanzo iliyopangwa na  (TFF).Umesogezwa  mbele kwa siku moja.
Bodi ya Ligi ya Mpira wa miguu Tanzania (TFF) wameamua Mechi hiyo ichezwe Aprili 21,mwaka huu kwenye uwanja huo huo wa Kumbukumbu ya...

 

4 years ago

Vijimambo

BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU YASOGEZA MBELE TAREHE YA MWISHO YA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO


Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa kuwasilisha maombi ya mikopo umeongezwa mbele hadi tarehe 31 Julai, 2015. 

Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao kwa sababu mbalimbali hawakuweza kufanya maombi ya mikopo katika muda uliopangwa. Itakumbukwa kuwa, awali Bodi ilianza kupokea maombi kwa njia ya mtandao tarehe 4 Mei, 2015 na mwisho wa kuwasilisha maombi ulipangwa kuwa tarehe 30 Juni, 2015. 

Kupitia...

 

11 months ago

Michuzi

MAHAKAMA YAMSOMEA MAELEZO YA AWALI TIDO MHANDO ANAYEKABILIWA NA MASHTAKA MATANO

Na Karama Kenyunko, blogu ya Jamii. 
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema, Aprili 28 mwaka huu, itamsomea maelezo ya awali aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Utangazaji uTanzania (TBC), Tido Mhando (Pichani), anayekabiliwa na mashtaka matano. 

Hatua hiyo imekuja baada ya Wakili wa Tido, Ramadhani Maleta kuiomba Mahakama iwapatie muda wa kupitia maelezo ya awali ili aweze kushauriana na mteja wake kabla ya kusomwa. 
Kesi hiyo leo ilikuja kwa ajili ya mshtakiwa Mhando kusomewa...

 

1 year ago

Michuzi

VIGOGO WAWILI CHUO CHA UHASIBU (TIA) WAPANDISHWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR LEO.

Na Karama Kenyunko, blogu ya Jamii.
Vigogo wawili wa chuo cha uhasibu (TIA) jijini Dar es Salaam, leo wamepandishwa katika kizimba cha mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka mawili, la matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya bilioni moja.
Akisoma hati ya mashtaka Wakili wa serikali kutoka Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa, Leornad Swai amewataja watuhumiwa hao kuwa ni, Shaha Mussa Hanzuruni na Onesphory Ambangile Luhungu.
Mbele ya Hakimu Mkazi...

 

2 years ago

Habarileo

TBBF yasogeza mbele uchukuaji fomu

SHIRIKISHO la Ujenzi wa Mwili nchini(TBBF), limesogeza mbele zoezi la kujisajili kwa wanaotaka kujiunga katika mchakato wa shindano la kuwasaka Mr Handsome, Mr Photogenic na Mr Tanzania.

 

4 years ago

Mtanzania

NEC yasogeza mbele uandikishaji daftari la kudumu

Pg 1NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza kusogeza mbele uandikishaji wapigakura kutoka Februari 16 hadi 23, mwaka huu.
Uamuzi huo ulitangazwa jana jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva, katika kikao na viongozi wa vyama vya siasa hali ambayo iliibua hoja nzito.
Jaji Lubuva, alisema wamesogeza mbele uandikishaji ili wapate muda wa kufanya maandalizi ya kutosha, na vyama viweze kuandaa mawakala pindi kazi hiyo...

 

3 years ago

StarTV

Yanga Africans Yasogeza mbele safari ya kuelekea Mauritius.

 

Klabu ya Soka ya Yanga imelazimika kusogeza mbele tarehe ya safari yao ya kuelekea Mauritius kushiriki mashindano ya klabu bingwa Afrika kwa madai ya kuwa wameshtukia hujuma kutoka kwa wapinzani wao.

Yanga kupitia msemaji wake mkuu Jerry Muro amesema Yanga ilikua iondoke Jumatano lakini imesema taarifa zao za kiitelijinsia zimewaambia kuwa kuna njama ya kuwachelewesha Uwanja wa Ndege wa Afrika Kusini kwa zaidi ya saa saba.

Mbali na madai ya kuwepo kwa njama za kucheleweshwa Uwanja wa Ndege...

 

4 years ago

Michuzi

Bayport yasogeza mbele ofa ya viwanja vya mikopo Vikuruti


Bayport yasogeza mbele ofa ya viwanja vya mikopo VikurutiNa Mwandishi Wetu, Dar es SalaamTAASISI ya Kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mambo ya mikopo imesogeza mbele huduma yao mpya ya mikopo ya viwanja vilivyopo Vikukuruti, wilayani Kibaha, mkoani Pwani kwa ajili ya kutoa fursa zaidi ya Watanzania kupata viwanja hivyo vilivyopimwa.Meneja Masoko na Mawasiliano wa Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, Ngula Cheyo, kushoto, akizungumza jambo baada ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani