Mahakama Kuu yamfutia kesi Dk. Mwakyembe kuhusu Kesi Za Kupinga Matokeo

Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Abraham Mwanyamaki, dhidi ya Mbunge wa Kyela na Waziri wa Katiba na Sheria, Dokta Harrison Mwakyembe.

Mahakama imefikia hatua hiyo baada ya Mwanyamaki kushindwa kulipa ada ya gharama za uendeshaji wa kesi hiyo shilingi Milioni Tatu katika muda wa Siku 14 uliowekwa kisheria.

Baada ya uchaguzi mkuu...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

StarTV

Mahakama Kuu Mwanza yafuta kesi kupinga matokeo ya  uchaguzi

Mahakama kuu kanda ya Mwanza imefuta kesi namba mbili ya mwaka 2015 ya madai ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu Jimbo la Ilemela iliyokuwa imewasilishwa na aliyekuwa mbunge wa Ilemela kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Hynes Kiwia baada ya kushindwa na Angelina Mabula Mbunge wa Ilemela na Naibu Waziri wa Wizara Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Msajili wa mahakama kuu kanda ya Mwanza Eugenia Gerald amefuta kesi hiyo baadaa ya upande wa mlalamikaji kuwasilisha maombi ya...

 

3 years ago

Dewji Blog

Mtemvu atinga Mahakama Kuu kusikiliza kesi yake ya kupinga matokeo ya uchaguzi

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (wa pili kulia) akitoka nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, kusikiliza kesi yake ya kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyomtangaza Abdallah Mtolea (CUF) kuwa  Mbunge wa jimbo hilo Dar es Salaam. kulia ni msemaji wa wa Timu ya Simba Haji Manara (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA) Mmliliki wa ujijirahaa blog. Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu kulia akitoka nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam,...

 

3 years ago

Dewji Blog

Kesi ya kupinga matokeo jimbo la Tarime vijijini yarindima Mahakama kuu Kanda ya Mwanza

Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza leo imeahirisha Kesi ya Kupinga Matokeo ya Ubunge katika Uchaguzi Mkuu Uliofanyika Novemba 25,2015 Jimbo la Tarime Vijijini Mkoani Mara, iliyofunguliwa na Christopher Ryoba Kangoye ambae alikuwa Mgombea ubunge kupitia CCM katika Jimbo hilo.   Wakili Tundu Lisu (Katikati) ambae ni Wakili upande wa mjibu maombi ambae ni Mbunge wa Jimbo hilo John Heche akizungumza juu ya kesi hiyo baada ya kuahirishwa. Lisu aliiomba Mahakama kuifuta kesi hiyo...

 

3 years ago

Dewji Blog

Mahakama kuu kanda ya Mwanza yafuta kesi ya kupinga matokeo ya jimbo la Tarime vijijini

Kulia ni Mwl.Chacha Heche ambae ni Katibu wa Chadema Mkoani Mara akiongea na wanahabari nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza. Na:George Binagi-GB Pazzo @BMG Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza jana imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Novemba
25 mwaka jana, katika Jimbo la Tarime Vijijini Mkoani Mara, iliyofunguliwa na
aliekuwa mgombea ubunge katika jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi CCM
Christopher Ryoba Kangoye.   Katika kesi hiyo,
wajibu maombi walikuwa ni...

 

3 years ago

Michuzi

MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA YAFUTA KESI YA KUPINGA MATOKEO JIMBO LA TARIME VIJIJINI.

Kulia ni Mwl.Chacha Heche ambae ni Katibu wa Chadema Mkoani Mara akiongea na wanahabari nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza.
Na:George Binagi.MAHAKA kuu Kanda ya Mwanza jana imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Novemba 25 mwaka jana, katika Jimbo la Tarime Vijijini Mkoani Mara, iliyofunguliwa na aliekuwa mgombea ubunge katika jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Christopher Ryoba Kangoye.


Katika kesi hiyo, wajibu maombi walikuwa ni Mbunge wa Jimbo la...

 

3 years ago

StarTV

Mahakama yatupilia mbali kesi ya kupinga matokeo wa Lissu

 

Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma imefutilia mbali kesi ya uchaguzi iliyofunguliwa na mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jonathan Njau kupinga ushindi wa Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lisu (CHADEMA).

Katika madai yake ya msingi, Njau alikuwa akipinga matokeo na kutaka kura kuhesabiwa upya.

 Shauri hilo lilikuwa mbele ya Jaji Berkel Sehel ambapo mgombea wa ubunge kupitia chama cha Mapinduzi CCM Jonathan Njau alishindwa kwenye uchaguzi kwenye jimbo hilo mwaka 2010 na 2015.

Njau Aliwasilisha...

 

3 years ago

Channelten

Mahakama yatupilia mbali Kesi za Kupinga Matokeo ya Ubunge Morogoro

law-court

Mahakama Kuu ya Tanzania iliyokaa wilayani Kilombero Mkoani Morogoro  imetupilia mbali kesi za kupinga matokeo ya ubunge katika majimbo mawili ya Kilombero na Mlimba, iliyofunguliwa na wagombea wa chama cha Mapinduzi dhidi ya wabunge wawili wa  Chadema.

Kesi hizo mbili za kupinga matokeo ziligusa hisia za wakazi wengi wa Kilombero, ambapo katika kesi ya kwanza Abubakary Asenga alipinga matokeo ya uchaguzi kwa madai ya kutoridhishwa na kampeni za Mgombea wa Chadema Peter Lijualikali, ambaye...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Mahakama yamfutia kesi Naibu Meya Arusha

MAHAKAMA imeifutilia mbali kesi ya kumshambulia mgambo iliyokuwa ikiwakabili Naibu Meya wa Jiji la Arusha, Prosper Msofe na Diwani wa levelos, Ephata Nanyaro, (CHADEMA). Uamuzi huo uliopokelewa kwa shangwe na...

 

3 years ago

Ippmedia

Mahakama kuu yatupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wa mbunge wa Ukonga kupitia Chadema

Mahakama kuu imetupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wa mbunge wa jimbo la Ukonga kupitia Chadema Bwana Mwita Waitara, iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea wa CCM Bwana Jery Slaa kutokana na kesi hiyo kufunguliwa nje ya muda kwa mujibu wa sheria za uchanguzi.

Day n Time: Jumatano Saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani