Mahakama maalum ya kusikiliza kesi za ufisadi yazinduliwa nchini Kenya

Mahakama maalum ya kusikiliza kesi zinazohusu tuhma za ufisaidi nchini Kenya, imezinduliwa rasmi jijini Nairobi.

RFI

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Channelten

Uchaguzi Nchini Kenya, Mahakama yashindwa kusikiliza kesi ya rufaa

ap_17241382721618-e1504257388317

Mahakama ya Juu Kenya imeshindwa kusikiliza kesi ya kuahirishwa kwa uchaguzi kutokana na kile kilichodaiwa kuwa ni ukosefu wa majaji wa kutosha mahakamani.

Jaji Mkuu David Maraga amesema baadhi ya majaji wako nje ya nchi na wengine wasingeweza kufika mahakamani kwa sababu mbalimbali.

Kesi hiyo ilikuwa imewasilishwa na wapiga kura watatu wakisema Tume ya Uchaguzi bado haijawa tayari kuandaa uchaguzi huru na wa haki unaotarajiwa kufanyika kesho.

Jaji Mkuu amekuwa mahakamani na Jaji Isaac...

 

1 year ago

BBCSwahili

Uchaguzi Kenya: Mahakama yashindwa kusikiliza kesi

Mahakama ya Juu Kenya yashindwa kusikiliza kesi ya kuahirishwa kwa uchaguzi kutokana na ukosefu wa majaji wa kutosha

 

1 year ago

Zanzibar 24

Mahakama Kenya yashindwa kusikiliza kesi ya kuahirishwa kwa uchaguzi

Mahakama ya Juu Kenya yashindwa kusikiliza kesi ya kuahirishwa kwa uchaguzi kutokana na ukosefu wa majaji wa kutosha mahakamani.

Jaji Mkuu David Maraga amesema baadhi ya majaji wapo nje ya nchi na wengine hawangeweza kufika mahakamani kwa sababu mbalimbali.

Kesi hiyo ilikuwa imewasilishwa na wapiga kura watatu wakisema Tume ya Uchaguzi haiko tayari kuandaa uchaguzi huru na wa haki kesho.

Jaji Mkuu amekuwa mahakamani na Jaji Isaac Lenaola pekee.

Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu hakuweza kufika...

 

1 year ago

Malunde

MAHAKAMA NCHINI KUANZA KUSIKILIZA KESI KWA NJIA YA MTANDAO


WAKATI mahakama nchini zinatarajia kuanza kusikiliza kesi kwa kutumia mtandao kuanzia mwakani, Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi, amesema utaratibu huo utasaidia kupunguza gharama.

Waziri Kabudi aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam  wakati akihojiwa na waandishi wa habari, baada ya kufungua jengo la Mahakama ya Wilaya ya Kigamboni na kuongeza kuwa mashahidi watatoa ushahidi wakiwa nje ya mahakama.

Waandishi wa habari walitaka kupata maoni yake kuhusiana na mpango wa...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Waziri azungumzia Mahakama nchini kusikiliza kesi kwa njia ya mtandao

Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi, amesema matarajio ya mahakama nchini kuanza kusikiliza kesi kwa kutumia mtandao ni utaratibu mzuri utakaosaidia kupunguza gharama.

Waziri Kabudi aliyasema hayo jana Januari 31, 2018 jijini Dar es Salaam  wakati akihojiwa na waandishi wa habari kuhusu mpango huo, baada ya kufungua jengo la Mahakama ya Wilaya ya Kigamboni na kuongeza kuwa mashahidi watatoa ushahidi wakiwa nje ya mahakama.

“Mimi mwenyewe sikujua kabisa matumizi ya mtandao...

 

3 years ago

Vijimambo

Mahakama leo kusikiliza hoja kesi mita 200 vituoni.

Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, leo itasikiza hoja za upande wa mashtaka na utetezi katika kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na mgombea ubunge Viti Maalum kupitia Chadema, Amy Kibatala, baada ya upande wa Jamhuri kuwasilisha majibu ya kesi hiyo.

Katika kesi hiyo namba 37 ya mwaka huu, mlalamikaji anaiomba mahakama itoe tafsiri ya kifungu cha 104 kidogo cha (1) cha Sheria ya Uchaguzi kama kinazuia ama la wananchi kukaa umbali wa mita 200 baada ya kupiga kura katika vituo vyao....

 

5 years ago

GPL

LULU ATINGA MAHAKAMA KUU DAR KUSIKILIZA KESI YAKE

Elizabeth Michael ‘Lulu’ . STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametinga ndani ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akiambatana na msanii maarufu wa filamu Bongo, Mahsein Awadh 'Dk. Cheni' tayari kusikiliza kesi yake inayomkabili juu ya kifo cha marehemu Steven Kanumba! Lulu amewasili mahakamani hapo bila wasiwasi wowote na kwenda kukaa akisubiri kesi yake… ...

 

2 years ago

Michuzi

MAHAKAMA KUU KUANZA KUSIKILIZA KESI INAYOMKABILI MWIGIZAJI LULU

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam inatarajia kuanza kusikiliza kesi ya mauaji ya bila kukusudia inayomkabili Mwigizaji Elizabeth Michael maarufu kama Lulu October 19, 2017.Lulu anakabiliwa na kesi hiyo akidaiwa kumuua Msanii mwenzake, Steven Kanumba bila kukusudia, kinyume cha Kifungu cha 195 cha Kanuni za Adhabu (PC), April 7, 2012, nyumbani kwa marehemu Kanumba, Sinza Vatican.Kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya kesi za mauaji ya bila kukusudia iliyotolewa na Mahakama Kuu,...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani