MAHAKAMA YA KISUTU YAZITAKA PANDE ZOTE MBILI (UTETEZI NA MASHTAKA) KUSHIRIKIANA KULIREJESHA JARADA LA KESI YA MALINZI NA WENZAKE KWA DPP

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imezitaka pande wa zote mbili, ule utetezi na wa mashtaka kufanya kazi kwa kishirikiana kwa ukaribu ili kufuatilia jalada la kesi inayomkabili rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF), Jamal Malinzi na wenzake lilirudi kutoka (DPP). ambalo liko huko kwa zaidi ya muda wa siku 37.

Maagizo hayo yametolewa leo na Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri leo Novemba 17/2017 baada upande wa mashtaka kusema upelelezi katika kesi hiyo haujakamilika....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Ippmedia

Tanzania na Uturuki kushirikiana kibiashara na uwekezaji kwa manufaa ya pande zote mbili.

Rais John Magufuli amewataka wafanyabiashara wa Tanzania kutumia mkutano wao na wafanyabiashara wa uturuki kuibua fursa mpya za ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji kwa manufaa ya pande zote mbili.

Day n Time: Jumanne Saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

3 years ago

Mwananchi

Mahakama yautaka upande wa mashtaka kukamilisha utetezi wa Kitilya na wenzake

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeutaka upande wa mashtaka katika kesi inayomkabili Kamishna Mkuu Mstaafu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry  Kitilya na wenzake wawili kukamilisha upelelezi kwa wakati.

 

2 years ago

Michuzi

UPANDE WAUTETEZI WA KESI YA MALINZI WAIOMBA MAHAKAMA KUMWITA DPP

 UPANDE wa utetezi katika kesi inayomkabili aliyekuwa rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF), Jamal Malinzi na wenzake wawili wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imuite Mkurugenzi wa Mashtaka ya Jinai (DPP) aje kueleza kwanini jalada la kesi hiyo limekaa  ofisini kwake kwa siku 37.
Maombi hayo yamewasilishwa na Wakili Richard Rweyongeza mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri baada ya Mwendesha Mashtaka kutoka Takukuru, Leonard  Swai kudai kuwa upelelezi wa kesi hiyo...

 

2 weeks ago

Michuzi

KESI YA MBOWE NA WENZAKE YAENDELEA KUUNGURUMA MAHAKAMA YA KISUTU

Na Karama Kenyunko, Michuzi TvSHAHIDI wa Tatu katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi Tisa wa Chadema, ameieleza mahakama kuwa alimshuhudia Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe akichukua kipaza sauti  na kutoa tamko la kuwashinikiza  viongozi wenzie na wafuasi wa Chadema kuandamana kuelekea katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni kuchukua barua.
Shahidi huyo, E 6976 Koplo Rahimu Msangi, ameeleza hayo leo, Mei 15, 2019 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba wa ...

 

3 years ago

Channelten

Kesi ya Kitilya na wenzake Mahakama imetupilia mbali rufaa iliyowekwa na mkurugenzi wa mashitaka DPP

mahakama

Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam leo imetupilia mbali rufaa iliyowekwa na mkurugenzi wa mashitaka DPP ya kupinga kufutwa shitaka la nane la utakatishaji fedha katika kesi inayowakabili Harry Kitilya na wenzake wawili Shose Sinare na Sioi Solomon.

Uamuzi huo umetolewa na jaji mfawidhi wa mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam Moses Mzuna ambapo ametaja sababu za kutupilia mbali rufaa hiyo ni pamoja na rufaa yenyewe kuwa na dosari za kisheria huku akisema upande wa...

 

3 years ago

Channelten

Kesi ya William Mhando na wenzake wa Tanesco MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu yawaachia huru

Mhando-768x516

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo imemuachia huru aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando na wenzake wa nne, waliokuwa wakikabiliwa na mashitaka sita ambayo ni matumizi mabaya ya madaraka, kughushi na kujipatia Sh. Milioni 31.7 kwa njia ya udanganyifu.

Mbali na Mhando, washtakiwa wengine ni anayedaiwa kuwa mke wake, Eva Mhando, ambaye ni Mkurugenzi wa kampuni ya Santa Clara Supplies, Wahasibu Wafawidhi wa Tanesco, France Mchalange, Sophia...

 

1 month ago

Michuzi

DPP aipa mamlaka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili ‘Mpemba wa Magufuli'

Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii.
MKURUGENZI  wa Mashitaka Nchini (DPP), ameipa mamlaka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu  kusikiliza kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Yusuf Ali maarufu kama ‘Mpemba wa Magufuli' na wenzake watano.
Hatua hiyo imekuja leo Aprili 25, 2019 kufuatia wakili wa serikali Eliya Athamasi akisaidiana na Candid Nasua ,kuwasilisha hati na ridhaa ya kuruhusu Mahakama hiyo kusikiliza kesi hiyo iliyowasilishwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba wakati kesi hiyo...

 

4 days ago

Malunde

MWENYEKITI WA BUNGE AISHAURI SERIKALI KUWA NA MTAALA MMOJA WA ELIMU KWA PANDE ZOTE MBILI ZA MUUNGANO

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma
Mwenyekiti wa Bunge La Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Mhe.Nagma Giga ameishauri serikali ya  Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Tanzania bara kukaa pamoja kuona namna ya kuwa na Mtaala mmoja wa Elimu ili kuinua na kuboresha kiwango cha ufaulu kwa pande zote mbili.
Mhe.Giga amesema hayo leo Mei 22,2019 Bungeni jijini Dodoma wakati akielekeza swali la nyongeza kwa wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ambapo amesema pamekuwepo na mkanganyiko mkubwa...

 

5 months ago

Michuzi

UPANDE WA MASHTAKA WAAMRIWA KUREKEBISHA HATI YA MASHTAKA KESI INAYOMKABILI MBOWE, WENZAKE

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamiiMAHAKAM ya Hakimu Mkazi Kisutu imeuamuru upande wa mashtaka katika kesi ya uchochezi inayomkabikili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake nane kufanyia  marekebisho katika hati ya mashtaka.
Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri ametoa uamuzi huo leo mahakamani hapo baada ya kupitia mapingamizi nane yaliyowasilishwa mahakamani hapo na mawakili wa utetezi, Peter Kibatala na Jeremiah Mtobesya.
Hata hivyo, kutokana na  uamuzi huo Wakili, Kibatala alieleza...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani