Mahakama yamfutia kesi Naibu Meya Arusha

MAHAKAMA imeifutilia mbali kesi ya kumshambulia mgambo iliyokuwa ikiwakabili Naibu Meya wa Jiji la Arusha, Prosper Msofe na Diwani wa levelos, Ephata Nanyaro, (CHADEMA). Uamuzi huo uliopokelewa kwa shangwe na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

StarTV

 Mahakama Kuu yamfutia kesi Dk. Mwakyembe kuhusu Kesi Za Kupinga Matokeo

Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Abraham Mwanyamaki, dhidi ya Mbunge wa Kyela na Waziri wa Katiba na Sheria, Dokta Harrison Mwakyembe.

Mahakama imefikia hatua hiyo baada ya Mwanyamaki kushindwa kulipa ada ya gharama za uendeshaji wa kesi hiyo shilingi Milioni Tatu katika muda wa Siku 14 uliowekwa kisheria.

Baada ya uchaguzi mkuu...

 

2 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YAMFUTIA MASHTAKA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA UVCCM ARUSHA, WAKATI HUO HUO JESHI LA POLISI LAMSHIKILIA

Na Woinde Shizza,Arusha
Mahakama ya hakimu mkazi mkoani Arusha imefuta kesi iliyokuwa ikimkabili aliyewahi kuwa mwenyekiti wa UVCCM mkoani hapa, Lengai Ole Sabaya baada ya upande wa Jamhuri kusema kuwa haitaki kuendelea na kesi hiyo
Akitoa maelezo ya kesi hiyo Hakimu wa Mahakama ya Hakimu mkazi ya mkoa wa Arusha, Gwantwa Mwangoka amesema kuwa shauri hilo lililetwa na serikali mahakamani hapo, hivyo mahakama imeona haja ya kuendelea na shauri hilo.
Awali wakili upande wa Jamhuri, Grace Makidenya...

 

3 years ago

Habarileo

Naibu Meya Arusha kizimbani utapeli wa milioni 8/-

ALIYEKUWA Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Prosper Msofe (Chadema), na Ofisa Mtendaji wa kata ya Daraja Mbili jijini hapa, Modestus Lupogo wamesomewa maelezo ya awali katika kesi ya kujipatia Sh milioni nane kwa njia ya udanganyifu, fedha iliyokuwa imetolewa kwa ajili ya mradi wa usambazaji wa maji.

 

2 years ago

Mwananchi

Madiwani, Naibu Meya Chadema wakamatwa na polisi Arusha

Naibu Meya wa Jiji la Arusha, Viola Likindikoki na madiwani wengine wawili wa Chadema wamekamatwa na jeshi la polisi mjini hapa kwa sababu ambazo mpaka sasa hazijafahamika.

 

2 years ago

Mwananchi

Meya Kinondoni apinga Mahakama Kisutu kusikiliza kesi dhidi yake

Meya wa Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Benjamin Sitta ameiwekea pingamizi Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa haina uwezo wa kusikiliza kesi iliyofunguliwa dhidi yake na wenzake, kuhusu uhalali wa uchaguzi uliowaweka madarakani.

 

2 weeks ago

Michuzi

MAHAKAMA YAMFUTIA MASHTAKA KIGOGO WA UDART

Na Karama Kenyunko,Michuzi TV
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia mashtaka mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (UDART) Robert Kisena (46) na mkewe Frolencia Mashauri nisha kukamatwa tena na kuunganishwa katika kesi moja yenye  mashitaka 19 ikiwemo kusababisha hasara kwa UDART ya Bil.2.41.

Awali washtakiwa hao  walikuwa wakishtakiwa  pamoja na wenzao watatu mbele ya Mahakimu Thomas Simba na Augustine. Mbali na Kisena na Mkewe, washtakiwa wengine katika kesi hiyo...

 

3 years ago

MillardAyo

Mahakama kuu Arusha yaahirisha hukumu ya kesi ya Ole Nangole

mahakama

Mahakama ya Rufaa Tanzania Arusha leo October 24 2016  ilitarajiwa kutoa uamuzi wa rufaa iliyofunguliwa aliyekuwa mbunge wa Longido Onesmo Ole Nangole lakini hukumu hiyo imeahirishwa hadi pale mkurugenzi wa uchaguzi pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali watakapowekwa kwenye rufaa hiyo. Hakimu aliyekuwa akisoma rufaa hiyo John Kahyoza ambaye alikuwa akisoma hukumu hiyo ametoa siku 21 […]

The post Mahakama kuu Arusha yaahirisha hukumu ya kesi ya Ole Nangole appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

Maamuzi ya mahakama Arusha kuhusu kesi ya aliyekuwa Mwenyekiti UVCCM

kkkkkkkkkk

Miezi kadhaa iliyopita aliyekuwa mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi ‘UVCCM’ Arusha, Lengai Ole Sabaya alishtakiwa kwa kosa la kujifanya ofisa usalama wa Taifa na kughushi kitambulisho cha usalama wa taifa. Kesi hiyo imetolewa maaamuzi na mahakama ya hakimu mkazi Arusha leo December 14 2016 ambapo imemuachia huru Lengai Ole Sabaya baada […]

The post Maamuzi ya mahakama Arusha kuhusu kesi ya aliyekuwa Mwenyekiti UVCCM appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Michuzi

MKURUGENZI Mkuu wa Zamani wa Mamlaka ya Bandari Tanzania na naibu wake wana kesi ya kujibu - Mahakama ya Kisutu

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Nchini (TPA) Ephraimu Mgawe (Kulia) na Makamu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo, Hamadi Koshuma.
-------------------------------------------------------------MKURUGENZI Mkuu wa Zamani wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Ephraim Mgawe na Naibu Mkurugenzi Mkuu wake,  Hamadi Koshuma wana kesi inayowakabili ya kujibu dhidi ya mashtaka ya kesi ya matumizi mabaya ya madaraka wameonekana wana kesi ya kujibu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Hatua...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani