MAHAKAMA YAMFUTIA MASHTAKA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA UVCCM ARUSHA, WAKATI HUO HUO JESHI LA POLISI LAMSHIKILIA

Na Woinde Shizza,Arusha
Mahakama ya hakimu mkazi mkoani Arusha imefuta kesi iliyokuwa ikimkabili aliyewahi kuwa mwenyekiti wa UVCCM mkoani hapa, Lengai Ole Sabaya baada ya upande wa Jamhuri kusema kuwa haitaki kuendelea na kesi hiyo
Akitoa maelezo ya kesi hiyo Hakimu wa Mahakama ya Hakimu mkazi ya mkoa wa Arusha, Gwantwa Mwangoka amesema kuwa shauri hilo lililetwa na serikali mahakamani hapo, hivyo mahakama imeona haja ya kuendelea na shauri hilo.
Awali wakili upande wa Jamhuri, Grace Makidenya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA ARUSHA YAMWACHIA HURU ALIYEKUWA MWENYEKITI UVCCM ARUSHA KWA KOSA LA KUJIFANYA USALAMA WA TAIFA

Na Wankyo Gati,,ARUSHA

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, leo imemuachia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Lengai Ole Sabaya baada ya kuona upande wa Jamuhuri wazembe wa kushindwa kuleta mashahidi katika kesi ya kujifanya Afisa Usalama wa Taifa (TISS).

Akisoma uamuzi wake jana uliotokana na ombi la Wakili wa Serikali Grace Madikenya la kuomba Mahakama hiyo kuiondoa kesi hiyo kwa sababu ya kukosa shahidi muhimu katika kesi hiyo na kupingwa na Upande wa Utetezi kuwa ...

 

2 years ago

MillardAyo

Maamuzi ya mahakama Arusha kuhusu kesi ya aliyekuwa Mwenyekiti UVCCM

kkkkkkkkkk

Miezi kadhaa iliyopita aliyekuwa mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi ‘UVCCM’ Arusha, Lengai Ole Sabaya alishtakiwa kwa kosa la kujifanya ofisa usalama wa Taifa na kughushi kitambulisho cha usalama wa taifa. Kesi hiyo imetolewa maaamuzi na mahakama ya hakimu mkazi Arusha leo December 14 2016 ambapo imemuachia huru Lengai Ole Sabaya baada […]

The post Maamuzi ya mahakama Arusha kuhusu kesi ya aliyekuwa Mwenyekiti UVCCM appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Maamuzi ya Mahakama Arusha kuhusu kesi ya aliyekuwa Mwenyekiti UVCCM

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha leo April 28, 2017 imemuachia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Arusha, Lengai Ole Sabaya ambaye alikuwa anakabiliwa na kesi ya kughushi na kutumia kitambulisho cha Usalama wa Taifa. Hakimu Gwanta Mwankuga ambaye alikuwa anasikiliza kesi hiyo, amesema upande wa Jamhuri umeshindwa kupeleka mashahidi katika kesi hiyo na kusema Mahakama haijamuachia […]

The post VIDEO: Maamuzi ya Mahakama Arusha kuhusu kesi ya aliyekuwa Mwenyekiti UVCCM appeared first on...

 

5 years ago

Michuzi

BARAZA LA VIJANA UVCCM MKOANI ARUSHA WALAKUTANA KUMJADILI NAIBU KATIBU UVCCM MKOA HUO

???????????????????????????????
Mwenyekiti UVCCM mkoa wa Arusha Robinson Meitinyiku akitoa taarifa ya ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya taarifa za upotoshaji zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari na baadhi ya viongozi wa UVCCM mkoani hapa. Ambao Mkutano huo ulitanguliwa na Kikao cha Baraza la UVCCM Mkoa wa Arusha waliaofikiana kutoa maamuzi juu ya mgogoro wao na Kaimu Katibu wa UVCCM Mkoa wa Arusha Gerald Mwadalu anayetuhumiwa kufunga ofisi na matumizi mabaya ya fedha za umoja huo.

???????????????????????????????
Katibu wa UVCCM wilaya ya...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Mahakama yamuachia kwa dhamana aliyekuwa mwenyekiti wa UVCCM

Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imemwachia kwa dhamana aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Sadifa Juma Khamis (Mbunge) anayekabiliwa na mashtaka ya kutoa rushwa wakati wa uchaguzi mkuu wa viongozi wa UVCCM Taifa.

Sadifa ameachiwa leo Desemba 19, 2017 baada ya mahakama kutupilia mbali pingamizi la upande wa mashtaka ambao waliliwasilisha mahakamani hapo kuweka zuio la kupewa dhamana.

Mtuhumiwa huyo ametakiwa kudhaminiwa na watu watatu pamoja na kusaini bondi ya Tsh....

 

1 year ago

Zanzibar 24

Mahakama yaifuta kesi ya Sadifa aliyekuwa mwenyekiti UVCCM

Mahakama ya hakimu mkazi Mkoa wa Dodoma imemwachia mwenyekiti wa zamani wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Sadifa Juma Khamis baada ya upande wa Jamhuri kuwasilisha maombi ya kuifuta kesi iliyokuwa ikimkabili.

Uamuzi huo umetolewa leo Februari 15, 2018 na hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo, Emmanuel Fovo baada kuridhia ombi la wakili wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Biswalo Biswalo kuiomba mahakama kuifuta kesi hiyo.

Desemba 9, 2017, Sadifa alikamatwa na...

 

2 weeks ago

Michuzi

MAHAKAMA YAMFUTIA MASHTAKA KIGOGO WA UDART

Na Karama Kenyunko,Michuzi TV
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia mashtaka mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (UDART) Robert Kisena (46) na mkewe Frolencia Mashauri nisha kukamatwa tena na kuunganishwa katika kesi moja yenye  mashitaka 19 ikiwemo kusababisha hasara kwa UDART ya Bil.2.41.

Awali washtakiwa hao  walikuwa wakishtakiwa  pamoja na wenzao watatu mbele ya Mahakimu Thomas Simba na Augustine. Mbali na Kisena na Mkewe, washtakiwa wengine katika kesi hiyo...

 

3 years ago

Bongo5

Siku nikiletewa Muswada wa Habari nitausaini muda huo huo – Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amesema siku akiletewa Muswada wa Sheria ya Vyombo vya Habari atausaini muda huo huo ili uanze kufanya kazi mara moja.

14592151_1674286826216648_4785838292216053760_n

Akizungumza katika mahojiano na waandishi wa habari Ikulu jijini Dar es salaam, Rais Magufuli amesema hawezi kuzungumza lolote kuhusu muswada huo kwa kuwa muswada huyo utajadiliwa bungeni na wabunge wote.

“Kuniambia mambo ya bunge ambayo bado sijaletewa, utakuwa unanionea katika utawala wa bunge,” Magufuli...

 

2 years ago

Michuzi

JAMHURI YAOMBA KUONDOA KESI YA KUJIFANYA AFISA USALAMA ALIYEKUWA MWENYEKITI UVCCM ARUSHA

Na Wankyo Gati, ARUSHA  UPANDE wa Jamuhuri umeiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi  ya jijini Arusha kuiondoa kesi ya kujifanya Afisa usalama wa Taifa  na kujipatia chakula  katika hotel moja ya kimataifa jijini Arusha inayomkabili aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa huo  Bw. Lengai ole Sabaya. Akitoa ombi hilo Wakili wa Serikali Bi. Grace Madikenya mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Hakimu mkazi Arusha, Mhe. Gwantwa Mwakuga, alisema upande wa Jamhuri hauna nia ya kuendelea na kesi hiyo sababu shahidi...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani