Mahakama yampunguzia Ponda mashtaka

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro, jana ilimfutia shtaka moja kati ya matatu Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

MAHAKAMA YAMPUNGUZIA ADHABU SUAREZ

Mchezaji wa Barcelona, Luis Suarez. Mahakama ya Soka ya Kimataifa CAS, imekubali kupunguza adhabu ya kumfungia miezi minne Luis Suarez wa Barcelona baada ya kumuuma Giorgio Chiellini wa Italia wakati wa Kombe la Dunia. CAS imetoa nafuu kwa Suarez na sasa Barcelona rasmi itamtambulisha Jumatatu na atapewa ruksa ya kufanya mazoezi na wenzake.
Mambo ambayo yamepunguzwa na yale yanayobaki kuwa adhabu ni kama yafuatayo. Suarez...

 

3 years ago

Bongo5

Mahakama yampunguzia adhabu Michel Platini

Mahakama ya kutatua mizozo ya kimichezo imempunguzia adhabu rais wa shirikisho la soka Ulaya, Michel Platini.

9

Awali Platini na Sepp Blatter walipewa adhabu ya kutojihusisha na michezo kwa kipindi cha miaka sita kutokana na kosa la ukiukwaji wa maadili ya sheria za FIFA. Baada ya kamati ya mahakama hiyo kukaa imefikia maamuzi ya kumpunguzia adhabu Platini kutoka miaka sita hadi kufikia miaka minne kutojihusisha na michezo.

Japo mara kadhaa wawili hao walikataa tuhuma hizo zinazowakabili,...

 

4 years ago

Mwananchi

Ushahidi upande wa mashtaka kesi ya Ponda wafungwa

Upande wa mashtaka katika kesi ya jinai inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda, umefunga ushahidi wao baada ya kupeleka mashahidi tisa.Shahidi wa mwisho wa upande wa mashtaka askari E.9295 D/CPL, Juma Koroto kutoka Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai(RCO), Morogoro ambaye alikuwa mpelelezi wa kesi hiyo.

 

5 years ago

Mtanzania

Sheikh Ponda aiangukia mahakama

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda

NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM

KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameiangukia Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kwa kuiomba itumie busara kusimamisha kesi ya uchochezi inayomkabili mkoani Morogoro.

Maombi hayo yaliyokwama mara kadhaa kutokana na sababu za kisheria, yaliwasilishwa jana kupitia wakili wake, Juma Nassoro, wakati rufaa yake ya kupinga hukumu ya Mahakama ya Hakimu...

 

3 years ago

Mwananchi

Mahakama yamuachia huru Sheikh Ponda

Mahakama ya Hakimu mkazi mkoa wa Morogoro imemwachia huru kiongozi wa Taasisi na Jumuiya za Kiislam nchini Sheikh Ponda Issa Ponda baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka yaliyofunguliwa mahakamani hapo dhidi yake.

 

4 years ago

Mwananchi

Mahakama yamtakasa Sheikh Issa Ponda

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemtakasa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda dhidi ya hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliyomtia hatiani katika kesi ya jinai iliyotokana na mgogoro wa ardhi wa Chang’ombe Markazi

 

5 years ago

Mwananchi

Sheikh Ponda akwama Mahakama Kuu

>Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda amekwaa kisiki mahakamani baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali maombi yake ya marejeo dhidi ya uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro.

 

4 years ago

GPL

MAHAKAMA MORO YAAHIRISHA HUKUMU YA SHEIKH PONDA

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda. MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Morogoro, leo imeahirisha kutoa hukumu katika kesi ya jinai Na.128/2013 inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda. Hukumu hiyo imeahirishwa hadi Novemba 18, mwaka huu baada ya Hakimu Mkazi Mary Moyo aliyetarajiwa kutoa hukumu hiyo kuwa na matatizo ya kiafya. Taarifa hiyo imeonekana kuwaudhi watu...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Mahakama Kuu yatupa ombi la Sheikh Ponda

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetupilia mbali ombi la Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda la kufanya mapitio ya uamuzi wa Mahakama ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani