MAHAKAMA YARUHUSU HABINDER SETH KUONANA NA MKEWE AKIWA MAHABUSU

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii 
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeruhusu mshtakiwa Habinder Seth kuonana na mke wake anapokuwa mahabusu gerezani.
Ruhusa hiyo imetolewa leo mahakamani hapo na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi wakati kesi ya utakatishaji dhidi ya Habinder Seth na James Rugemalira ilipokuja mahakani hapo kwa kutajwa.
Mapema, Wakili wa Serikali kutoka Takukuru, Leornad Swai aliieleza Mahakama kuwa, upelelezi wa ndani katika kesi hiyo umekamilika walikuwa wanafanya mawasiliano...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

Malunde

HARBINDER SETH AVULIWA UKURUGENZI WA IPL AKIWA MAHABUSU

Huku akikabiliwa na mashtaka 12 ya uhujumu uchumi, Harbinder Sing Sethi ameondolewa katika orodha ya wakurugenzi wa kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania (IPTL).

Uamuzi wa kumuondoa Seth katika ukurugenzi umefikiwa na bodi ya wakurugenzi ambayo pia imemvua madaraka ya kuwa mwenyekiti mtendaji wa IPTL, baada ya kushindwa kushiriki na kuhudhuria mikutano ya bodi.

Seth anadaiwa kushindwa kuhudhuria vikao vya bodi bila kuruhusiwa na wakurugenzi wenzake kwa miezi sita mfululizo tangu...

 

1 year ago

Malunde

KESI YA HABINDER SETH NA RUGEMALIRA YAKWAMISHWA NA UPELELEZI


Upande wa mashtaka katika kesi inayowakabili Habinder Sethi na James Rugemalira umedai upelelezi wa shauri hilo haujakamilika.
Washtakiwa wanakabiliwa na mashtaka 12 ya uhujumu uchumi, utakatishaji fedha na kuisababisha Serikali hasara ya Dola 22.198 milioni za Marekani (Sh309.5 bilioni) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Mwendesha mashtaka kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Leonard Swai amedai hayo mahakamani leo Machi 2,2018 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma...

 

5 years ago

Mtanzania

Mahakama yaruhusu ushoga Uganda

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni

KAMPALA, Uganda

MAHAKAMA ya Kikatiba nchini Uganda imefutilia mbali sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja, ambayo ilisababisha mataifa kadhaa ya magharibi kuinyima misaada.

Sheria hiyo ilizua mjadala si tu nchini Uganda bali kote duniani, kiasi cha kuyafanya mataifa ya magharibi yalazimike kuingilia kati.

Mahakama ilisema muswada uliopitishwa kabla ya kuidhinishwa na rais kuwa sheria ulipitishwa na wabunge ambao idadi yao haikutosha kuupitisha na kwa hivyo...

 

2 years ago

Habarileo

Mahakama yaruhusu Mbowe kukamatwa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyoomba asikamatwe na Polisi, baada ya maombi hayo kufunguliwa kwa sheria isiyo sahihi.

 

4 years ago

StarTV

Mahakama yaruhusu Nkurunziza kuwania urais

Mahakama ya kikatiba nchini Burundi imemruhusu rais Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu.

Kulingana na vituo vya redio nchini humo,Jaji wa mahakama hiyo alitoa uamuzi huo mapema leo asubuhi .

Hapo Jana makamu wa mahakama hiyo Jaji Sylvere Nimpagaritse ,alilitoroka taifa hilo akidai kuwa walikuwa wakishinikizwa kutoa uamuzi utakaompendelea rais Nkurunziza.

Rwanda imethibitisha kuwa jaji huyo yuko mjini Kigali.

BBC

 

5 years ago

BBCSwahili

Mahakama yaruhusu Mkenya kufikishwa ICC

Mahakama imebatilisha uamuzi wa kuzuiya serikali ya Kenya kuwakilisha raiya mmoja ICC

 

2 years ago

MwanaHALISI

Mahakama yanusuru afya ya Seth wa IPTL

HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeliamuru Jeshi la Magereza na Mamlaka zinazohusika na mshtakiwa wa IPTL,   Harbinder  Seth  kumpeleka katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kupata matibabu, anaandika Mwandishi Wetu. Amri hiyo imetolewa leo na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi baada ya mshtakiwa huyo kuomba nafasi ya kujieleza kuhusu hali yake. Aidha, ...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Mahakama yaruhusu baa 12 kuendelea na biashara Unguja

Mahakama ya Vileo Zanzibar  imeziruhusu baa zote 12 zinazofanya biashara ya Pombe Wilaya ya kati kuendelea na biashara  hiyo kutokana na kukidhi vigezo  na masharti ya kisheria yaliyowekwa  na serikali.

Akitoa ruhusa hiyo huko katika Mahakama ya Wilaya Chwaka  Mwenyekiti wa Mahakama hiyo Mohammed Subeit amesema Bodi ya ukaguzi imefanya ukaguzi katika baa zote zilizopo wilaya ya kati ikiwemo Chwaka, Uroa na Marumbi na imejiridhisha  na utendaji wa wenye mabaa.

Amesema  vigezo wanavyoviangalia...

 

2 years ago

Habarileo

Mahakama yaruhusu CUF kufungua kesi dhidi ya Msajili

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imetoa kibali kwa Bodi ya Baraza la Wadhamini la Chama cha Wananchi (CUF) kufungua kesi dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, Profesa Ibrahimu Lipumba na wanachama wengine 12 waliosimamishwa uanachama.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani