Mahakama yasikiliza kesi dhidi ya ukomo wa umri wa kuwania urais Uganda

Mahakama ya Kikatiba inasikiliza kesi iliyoletwa na upande wa upinzani kufuta marekebisho ya katiba ambayo yanatoa ukomo wa miaka ya kuwa rais.

Wabunge waliipigia kura Kwa kishindo mwaka uliopita kufuta ukomo wa miaka 75.

Ilimaanisha kuwa Rais Yoweri Museveni mwenye miaka 73, ambaye amekuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 30, anaweza kuwania tena mwaka 2021.

Mawakili wa upinzani walitoa hoja kuwa marekebisho hayo yaliingizwa “kinyemela” hadi kuwa sheria, na bunge halikufuata kanuni zilizopaswa...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Mahakama Uganda yasikiliza kesi dhidi ya ukomo wa umri wa kuwania urais

Upinzani unataka kufuta marekebisho yanayorumruhusu Rais Museveni, 73, kuwania urais tena

 

2 years ago

BBCSwahili

Wabunge kuondoa umri wa kuwania urais Uganda

Ikiwa watafaulu mswada huo utamwezesha Rais Yoweri Museveni ambaye anaaminika kuwa mwenye umri wa miaka 73, kuwania tena uchaguzi wa mwaka 2021

 

2 years ago

VOASwahili

Viongozi - NRM wagawanyika juu ya ukomo wa umri wa urais

Viongozi wa chama tawala cha NRM huko Buzaaya, Wilaya ya Kamuli wamepiga kura dhidi ya hatua iliyosubirishwa ya kuondoa ukomo wa umri kwa kinyang’anyiro cha urais kutoka katika Katiba ya Uganda.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Mahakama yasikiliza kesi kuamua ushindi wa Kenyatta ni halali au la

Kwa mara ya pili chini ya kipindi cha miezi mitatu, macho yote sasa yanaangazia mahakama ya upeo wa juu zaidi Kenya, itakayoamua iwapo ushindi wa rais Kenyatta, ni halali au la.

Rais Uhuru Kenyatta alitangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais Kenya na tume ya Uchaguzi IEBC, baada ya uchaguzi wa marudio ya Oktoba 26.

Kesi tatu zimewasilishwa mbele ya majaji 6 wanaoongozwa na jaji mkuu David Maraga, mbili zikitaka ushindi wa rais Kenyatta ubatilishwe, huku moja ikitaka viongozi wa upinzani...

 

3 years ago

StarTV

KESI YA UGAIDI: Mahakama ya rufaa yasikiliza rufani ya kiongozi wa Uamsho.

 Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imesikiliza Rufaa iliyofunguliwa na Wakili wa Kiongozi wa Jumuiya ya Taasisi ya Kiislam ya uamsho na Mihadhara Zanzibar, Sheikh Farid Ahmed na wenzake dhidi ya uamuzi wa mahakama kuu kuwa mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ina uwezo wa kusikiliza kesi yao.

Wakati rufaa hiyo ikiwasilishwa Mahakama ya Rufaa, Upande wa Serikali ukaandika kusudio la kutaka kukata rufaa kupinga kusikilizwa kwa kesi hiyo kwamba shauri limewasilishwa kabla ya muda.

Kwa kuwa Kesi hiyo...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Mahakama Kenya yasikiliza kesi 3 za mwisho kuelekea uchaguzi hapo kesho

Mahakama ya juu nchini Kenya leo Jumatano itasikiliza kesi ya dharura iliyowasilishwa na wapiga kura watatu dakika za mwisho wakidai kuwa Kenya haiko tayari kufanya uchaguzi huo.

Mahakama imeombwa kuingilia kati na kuamua – iwapo uchaguzi wa marudio utafanyika..Wanataka uchaguzi huo uhairishwe.

Rais Uhuru Kenyatta anasema uchaguzi utafanyika kama ulivyopangwa siku ya Alhamisi.

Muungano wa upinzani chini ya kinara Raila Odinga umetaka wafuasi wake wasusie zoezi hilo, ukiutaja kuwa uchaguzi...

 

4 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU(AfCHPR) YASIKILIZA KESI YA WATUHUMIWA 10 WA UJAMBAZI MOSHI

Majaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR) wakiingia Mahakamani kusikiliza kesi ujambazi iliyofunguliwa dhidi ya watuhumiwa 10 raia wa Kenya walioufanya mwaka 2006 mkoani Kilimanjaro. Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR), Jaji Augustino Ramadhani akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Arusha na kutoa wito kwa nchi zaidi kutoa tamko kwa Mahakama hiyo ili wananchi na asasi za kiraia kuitumia Mahakama hiyo, nchi saba pekee ikiwemo Tanzania...

 

1 year ago

BBCSwahili

Bunge la Uganda lajadili ukomo wa Urais kwa siku ya tatu

Bunge la Uganda limeanza siku ya tatu za kujadili mswada utakao mruhusu Rais Yoweri Museveni kugombea kwa awamu ya sita.

 

2 years ago

Channelten

Muswada wa ukomo wa Urais Uganda, Polisi wafyatua mabomu kuwatawanya waandamanaji

_90943097_c5434aa7-b874-44fe-a910-650fbac6ab00

Polisi nchini Uganda wamefyatua mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji na kuwakamata watu kadhaa ambao wanapinga mipango ya kuwasilishwa kwa mswada ambao unaweza kumruhusu kiongozi wa muda mrefu kurefusha muda wake madarakani.

Katika kikao kilichokuwa na ghasia, ambapo wabunge wengi walivutana na kutishia kupigana, spika wa bunge alisema mswada huo unaobishaniwa huenda ukawasilishwa bungeni wiki ijayo.

Katiba ya Uganda inamzuwia mtu yeyote mwenye umri wa miaka 75 kugombea nafasi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani