MAHAKAMA YATUPILIA MBALI MAOMBI UPANDE WA UTETEZI KESI YA UCHOCHEZI INAYOWAKABILI VIONGOZI CHADEMA AKIWAMO MBOWE

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imetupilia mbali maombi ya upande wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi wa Chadema akiwemo Mwenyekiti wake Freeman Mbowe ya kutaka kesi yao ikasikilizwe Mahakama Kuu.
Uamuzi huo umetolewa leo mahakamani hapo na Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri baada ya Wakili wa Serikali Mkuu, Faraja Nchimbi kueleza kuwa shauri hilo limeitishwa kwa ajili ya kutolewa uamuzi.
Hakimu Mashauri amesema kuwa amepitia hoja...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

8 months ago

Michuzi

UPANDE WA UTETEZI KESI YA 'UCHOCHEZI' INAYOWAKABILI VIONGOZI CHADEMA WATOA MAOMBI YAO ,WAWASILISHA MAPINGAMIZI NANE

Na Karama Kenyynko,Blogu ya jamii
UPANDE wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema akiwemo Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe, wameomba Mahakama kutupilia mbali mashtaka dhidi ya washtakiwa kwa kuwa yanamapungufu, kisheria.
Maombi hayo yamewasilishwa leo mahakamani hapo  mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Wilabard Mashauri wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na Wakili Peter Kibatala.Hivyo amewasilisha mapingamizi nane ya kisheria yanayoshambulia uhalali wa hati ya...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mahakama kuu yatupilia mbali kesi ya Mbowe Hotels dhidi ya NHC

Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Ardhi imefuta kesi iliyofunguliwa na Mbowe Hotels Ltd. dhidi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ,kuwa Shirika hilo liliitoa kampuni hiyo katika jengo lake jijini Dar es salaam kwa kufuata taratibu zote na kuzishikilia mali zake kihalali. Uamuzi huo umetolewa asubuhi hii na Jaji Sivangilwa Mwangesi, ambaye amesema madai ya Mbowe kwamba aliingia mkataba na NHC hayana mashiko na kwamba mkataba huo haukuwahi kutekelezwa.

Mlalamikaji alikuwa wakidai kwamba...

 

3 years ago

Ippmedia

Mahakama kuu yatupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wa mbunge wa Ukonga kupitia Chadema

Mahakama kuu imetupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wa mbunge wa jimbo la Ukonga kupitia Chadema Bwana Mwita Waitara, iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea wa CCM Bwana Jery Slaa kutokana na kesi hiyo kufunguliwa nje ya muda kwa mujibu wa sheria za uchanguzi.

Day n Time: Jumatano Saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

2 years ago

Mwananchi

Mahakama yatupilia mbali maombi ya bodi ya wadhamini CUF

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeitupilia mbali maombi yaliyofunguliwa na Bodi ya wadhamini ya CUF dhidi ya   Mbunge wa Kaliua, Magdalena Sakaya(CUF), Mbunge wa Mtwara Mjini, Maftah Nachuma(CUF) na wenzao sita yakuomba mahakama iwazuie kwa muda kujihusisha katika masuala ya uongozi na kufanya mikutano ya chama.

 

1 year ago

Malunde

MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI MAOMBI YA DHAMANA YA YUSUPH MANJI


Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam Leo imeyatupilia mbali maombi ya dhamana yaliyowasilishwa na   Mfanyabiashara maarufu Tanzania Yusuf Manji baada ya kukubaliana na mapingamizi yaliyowasilishwa na DPP.

Maombi hayo yametupiliwa mbali na Jaji Isaya Arufani.
Kabla ya kutupiliwa mbali, maombi hayo, Manji alisimama na kuieleza mahakama kukataa kuwakilishwa na Wakili Peter Kibatala kwa sababu za kisiasa.
Amedai, alipopeleka maombi ya dhamana alimpa maelekezo wakili Joseph Tedayo lakini...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Mahakama Kuu yatupilia mbali maombi ya kuzuia ruzuku CUF

Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali maombi ya Bodi ya CUF inayomuunga mkono Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad ya kutaka Msajili wa Vyama vya Siasa asitoe ruzuku kwa CUF upande wa Profesa Ibrahim Lipumba.

Maombi hayo namba 21 ya mwaka 2017 yametupiliwa mbali na Jaji Wilfred Dyansobera mapema leo August 11, 2017, baada ya Wakili Mkuu wa Serikali, Gabriel Malata anayemuwakilisha mdaiwa wa pili Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kusema kesi imeitishwa kwa ajili ya uamuzi.

Katika uamuzi...

 

1 year ago

Michuzi

Mahakama yatupilia mbali maombi ya matunzo ya mtoto dhidi ya Mwanamuziki Diamond Platnum


Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu upande wa watoto imeitupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mwanamitindo Hamisa Mobeto dhidi ya Mwanamuzi Diamond Platnum.

Uamuzi huo umetolewa leo Novemba 10/2017 na Hakimu Devotha Kisoka wa mahakama hiyo.

Hakimu Devotha alitoa uamuzi huo baada ya kusikiliza hoja za pande hizo mbili husika kutokana na msanii Diamond kuwasilisha pingamizi dhidi ya kesi hiyo iliyofunguliwa na Mobeto.

Katika pingamizi lililowasilishwa na Diamond mahakamani hapo anadai...

 

4 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI MAOMBI YA PINGAMIZI LA KUSIMAMISHA BUNGE LA KATIBA

Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii
MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam leo imetupilia mbali maombi ya pingamizi la awali la kusimamisha  Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma, iliyofunguliwa na  Mwandishi wa Habari Said Kubenea, kwa kuwa wametumia kifungu cha sheria kisicho sahihi.
Kadhalika, mahakama hiyo imetupilia mbali pingamizi hilo la awali, kwa kuwa mlalamikaji ametumia kifungu cha sheria namba 2 kidogo cha (2) (JALA) ambacho hakina mamlaka ya kufungua maombi hayo...

 

3 years ago

BBCSwahili

Mahakama yatupilia mbali kesi Uganda

Mahakama ya juu zaidi nchini Uganda imetupilia mbali kesi iliyokuwa ikipinga ushindi wa rais Yoweri Museveni

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani