Mahakama yawabadilishia mashtaka watuhumiwa

Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), amewabadilishia mashtaka, washtakiwa katika kesi ya jengo lililoporomoka Mtaa wa Indira Gandhi, jijini Dar es Salaam kutoka mashtaka ya kuua bila kukusudia na kuwa mashtaka ya kuua kwa makusudi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Watuhumiwa wa kesi ya Escrow kuongezewa mashtaka nchini Tanzania

Mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Singh Sethi na mfanyabiashara James Rugemarila wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 12

 

4 years ago

Mwananchi

Mahakama yampunguzia Ponda mashtaka

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro, jana ilimfutia shtaka moja kati ya matatu Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda.

 

2 weeks ago

Michuzi

MAHAKAMA YAMFUTIA MASHTAKA KIGOGO WA UDART

Na Karama Kenyunko,Michuzi TV
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia mashtaka mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (UDART) Robert Kisena (46) na mkewe Frolencia Mashauri nisha kukamatwa tena na kuunganishwa katika kesi moja yenye  mashitaka 19 ikiwemo kusababisha hasara kwa UDART ya Bil.2.41.

Awali washtakiwa hao  walikuwa wakishtakiwa  pamoja na wenzao watatu mbele ya Mahakimu Thomas Simba na Augustine. Mbali na Kisena na Mkewe, washtakiwa wengine katika kesi hiyo...

 

2 years ago

VOASwahili

Mgomo wa waendesha mashtaka Uganda watikisa mahakama

Shughuli za mahakama zimeathirika nchini Uganda kufuatia mgomo wa wasimamizi wa mashtaka kote nchini, wakidai nyongeza ya mishahara pamoja na marupurupu mengine.

 

2 years ago

RFI

Viongozi wa Mashtaka wakwamisha kesi katika Mahakama za Uganda

Viongozi wa Mashtaka nchini Uganda wanakutana leo kuamua ikiwa wasitishe mgomo ambao umekuwa ukiendelea kwa karibu wiki moja sasa na kukwamisha kesi Mahakamani wakidai nyongeza ya mshahara.

 

3 years ago

Michuzi

Mahakama Kuu Yatupilia mbali rufaa ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP)

Na JacquilineMrisho - MAELEZO
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) iliyokuwa ikipinga kuondolewa kwa shitaka la 8 la utakatishaji fedha linalomkabili aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Harry Kitilya na wenzake wawili. Uamuzi huo umetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Jaji Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Mheshimiwa Moses Mzuna alipokuwa akitoa majibu ya rufaa iliyokuwa imekatwa na DPP. “Ninafahamu kila kesi...

 

3 years ago

Mwananchi

Mahakama yautaka upande wa mashtaka kukamilisha utetezi wa Kitilya na wenzake

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeutaka upande wa mashtaka katika kesi inayomkabili Kamishna Mkuu Mstaafu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry  Kitilya na wenzake wawili kukamilisha upelelezi kwa wakati.

 

2 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YAMFUATA MANJI HOSPITALI, ASOMOMEWA MASHTAKA YA UHUJUMU UCHUMI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imelazimika kuhamishia shughuli zake katika Hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa muda kumsomea mfanyabiashara Yusufali Manji (41), mashitaka ya uhujumu uchumi yanayomkabili.
Manji amesomewa mashtaka hayo katika Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo Hospitalini hapo mbele ya Hakimu Mkazi Mhe. Huduma Shaidi.
Katika kesi hiyo, Manji anashitakiwa pamoja na wenzake watatu, Meneja Rasilimali watu wa Kampuni ya Quality Group Ltd, Deogratius Kisinda (28), Mtunza...

 

2 years ago

Global Publishers

Yanga Yawabadilishia Mbinu Waarabu


Wilbert Molandi, Dar es Salaam, Championi Ijumaa
KOCHA Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi, amesema ili wapate ushindi wa ugenini, basi lazima
wawafunge wapinzani MC Alger ndani ya dakika 15 za mwanzoni kwa lengo la kuwapa presha.
Yanga wanatarajiwa kujitupa kwenye Uwanja wa Stade 5 July 1962 uliopo kwenye Mji wa Ben Aknoun, Algeria unaoingiza mashabiki 64,000 kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika.Mchezo wa awali uliopigwa Uwanja wa Taifa, Dar, Yanga ilipata ushindi wa bao 1-0, mfungaji...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani