Mahusiano ya Serikali ya Trump na Vyombo vya Habari, Rais Donald Trump avionya dhidi ya habari za uzushi

gettyimages-502828928

Rais wa Marekani Donald Trump amesema mgogoro wake na vyombo vya habari hususan vituo vya luninga nchini humo unatokana na alichodai kuwa vimekuwa na upendeleo huku akitishia kuvifutia leseni

Chanzo kilicho karibu na ofisi ya rais wa Marekani, ambacho hakikutaka kutajwa kimesema kuwa Rais Trump alikasirishwa na ripoti iliyorushwa na kituo cha habari cha NBC kwamba aliwaagiza maafisa wake wa usalama kuongezwa kwa kiwango kikubwa silaha za kinyuklia nchini Marekani ambapo hata hivyo rais huyo...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Donald Trump avishambulia tena vyombo vya Habari

Aliuambia umati mjini Melbourne kwamba vyombo vya habari havitaki kabisa "kusema ukweli" na kwamba waandishi wa habari wana ajenda zao fiche.

 

2 years ago

Michuzi

Rais MAGUFULI avionya Vyombo vya Habari Vinavyoandika Habari za Uchochezi

Rais wa Jamhri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 13 Januari, 2017 ameyaonya magazeti mawili yanayoandika habari za uchochezi na kupotosha wananchi kwa kuwa vinahatarisha amani ya nchini.Rais Magufuli ametoa onyo hilo wakati akikagua na kufungua Kiwanda cha Jambo cha kuzalisha vinywaji baridi mkoani Shinyanga.

Rais Magufuli amesema Serikali haitayavumilia magazeti hayo mawili kwa kuandika habari za uchochezi ambazo zinaweza kuhatarisha amani ya nchi kama ilivyotokea...

 

11 months ago

MwanaHALISI

Rais Trump atishia kuangamiza vyombo vya habari

RAIS Donald Trump ametangaza vita na vyombo vya habari nchini mwake kwa madai kwamba vimekuwa vikikiuka taratibu na kuonyessha ama kuandika habari kwa upendeleo, anaandika Mwandishi Wetu. Amesema anaweza kufuta leseni za vituo vya runinga nchini mwake kutokana na kuwapo na kasoro za ukiukwaji wa tararibu. Moja ya vitu vilivyomkasirisha Rais Trump ni pamoja na ...

 

2 years ago

Dewji Blog

Trump avigeukia vyombo vya habari, asema vinaandika habari zake za uongo

Wakati Kampeni za kinyang’anyiro cha kuingia Ikulu ya White House zikiendelea kupamba moto nchini Marekani huku kila mgombea akijinadi kwa Wamarekani kwa kumkosoa mpinzani wake.

Donald Trump amevishutumu vyombo vya habari nchini humo kwa madai kuwa vimeripoti habari za uwongo dhidi yake kwamba aliwadhalilisha wanawake kingono. Tuhuma hizo dhidi ya Trump zilitolewa wakati mke wa rais Barack Obama, Michelle Obama akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni ya kumpigia debe mgombea wa chama...

 

4 years ago

Mtanzania

JK avionya vyombo vya habari

kikweteNA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
RAIS Jakaya Kikwete amesema serikali haitavumilia vyombo vya habari visivyosimamia uadilifu, weledi pamoja na kutumika katika kuchochea ghasia.
Kikwete, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa studio za Azam TV, zilizopo Barabara ya Mandela, Dar es Salaam, aliyasema hayo jana, katika hotuba yake ya ufunguzi rasmi wa kituo hicho kikubwa cha televisheni Afrika Mashariki na Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Alisema wakati mwingine ukitafuta kusifiwa kwenye uongozi...

 

2 years ago

Mtanzania

TRUMP AVISHAMBULIA VYOMBO VYA HABARI

WASHINGTON, MAREKANI

TrumpRAIS Mteule wa Marekani, Donald Trump amefanya mkutano wa kwanza na wanahabari tangu achaguliwe na kuelezea masuala kadhaa juu ya uhusiano wake na Urusi, udhibiti wa kampuni zake, na ujenzi wa ukuta na Mexico.

Hata hivyo, katika mkutano huo uliochukua saa moja Trump alionekana kujawa na hasira na kuvishambulia baadhi ya vyombo va habari kikiwemo kituo cha utangazaji cha CNN.

Trump alisema CNN ni chombo cha ‘habari za uwongo’ na alikataa kujibu maswali ya waandishi...

 

2 years ago

BBCSwahili

Trump ashutumu vyombo vya habari ,FBI na NSA

Rais wa Marekani Donald Trump ameshtumu idara za upelelezi nchini humo na vyombo vya habari baada ya ripoti mpya za mawasiliano kati ya wanachama wa serikali yake na Urusi.

 

1 year ago

VOASwahili

Trump avikosoa vyombo vya habari, Seneta Mrepublikan

Rais wa Marekani Donald Trump amekosoa vyombo vya habari na Senmeta Lindsey Graham Mrepublikan kwenye ukurasa wake wa Twitter Alhamisi.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani