MAJALIWA ATEMBELEA MRADI WA UENDELEZAJI MIJI YA KIMKAKATI KATIKA JIJI LA DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua  uboreshaji wa Mandhari ya eneo la kupumzikia la Chinangali jijini Dodoma, wakati alipokagua Mradi wa Uendelezaji wa Miji ya Kimkakati katika Jiji hilo, Desemba 29, 2018. Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge na kulia ni Mkurugenzi wa jiji la Dodoma, Gowin Kunambi. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikagua ujenzi wa Maegesho ya Malori Makubwa  katika eneo la Nala jijini Dodoma, wakati alipotembelea...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Channelten

Mradi wa uendelezaji Jiji la Dsm unatarajia kuanza mwezi July

makonda

Mradi mkubwa wa uendelezaji wa Jiji la dsm-DMDP- katika Uboreshaji wa Miundombinu ya Barabara Mbadala,Mifereji ya kupitisha maji taka pamoja na Upanuzi wa mito ili kupunguza athari za mafuriko unatarajia kuanza mwezi july mwaka huu baada ya Benki ya Dunia kutoa kukubali kutoa cha dola za kimarekani Milioni 300.

Aidha Serikali pia imetoa kiasi cha Dola milion 25.5 katika Kuchangia mradi huo katika awamu ya kwanza ambapo utawezesha kujengwa kwa kiwango cha lami barabara mbadala kilometa...

 

3 years ago

MillardAyo

Mapya kuhusu mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam, RC Makonda kayaongea

3X6A7337

Ni April 5, 2016 ambapo mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekutana na waandishi wa habari na kuzungumzia mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (Dar es Salaam Metropolitan Development Project). Akizungumza na waandishi wa habari alisema…>>>’Mradi wa DMDP ni matokeo ya miradi miwili mikubwa inayotekelewa na Serikali ya Chama […]

The post Mapya kuhusu mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam, RC Makonda kayaongea appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

Mapya kuhusu Mradi wa uendelezaji wa Jiji la dar es Salaam, RC Makonda kayaongea haya…

3X6A7337

Ni April 5, 2016 ambapo mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekutana na waandishi wa habari na kuzungumzia mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (Dar es Salaam Metropolitan Development Project). Akizungumza na waandishi wa habari alisema…>>>’Mradi wa DMDP ni matokeo ya miradi miwili mikubwa inayotekelewa na Serikali ya Chama […]

The post Mapya kuhusu Mradi wa uendelezaji wa Jiji la dar es Salaam, RC Makonda kayaongea haya… appeared first on...

 

2 years ago

Ippmedia

Waziri mkuu Majaliwa amezindua mradi wa kuboresha upatikanaji wa umeme katika jiji la DSM.

Waziri mkuu Mhe Kassim Majaliwa amezindua mradi wa kuboresha upatikanaji wa umeme katika jiji la dar es salaam na kusema kuanzia sasa hakutakuwa kuwa na tatizo la kukatika katika wala mgao wa umeme hatua itakayotoa fursa kwa wananchi kuanza kufanyashughuli za uzalishaji mali na kuongeza kipato kutokana na upatikanaji wa umeme wa uhakika.

Day n Time: Jumatano saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

1 year ago

Michuzi

WATENDAJI TOENI USHIRIKIANO WA KUWEZESHA KUKAMILIKA KWA MRADI WA UENDELEZAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM (DMDP) – WAZIRI JAFFO

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWaziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Suleiman Jaffo amewataka watendaji wa Manispaa ya Temeke kutoa ushirikiano ili kuwezesha kukamilika kwa mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (DMDP) na watendaji watakaoshindwa kutoa ushirikiano huo watashughulikiwa.Akizungumza leo wakati uzinduzi wa jengo la ofisi na Maabara za mradi  wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (DMDP) lililojengwa katika Manispaa ya Temeke, Jaffo...

 

4 years ago

Habarileo

Waziri Kairuki azungumzia ugumu uendelezaji wa miji

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angellah Kairuki NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angellah Kairuki amesema suala la uendelezaji wa miji ni lazima liwe na mipango kabambe ya muda mrefu itakayoainisha uboreshaji wenye kunufaisha walio wengi.

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA MRADI WA KINYEREZI II


*Asema ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea mradi ya kuzalisha umeme wa Kinyerezi II na kusema kwamba ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wake.
Amesema hayo leo (Jumamosi, Julai 08, 2017) alipotembelea mradi huo wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia unaojengwa eneo la Kinyerezi jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu amesema kukamilika kwa mradi huo kutaliwezesha Taifa kuwa na umeme wa uhakika, utakaowezesha kuendesha viwanda.
Amesema mkakati wa Serikali ni...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA MAGOMENI KOTA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Waislamu nchini waendelee kushirikiana na Serikali kulinda na kudumisha amani na utulivu uliopo nchini.Aidha, amewasihi waislam kuimarisha umoja ,upendo ,mshimano miongoni mwao kwa kushirikiana na jamii zinazowazunguka bila kujali tofauti zao za kiimani.
Ametoa wito huo leo mchana (Ijumaa, Novemba 18, 2016) wakati akishiriki sala ya Ijumaa katika msikiti wa Kichangani, Magomeni jijini Dar es Salaam. Amesema uwepo wa dini umewezesha nchi kuendelea kuwa na...

 

3 years ago

Michuzi

MAJALIWA ATEMBELEA GEREZA LA MSALATO DODOMA.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana  na Mwenyekiti wa Taifa wa Bodi ya taifa ya  Parole, Augustine Mrema baada ya kuembelea Gereza la Msalato kwenye Manispaa ya Dodoma Oktoba 5, 2016.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Askari Magereza baada ya kutembelea Gereza la Msalato kwenye Manispaa ya Dodoma Oktoba 5, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani