MAJALIWA ATOA POLE KWA FAMILIA YA NDEJEMBI JIJINI DODOMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole, Edna Ndejembi ambaye ni binti Mwanasiasa Mkongwe nchini, marehemu Pancras Ndejembi wakati alipokwenda nyumbani kwa marehemu eneo la Kilimani jijini Dodoma kutoa pole kwa familia, Desemba 29, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

MAGUFULI ATOA POLE KWA FAMILIA YA MZEE PETER KISUMO


 Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi,Dk.John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mwanasiasa Mkongwe nchini Mzee Peter Kisumo aliyefariki dunia jioni ya tarehe 3 Agosti katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
  Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi,Dk.John Pombe Magufuli akizungumza na mjane wa marehemu Pater Kisumo, Hosiana Kisumo nyumbani kwa marehemu mtaa wa Isevya ,Upanga,Dar es Salaam.(Picha na Adam Mzee) BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI.

 

2 years ago

Bongo5

Waziri Nape atoa pole kwa familia ya Thomas Mashali

Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Mhe. Nape Nnauye wametoa pole kwa fimilia ya bondia Thomas Mashali aliyeuawa kwa kupigwa baada ya kupigiwa kelele za mwizi kufuatia ugomvi uliozuka maeneo ya Kimara, jijini Dar es Salaam.
NAPE-NNAUYE

Akiongea katika kipindi cha Jahazi Jumatatu hii, Nape amesema tasnia ya michezo imempoteza mtu muhimu ambaye ametangaza nchi kupitia mapigano mbalimbali.

“Tumesikitishwa sana kifo chake ambacho kimetokea kikatili, ni jambo ambalo limetushtua sana kwa sababu...

 

2 years ago

Michuzi

DC ARUMERU ALEXZENDER MNYETI ATOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU MZEE KAYOMBO

Na Mathias Canal, Mwanza
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha Mhe Alexzender Pastory Mnyeti amezuru kijiji cha Misasi, Wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza kutoa pole kwa familia ya Marehemu Mzee Kayombo aliyefariki Dunia siku ya saa mbili usiku katika Hospitali ya Rufaa Bugando, Mkoani Mwanza.
Mhe Mnyeti ametoa salamu za pole kwa wakazi wa Kijiji cha Misasi kwa kumpoteza mshauri katika kijiji hicho ambaye amekuwa nguzo kwa maendeleo ya kijiji sawia na utaratibu wake wa kuhamasisha wananchi...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Balozi Seif atoa mkono wa pole kwa familia zilizofiwa na watoto 4 kidongochekundu

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amezitaka Familia za Watoto Wanne waliofariki Dunia baada ya kukutwa kwenye Gari mapema wiki hii katika Mtaa wa Kidongo Chekundu Mjini Zanzibar kuendelea kuwa na moyo wa subra katika kipindi hichi kigumu cha msiba.

Alisema Jamii kupotelewa na watoto Wanne ni jambo zito linalotia huzuni lakini jamii hiyo hiyo inalazimika kuelewa kwamba Allah amewapenda zaidi Watoto hao Malaika za Mungu.

Balozi Seif Ali Iddi alitoa nasaha hizo wakati...

 

1 year ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI ATOA MKONO WA POLE KWA FAMILIA YA MRISHO GAMBO

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili mtaa wa Muheza Kariakoo jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia ya Mzee Mashaka Gambo kwa kufiwa na mkewe ambaye pia ni mama mzazi wa  Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo kwa kufiwa na mama yake mzazi Marehemu Rehema Paul Mumbuli leo Aprili 18, 2018. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo baada ya kuwasili mtaa wa Muheza Kariakoo jijini Dar...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Makamba atoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu Hafhi Ali aliekua mbunge wa jimbo la Dimani

mk1Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano Mazingira Mh. January Makamba akiwa pamoja na mjane wa Marehemu Hafidh Ali Tahir aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Dimani Zanzibar(CCM) Bi. Shekha Said alipoenda kuwapa pole wanafamilia huko nyumbani kwa Marehemu Maungani Kisiwani Zanzibar. Mheshimiwa Waziri hakuwepo Nchini wakati msiba wa Mbunge huyo unatokea.mk3Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiwapa pole wanafamilia wa Marehemu Hafidh Ali Tahir...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MAKAMBA ATOA MKONO WA POLE KWA FAMILIA YA MBUNGE WA DIMANI (CCM) MAREHEMU HAFIDH ALI TAHIR HUKO ZANZIBAR.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiwapa pole  wanafamilia wa Marehemu Hafidh Ali Tahir aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Dimani (CCM) alipowatembelea nyumbani kwa Mbunge huyo huko Maungani kisiwani Zanzibar. Aliyekaa wa kwanza kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Magharibi Mh. Ayoub Muhammed Mahamoud. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano Mazingira Mh. January Makamba akiwa pamoja na mjane wa Marehemu Hafidh Ali Tahir aliyekuwa Mbunge wa jimbo la...

 

3 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Majaliwa atoa pole kwa Prof. Anna Tibaijuka baada ya kufiwa na mama yake mzazi (Picha)

Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa amemtembelea Waziri wa zamani wa Ardhi, Profesa Anna Tibaijuka kwa ajili ya kumpa pole kufuatia kupata msiba wa mama yake mzazi.

pix 2 (3)Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Kassim Majaliwa(kulia),akimpa pole Mbunge wa Muleba Kusini,Profesa Anna Tibaijuka,ambaye amefiwa na mama yake.Waziri Mkuu yuko mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi.

IMGS8861

????????????????????????????????????

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Kassim Majaliwa,akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AIPA POLE FAMILIA YA ALIYEKUWA RUBANI WA NDEGE ZA SERIKALI MAREHEMU DOMINIC BOMANI


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitia saini katika kitabu cha maombolezo kwenye msiba wa aliyekuwa rubani wa ndege za serikali, marehemu Dominic Bomani nyumbani kwa marehemu, Kinyerezi jijini Dar es salaam Februari 3, 2018.Bomani alifariki dunia katika ajali ya ndege ndogo iliyotokea Zanzibar Feb. 1 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na mmoja wa wanafamilia wa msiba wa aliyekuwa rubani wa ndege za serikali marehemu Dominic Bomani nyumbani kwa marehemu,...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani