MAJARIBIO YA DARAJA LA KIGAMBONI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

Daraja la Kigamboni kufanyiwa majaribio leo 16 Aprili, Wananchi kulitumia kuvuka

Wakazi wa jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake Jumamosi ya leo ya 16 Aprili  wamepewa fursa ya  kulitumia kwa mara ya kwanza Daraja la Kigamboni  (Pichani) linalotarijiwa kufunguliwa rasmi na Rais John Pombe Magufuli siku ya Jumanne ya wiki ijayo.

Kwa mujibu wa Meneja mradi wa  kampuni ya China Railway Construction Engineering Group ambao wametekeleza mradi huo kwa ushirikiano na kampuni ya China Railway Major Bridge Group Bw.Zhang Bangxu,  wameelza kuwa  siku ya leo wataruhusu wakazi hao...

 

3 years ago

Bongo5

Dar Mpya ya Makonda: DC Kigamboni alia na gharama daraja la Kigamboni

Serikali imetakiwa kuangalia upya tozo za magari ya watumishi wa serikali wakati wa kuvuka daraja la Nyerere lililopo Wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam.
img_9836
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa (kwanza kulia) akieleza changamoto za wilaya hiyo

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa, ameyasema hayo leo katika ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ya kuangalia na kutatua changamoto za wananchi wa eneo hilo.

Alilitaka Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kuangalia...

 

3 years ago

Channelten

Kukamilika Daraja la Kigamboni, Wananchi Vijibweni Kigamboni wafurahishwa

daraja

Wananchi wa VIJIBWENI KIGAMBONI jijini DAR ES SALAAM,wamefurahishwa na kukamilika kwa daraja linalounganisha kitongoji hicho na maeneo mengine mkoani Dar es salaam na kueleza kuwa ni ukombozi mkubwa kwao kutokana na kuwaletea unafuu mkubwa wa nauli kwa watu wa kipato cha chini.

Furaha hiyo waliitoa leo walipohojiwa na CHANNEL TEN wakati waandishi wa kituo hicho walipofika katika daraja hilo kuona mwitikio wa wananchi walipoelezwa kupitia taarifa ya serikali kuwa, daraja hilo kwa siku ya leo...

 

3 years ago

Bongo5

Picha: Magufuli azindua daraja la Kigamboni, alibatiza jina la ‘Daraja la Nyerere’

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Jumanne hii amezindua daraja Kigamboni na kulibatiza jina la Daraja la Nyerere.
_K0A5734
Magufuli akipongezana na baadhi ya viongozi baada ya uzinduzi

Akizungumza na wananchi waliyojitokeza katika uzinduzi huo, Magufuli amewata wananchi kulitumia kwa makini daraja hilo, ili kukuza uchumi wao.

“Hili daraja itawanufaisha watu wengi sana, huu ni wakati wa mji wa Kigamboni kujitanua kibiashara zaidi, wafanyabiashara wadogo wadogo, Mama...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Baada ya Daraja la Kigamboni, Daraja lingine kujengwa Dar es salaam

screen-shot-2016-09-22-at-8-39-42-am

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya Mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Korea hapa nchini Song Geum-Young, Ikulu Jijini Dar es Salaam na baada ya mazungumzo hayo Rais Magufuli amepokea picha ya mfano wa Daraja jipya la Salender litakalojengwa kuanzia maeneo ya Hospitali ya Agha Khan na kupita baharini hadi eneo […]

The post VIDEO: Baada ya Daraja la Kigamboni, Daraja lingine kujengwa Dar es salaam appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA RASMI DARAJA LA KIGAMBONI, ALIBATIZA JINA LA DARAJA LA NYERERE. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe huku viongozi wengine wakiushikilia kuashiria uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipata picha ya kumbukumbu viongozi wengine baada ya  uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016. Rais wa...

 

2 years ago

Mwananchi

Kivuko kipya Magogoni-Kigamboni chafanyiwa majaribio

Dar es Salaam. Kivuko cha Mv Kazi  kimefanyiwa majaribio ya kubeba abiria na magari kwa mara ya kwanza leo (Jumatatu) baada ya matengenezo kukamilika.

 

5 years ago

Michuzi

MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU (MV. MTWARA), DARAJA LA KIGAMBONI PAMOJA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni ambalo ujenzi wake utakamilka ifikapo Juni mwaka 2015.
Awali, Dkt.Magufuli alianza kwa kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha Msanga Mkuu maeneo ya Kurasini, kivuko hiki kinajengwa na mkandarasi mzalendo na kitakamilika ndani ya kipindi cha miezi miwili.
Aidha, Waziri wa Ujenzi amefanya ukaguzi wa ukarabati wa matengenezo makubwa ya kivuko cha MV.Kigamboni huko Kigamboni, ukarabati...

 

4 years ago

Vijimambo

WAFANYAKAZI DARAJA LA KIGAMBONI WAGOMA

Wafanyakazi wa Kampuni ya China Major Bridge Engineering Co. ltd wamegoma kuendelea na ujenzi wa daraja la Kigamboni, wakiushinikiza uongozi kuwalipa madai yao. Miongoni mwa mambo wanayodai ni malipo ya mshahara wa kima cha chini cha Sh. 325,000 kilichotangazwa na serikali pamoja na kuwapatia mikabata ya kazi.

Khamis Mpili, alisema tangu mradi wa ujenzi huo uanze kuna wafanyakazi hawajapatiwa mikataba ya kazi, hali inayosababisha kukosa haki zao za msingi zikiwamo malipo ya likizo,...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani