Majeruhi wainyima ubingwa Liverpool

Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema idadi kubwa ya majeruhi klabuni hapo ndiyo chanzo cha kukosa ubingwa msimu huu.Majeruhi hao ni Sadio Mane, Philippe Coutinho, Adam Lallana, Jordon Henderson na Joel Matip

Mwanaspoti

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Mwananchi

Wingi wa mabao Yanga wainyima Simba ubingwa

Adui yako mwombee njaa! Ukweli wa usemi huo unadhihirishwa na rekodi nzuri ya misimu tisa ya Ligi Kuu Tanzania Bara zinazoinyima Simba nafasi ya kutwaa ubingwa msimu huu ikilinganishwa na watani wao wa jadi, Yanga.

 

2 years ago

Mtanzania

Giggs aipa Liverpool ubingwa England

ryan-giggs-man-united_3131822LIVERPOOL, ENGLAND

KOCHA msaidizi wa zamani wa timu ya Manchester United, Ryan Giggs, anaamini kuwa klabu ya Liverpool ina nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa msimu huu na misimu mingine inayofuata.

Giggs amedai kuwa kocha mpya wa klabu hiyo, Jurgen Klopp, ana mipango ambayo itawafanya Liverpool kutwaa taji msimu huu japokuwa kuna ushindani mkubwa dhidi ya Man City, Man United na klabu nyingine.

Liverpool ikiweza kutwaa ubingwa huo mwaka huu itakuwa ni mara ya kwanza tangu ligi hiyo kuanzishwa...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Kocha Everton aipa ubingwa Liverpool

KOCHA wa Everton Ronald Koeman amejiunga na msururu wa watu wanaoamini kwamba msimu huu ni wa Liverpool kuchukua ubingwa.

 

2 years ago

Mtanzania

Ferguson: Klopp ameiweka Liverpool kwenye ubingwa EPL

alex-fergusonMANCHESTER, ENGLAND

ALIYEKUWA kocha wa timu ya Manchester United, Alex Ferguson, amesema kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp, ameifanya timu hiyo kuwa wapinzani thabiti katika mbio za kuwania ubingwa Ligi Kuu England.

Kocha huyo alisema ameguswa sana na kazi anayofanya Klopp katika timu yake  na sasa amefungana pointi na Manchester City, baada ya kucheza michezo tisa ya ligi hiyo msimu huu.

Ferguson, anaamini timu tano za juu katika msimamo wa ligi hiyo zina nafasi ya kutwaa ubingwa, lakini...

 

2 years ago

Dewji Blog

Video: Liverpool yakubali kipigo fainali ya Europa League, Sevilla yatwaa ubingwa

Matumaini ya Liverpool kuibuka na kombe mwaka 2016 yamemalizwa na Sevilla baada ya kupokea kipigo cha goli 3-1 katika fainali ya Ligi ya Vilabu barani Ulaya (Europe League).

Katika mchezo huo wa fainali, Liverpool ilikuwa ya kwanza kupata goli kupitia mshambuliaji wake Daniel Sturridge dk. 35 goli lililodumu hadi kipindi cha kwanza kinamalizika.

Kipindi cha pili, Sevilla ilionekana kuamka na kuanza kushambulia na katika dakika ya Kevin Gameiro dk. 46aliandikia Sevilla goli la kwanza na...

 

2 months ago

BBCSwahili

Fainali ya ubingwa Ulaya: Je mashabiki wa Liverpool na Real Madrid watarajie nini Kiev?

Bingwa wa zamani wa uzani mzito wa masumbwi ndiye mwenyeji wa fainali hiyo itakayofanyika Mei 26 mjini Kiev.

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Loris Karius: Kipa wa Liverpool atishiwa maisha baada ya makosa dhidi ya Real Madrid fainali ya ubingwa Ulaya

Mlinda lango huyo na familia yake wamekuwa wakipokea vitisho baada ya makosa mawili kutoka kwake kuwasaidia Real Madrid kupata ushindi wa 3-1.

 

4 years ago

Mwananchi

Wamisri wainyima ulaji Yanga

Klabu ya Yanga imepoteza dola 70,000 za Kimarekani (Sh 111.2 milioni) baada ya kampuni ya MGB ya Misri kushindwa kurusha moja kwa moja ‘Live’ mechi kati ya timu hiyo na Al Ahly iliyochezwa Uwanja wa Taifa mwishoni mwa wiki iliyopita.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani