Majeshi ya Saudia na washirika wake washambulia Yemen

Muungano wa jeshi la Saudi Arabia na jeshi la serikali ya Yemen Alhamisi wamefanya mashambulizi ya ndege kwenye mji wa Sanaa unaodhibitiwa na waasi wa Kihouthi na kuuwa watu 6.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

BBCSwahili

Saudia yawaondoa raia wake Yemen kusini

Saudi Arabia imedaiwa kuwahamisha raia wake na wanadiplomasia wa kigeni kutoka mji wa bandari ya Aden kusini mwa Yemen .

 

5 months ago

BBCSwahili

Mzozo wa Syria: Hatua ya Trump ya kuondoa majeshi ya Marekani yashangaza washirika wake

Wanachama wa Republicans na mataifa makubwa ya kigeni wameshangazwa na uamuzi wa kuyaondoa majeshi ya Marekani nchini Syria

 

4 years ago

BBCSwahili

Saudia yawashambulia Wahouthi Yemen

Ndege za jeshi la Saudi Arabia zimeshambulia maeneo kadha nchini Yemen katika kampeni yake dhidi ya waasi wa Houthi

 

2 years ago

BBCSwahili

Al-Shabab washambulia kambi ya majeshi ya Kenya nchini Somalia

Kundi la al-Shabab nchini Somalia limesema wapiganaji wake wameshambulia kambi ya wanajeshi wa Kenya wanaohudumu chini ya kikosi cha Umoja wa Afrika (Amisom)nchini Somalia.

 

4 years ago

BBCSwahili

Yemen:Saudia yapendekeza kusitisha Vita

Saudia inajiandaa kufanya mashauriano ya siku tano ya kuleta amani na kujiondoa kutoka Yemen kwa sababu ya kibinadamu.

 

4 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Saudia lashambulia waasi, Yemen

Saud Arabia imeanza operesheni zake za kijeshi nchini Yemen, ikiwa ni kujibu ombi la Rais wa nchi hiyo Abd Rabbuh Mansour Hadi.

 

4 years ago

BBCSwahili

Saudia kutoa msaada unaohitajika Yemen

Saudi Arabia, imeahidi kutoa fedha ambazo Umoja wa Mataifa umesema zinahitajika nchini Yemen.

 

3 years ago

BBCSwahili

Makombora ya Muungano wa Saudia yawaua 19 Yemen

Raia 19 wnaripotiwa kuuawa katika mji wa banadari wa Hudaydah nchini Yemen katika mashambulio ya Muungano unaoongozwa na Saudia

 

1 year ago

VOASwahili

Saudia yaruhusu misaada ya dharura Yemen

Ndege tatu zilizobeba misaada ya dharura na wafanyakazi wa misaada ya kibinadamu zimewasili mjini Sanaa, makao makuu ya Yemen.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani